Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

Iyo ni kuwa mtu anakupa mali yake yenye value zaidi ya mkopo anaotaka kuchukua. Akishindwa kulipa hata huangaiki naye ni kama vile mmeuziana. Yeye kachukua pesa, wewe unachukua malim
Akienda polisi na kudai mali yake imeibiwa, huyo aliye na hiyo mali hayuko mashakani?
Si yeye bado atakuwa ameshikilia stakabadhi,... au
 
hicho ni kihere here..we mwenyewe unaaandika andika hapa vitu unalipa kodi?

yani wachawi hamuishi hii dunia,mtu anakopesha anasaidia watu Unaleta unoko wako kuchongea wenzio

yakiwakuta utafurahi si eti?

Shindwa pepo/...
 
Itakuwa ulitaka kukopa mahali wakakukazia riba ila sio lazma ukakope Mbona bank zipo

Ukija kwangu unatwangwa riba ya kutosha
 
mkuu ni hivo hivo, hiyo document inaitwa customer portfolio. Siku una renew leseni lzm uataouch, mimi naendandga kuchukua leseni pale Wizara ya viwanda na biashara kupitia BRELA mwaka wa 5 mfululizo huu. kwa hiyo naandika nachojua na ndio utaratibu wa pale, japo kulingana na mswada uliopelekwa /utakaopelekewa utaipa BoT authority ya kutoa leseni na sio BRELA tena. Hii document inazisaidia malmlaka kujua jinsi firm inavyojiendansha from the scratch, mpaka inavyokua ili kuendana na ongezeko la kodi.
Hapa nime kuelewa una posema Renewal, sikuelewa kama ungesema ndio ombi jipya
 
Weng wao wanaofanya hii biashara n watoto au ndg wa viongoz walioko serikalin. Ukifatilia sana asilimia kubwa walioanzisha hv vikampun n watu wa kutoka aliko tokea Magu. Kwa ujumla hv vikampun vinariba kubwa sana na kwa kpnd hch cha Maguli,wahanga wakubwa n wafanyakaz hasa walimu na manes. Kuna makampun riba n kuanzia 40%-50% kwa mwez.Lkn serikali iko kimya kisa tu wamilik wake n vigogo serikalin tena wanaotokea kanda ya ziwa aka kwa Mzee jiwe.ukienda huko kadi za benk ndiko zinako tunza mpaka den umalize. BOT na TRA ndio wanaosajili hv vikampun lkn hawaangalii vigezo vya riba wanazo toza.
Wewe ni mbuzi kabisa kwahyo ata walioko mbeya na mtwara nao wametokea kanda ya ziwa au chato? Hv kila tatizo kwenye hii nchi raisi ndo msababishaji? Mbona amtoi lawama kwa wabunge mawaziri na wadiwani waliopo kwenye maeneo usika? Mwisho kama mtumishi wa imma kopa kwa adabu na kwenye taasisi zenye sifa.
 
Mimi mwenyewe hapa naandaa mtaji nianze kukopesha kimagumashi. Nimegundua biashara haramu ndio zinatoa watu haraka kuliko zile za halali. Jamani karibuni ujipatiepo mkopo kwangu riba sio kubwa kivilee.
 
Nchi hii kuna watu wanatengeneza faida kubwa kwa biashara ya kukopesha lakini watu hawa hawalipi kodi na hii ni kwasababu hakuna sheria inayodhibiti biashara hii ya kukopesha ingawa baadhi wanakopesha kwa mikataba maalumu tena inayoshuhudiwa na mawakili.

Hivi sasa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,watu kutafuta mitaji ya kuendeleza biashara zao,n.k,watu hulazimika kutafuta mikopo mitaani ambako riba ni asilimia kati ya 20,25,30 mpaka asilimia 40.

Kwa mfan,.mtu akikopa shilingi laki moja ndani ya siku 30,basi mkopaji hutakiwa kurejesha kiasi cha shilingi kati ya 120,000 mpaka 140,000 kwa mwezi kutegemeana na riba ya mkopo.

Baadhi ya watu hawa wanakuwa na biashara zinazotambulika kama maduka,grocery,n.k ila hapo hapo wanakuwa na biashara hii isiyo rasimi ya kukopesha ambako wanatengeneza hela nzuri tu kupitia shida na matatzo ya watu katika jamii inayowazunguka.

Mtu ana leseni ya kuuza duka, na hapo hapo anafanya na biashara ya kukopesha, jambo ambalo sidhani kama ni sahihi.

Ukiacha watu binafsi, zipo pia taasisi za kifedha zinazotambulika na ambazo zinazotoa mikopo ila nazo huwa na mikataba inayoficha kiasi halisi cha riba wanazotoza na wengine huwa hawatoi mikataba kwa wateja wao na bila shaka hufanyi hivi ili kujiweka salama kwani wanajuawa wanachokifanya sio sahihi.

Ili kudhibiti biashara hii na kuhakikisha na hawa watu nao wanalipa kodi,serikali ije na sheria ya kutaka kila anaefanya hii biashara anasajiliwa,analipa kodi na mikataba anayoitoa kwa watu iwe inakaguliwa na mamlaka husika na zaidi iwe ni kosa kwa mtu kufanya biashara hii pasipo kusajiliwa.

Pia,sheria iweke ukomo wa hizi riba kwani zinaumiza watu na zaidi zinaleta umasikini kwa watu na kuwa kikwazo katika vita ya kupambana na umasikini.

Najua ni biashara ambayo inaweza kuwa ngumu kuidhibiti ila tukiwa na sheria, watu wataogopa na hata mtu akishindwa kurejesha, mkopeshaji ni lazima atatumia busara kudai hela yake kwani wakishindwana na kupelekana katika vyombo vya sheria, mkopeshaji nae atakuwa ni mtuhumiwa moja kwa moja kwa kukiuka sheria na hivyo wataogopa.

Kama tutakuwa na mtazamo kuwa, biashara hii inafanyika kwa siri au kwa makubaliano kati ya watu wawili au zaidi na hivyo itakuwa ni vigumu kuidhibiti,basi tujiulize kama mtazamo ungekuwa ndio huu katika biashara kama zile za madawa ya kulevya ambayo nazo hufanyika kwa siri, hali ingekuwaje?

Vile vile kwa wale wenye mawazo kuwa biashara hii ni makubaliano kati ya watu wawili na hivyo haipaswi kuingiliwa,watu hawa wanapaswa kujiuliza, kama hoja ndio hiyo,mbona serikali imeweke sheria ya mtumishi kubaki na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote ya kisheria ikiwemo na mikopo ili kuhakikisha mtumishi anabaki na walau hiyo moja ya tatu ya mshahara wake kama take home ili hali kukopa ni makubakiano kati ya mtumishi na mkopeshaji kwa maana ya mabenki na taasisi nyingine zinazotoa mikopo kwa watumishi?

Tatizo mojawapo kubwa la nchi hii ni kuwa, kuna watu wanafanya biashara au shughuli zinazowaingizia faida kubwa tu ila hawalipi kodi na badala yake ni watu wachache ndio wanaolipa kodi katika nchi hii.

Mifano ya watu wengine wanaofanya kazi au biashara inayowaingizia fedha nyingi ni madalali wa viwanja,nyumba,mashamba,n.k na hii ni kwasababu hakuna sheria inayosimamia biashara wanayoifanya na kama ipo basi haisimamiwi ipasavyo.

Matokeo ya watu wengi kufanya kazi au biashara pasipo kulipa kodi, ni mzigo huo wa kulipa kodi ya serikali kubebwa na wafanyabiashara waliosajiliwa na watumishi wa umma wanaokatwa kodi kubwa kila mwisho wa mwezi katika mishahara yao na ndio hawa hawa tena huenda kukopa mitaani kwa riba kubwa kutoka kwa watu ambao baadhi hata kodi hawalipi kutokana na kufanya hii biashara isiyo rasimi.

Laba nimalizie kwa kuuliza hivi:

Je,katika nchi za wenzetu,hali ni hii hii ya watu wengi kufanya biashara au shughuli kama hizi pasipo kutambuliwa rasimi na kutolipa kodi serikalini?

Au pia tujiulize kama ni sahihi kulaumu TRA kwa kutoza kodi kubwa wafanyabiashara, alafu ukaona ni sahihi mtu mwingine(ukiwemo wewe mfanyabiashara unaeilamu TRA) kutoza raia mwingine riba ya asilimia 20 mpaka 40 tena pasipo hata kulipa kodi?

Hata hivyo,wakati tunahimiza watu walipe kodi,serikali ziache matumizi ya hovyo ya kodi zetu kama haya yanayotokana na sheria ya uchaguzi ambapo mtu hata akijiuzulu kwa kuunga mkono juhudi, baada ya muda serikali inalazimika kuitisha uchaguzi kwa gharama kubwa(matumizi mabovu ya kodi za wananchi masikini).
Kwani wanakulazimisha ukakope?
 
Aise kama kuna mtu anayekopesha pesa kwa riba ninahitaji, napatikana Tabata barakuda
 
Mimi nakopa sana kw3nye hiv vikampuni na riba ni kati ya 20 had 30. Tena kwa muda mfupi. Mimi naona hawa ni borq kuliko bank. Unakuta nataka mkopo ndani ya 24 hrs. Kwa process za bank unaweza chukua wiki had mwezi ndyo upate mkopo. Na ukipiga hesabu unaw3za kuta tofaut ya riba ni ndogo sana.
Huwa unakopa kampuni ipi na vigezo vyao ni vipi? with thanks
 
Inategemea, nilikuwa na jamaa yangu anakopesha kwa watu walio around kibaha na dsm.

Ili kiwa na usalama wa fedha yake, dhamana inahisika.

Mkopo wake ni chap kwa haraka
 
Yaani hao wa mikopo wameharibu maisha ya wafanyakazi wengi mno , yaan mimi nahisi hata uchawi umo maana watu wanakuwa very attracted kwenda kwao kuliko benk
 
Nchi hii kuna watu wanatengeneza faida kubwa kwa biashara ya kukopesha lakini watu hawa hawalipi kodi na hii ni kwasababu hakuna sheria inayodhibiti biashara hii ya kukopesha ingawa baadhi wanakopesha kwa mikataba maalumu tena inayoshuhudiwa na mawakili.

Hivi sasa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,watu kutafuta mitaji ya kuendeleza biashara zao,n.k,watu hulazimika kutafuta mikopo mitaani ambako riba ni asilimia kati ya 20,25,30 mpaka asilimia 40.

Kwa mfan,.mtu akikopa shilingi laki moja ndani ya siku 30,basi mkopaji hutakiwa kurejesha kiasi cha shilingi kati ya 120,000 mpaka 140,000 kwa mwezi kutegemeana na riba ya mkopo.

Baadhi ya watu hawa wanakuwa na biashara zinazotambulika kama maduka,grocery,n.k ila hapo hapo wanakuwa na biashara hii isiyo rasimi ya kukopesha ambako wanatengeneza hela nzuri tu kupitia shida na matatzo ya watu katika jamii inayowazunguka.

Mtu ana leseni ya kuuza duka, na hapo hapo anafanya na biashara ya kukopesha, jambo ambalo sidhani kama ni sahihi.

Ukiacha watu binafsi, zipo pia taasisi za kifedha zinazotambulika na ambazo zinazotoa mikopo ila nazo huwa na mikataba inayoficha kiasi halisi cha riba wanazotoza na wengine huwa hawatoi mikataba kwa wateja wao na bila shaka hufanyi hivi ili kujiweka salama kwani wanajuawa wanachokifanya sio sahihi.

Ili kudhibiti biashara hii na kuhakikisha na hawa watu nao wanalipa kodi,serikali ije na sheria ya kutaka kila anaefanya hii biashara anasajiliwa,analipa kodi na mikataba anayoitoa kwa watu iwe inakaguliwa na mamlaka husika na zaidi iwe ni kosa kwa mtu kufanya biashara hii pasipo kusajiliwa.

Pia,sheria iweke ukomo wa hizi riba kwani zinaumiza watu na zaidi zinaleta umasikini kwa watu na kuwa kikwazo katika vita ya kupambana na umasikini.

Najua ni biashara ambayo inaweza kuwa ngumu kuidhibiti ila tukiwa na sheria, watu wataogopa na hata mtu akishindwa kurejesha, mkopeshaji ni lazima atatumia busara kudai hela yake kwani wakishindwana na kupelekana katika vyombo vya sheria, mkopeshaji nae atakuwa ni mtuhumiwa moja kwa moja kwa kukiuka sheria na hivyo wataogopa.

Kama tutakuwa na mtazamo kuwa, biashara hii inafanyika kwa siri au kwa makubaliano kati ya watu wawili au zaidi na hivyo itakuwa ni vigumu kuidhibiti,basi tujiulize kama mtazamo ungekuwa ndio huu katika biashara kama zile za madawa ya kulevya ambayo nazo hufanyika kwa siri, hali ingekuwaje?

Vile vile kwa wale wenye mawazo kuwa biashara hii ni makubaliano kati ya watu wawili na hivyo haipaswi kuingiliwa,watu hawa wanapaswa kujiuliza, kama hoja ndio hiyo,mbona serikali imeweke sheria ya mtumishi kubaki na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote ya kisheria ikiwemo na mikopo ili kuhakikisha mtumishi anabaki na walau hiyo moja ya tatu ya mshahara wake kama take home ili hali kukopa ni makubakiano kati ya mtumishi na mkopeshaji kwa maana ya mabenki na taasisi nyingine zinazotoa mikopo kwa watumishi?

Tatizo mojawapo kubwa la nchi hii ni kuwa, kuna watu wanafanya biashara au shughuli zinazowaingizia faida kubwa tu ila hawalipi kodi na badala yake ni watu wachache ndio wanaolipa kodi katika nchi hii.

Mifano ya watu wengine wanaofanya kazi au biashara inayowaingizia fedha nyingi ni madalali wa viwanja,nyumba,mashamba,n.k na hii ni kwasababu hakuna sheria inayosimamia biashara wanayoifanya na kama ipo basi haisimamiwi ipasavyo.

Matokeo ya watu wengi kufanya kazi au biashara pasipo kulipa kodi, ni mzigo huo wa kulipa kodi ya serikali kubebwa na wafanyabiashara waliosajiliwa na watumishi wa umma wanaokatwa kodi kubwa kila mwisho wa mwezi katika mishahara yao na ndio hawa hawa tena huenda kukopa mitaani kwa riba kubwa kutoka kwa watu ambao baadhi hata kodi hawalipi kutokana na kufanya hii biashara isiyo rasimi.

Laba nimalizie kwa kuuliza hivi:

Je,katika nchi za wenzetu,hali ni hii hii ya watu wengi kufanya biashara au shughuli kama hizi pasipo kutambuliwa rasimi na kutolipa kodi serikalini?

Au pia tujiulize kama ni sahihi kulaumu TRA kwa kutoza kodi kubwa wafanyabiashara, alafu ukaona ni sahihi mtu mwingine(ukiwemo wewe mfanyabiashara unaeilamu TRA) kutoza raia mwingine riba ya asilimia 20 mpaka 40 tena pasipo hata kulipa kodi?

Hata hivyo,wakati tunahimiza watu walipe kodi,serikali ziache matumizi ya hovyo ya kodi zetu kama haya yanayotokana na sheria ya uchaguzi ambapo mtu hata akijiuzulu kwa kuunga mkono juhudi, baada ya muda serikali inalazimika kuitisha uchaguzi kwa gharama kubwa(matumizi mabovu ya kodi za wananchi masikini).

BOT walishatoa taratibu/kanuni za ufanyaji wa hii biashara na ambazo zimeshaanza kutumika. Ni kosa kwa mtu kufanya biashara hii nje ya taratibu/kanuni zilizowekwa. Kampuni au mtu anayefanya biashara hii nje ya kanuni/taratibu anafanya makosa.
 
BOT walishatoa taratibu/kanuni za ufanyaji wa hii biashara na ambazo zimeshaanza kutumika. Ni kosa kwa mtu kufanya biashara hii nje ya taratibu/kanuni zilizowekwa.
 
mkuu ni hivo hivo, hiyo document inaitwa customer portfolio. Siku una renew leseni lzm uataouch, mimi naendandga kuchukua leseni pale Wizara ya viwanda na biashara kupitia BRELA mwaka wa 5 mfululizo huu. kwa hiyo naandika nachojua na ndio utaratibu wa pale, japo kulingana na mswada uliopelekwa /utakaopelekewa utaipa BoT authority ya kutoa leseni na sio BRELA tena. Hii document inazisaidia malmlaka kujua jinsi firm inavyojiendansha from the scratch, mpaka inavyokua ili kuendana na ongezeko la kodi.
Mkuu nisaidie kitu..umesema ukitaka kuanzisha microfinance unaenda TRA kupata tax clearance kabla ujaenda..BRELA...sasa hao TRA watakukadiriaje kodi ya mwaka wakati hata kazi ujaanza...au wanatumia njia gani kuwakadiria watu wanaoanza
 
Nchi hii kuna watu wanatengeneza faida kubwa kwa biashara ya kukopesha lakini watu hawa hawalipi kodi na hii ni kwasababu hakuna sheria inayodhibiti biashara hii ya kukopesha ingawa baadhi wanakopesha kwa mikataba maalumu tena inayoshuhudiwa na mawakili.

Hivi sasa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,watu kutafuta mitaji ya kuendeleza biashara zao,n.k,watu hulazimika kutafuta mikopo mitaani ambako riba ni asilimia kati ya 20,25,30 mpaka asilimia 40.

Kwa mfan,.mtu akikopa shilingi laki moja ndani ya siku 30,basi mkopaji hutakiwa kurejesha kiasi cha shilingi kati ya 120,000 mpaka 140,000 kwa mwezi kutegemeana na riba ya mkopo.

Baadhi ya watu hawa wanakuwa na biashara zinazotambulika kama maduka,grocery,n.k ila hapo hapo wanakuwa na biashara hii isiyo rasimi ya kukopesha ambako wanatengeneza hela nzuri tu kupitia shida na matatzo ya watu katika jamii inayowazunguka.

Mtu ana leseni ya kuuza duka, na hapo hapo anafanya na biashara ya kukopesha, jambo ambalo sidhani kama ni sahihi.

Ukiacha watu binafsi, zipo pia taasisi za kifedha zinazotambulika na ambazo zinazotoa mikopo ila nazo huwa na mikataba inayoficha kiasi halisi cha riba wanazotoza na wengine huwa hawatoi mikataba kwa wateja wao na bila shaka hufanyi hivi ili kujiweka salama kwani wanajuawa wanachokifanya sio sahihi.

Ili kudhibiti biashara hii na kuhakikisha na hawa watu nao wanalipa kodi,serikali ije na sheria ya kutaka kila anaefanya hii biashara anasajiliwa,analipa kodi na mikataba anayoitoa kwa watu iwe inakaguliwa na mamlaka husika na zaidi iwe ni kosa kwa mtu kufanya biashara hii pasipo kusajiliwa.

Pia,sheria iweke ukomo wa hizi riba kwani zinaumiza watu na zaidi zinaleta umasikini kwa watu na kuwa kikwazo katika vita ya kupambana na umasikini.

Najua ni biashara ambayo inaweza kuwa ngumu kuidhibiti ila tukiwa na sheria, watu wataogopa na hata mtu akishindwa kurejesha, mkopeshaji ni lazima atatumia busara kudai hela yake kwani wakishindwana na kupelekana katika vyombo vya sheria, mkopeshaji nae atakuwa ni mtuhumiwa moja kwa moja kwa kukiuka sheria na hivyo wataogopa.

Kama tutakuwa na mtazamo kuwa, biashara hii inafanyika kwa siri au kwa makubaliano kati ya watu wawili au zaidi na hivyo itakuwa ni vigumu kuidhibiti,basi tujiulize kama mtazamo ungekuwa ndio huu katika biashara kama zile za madawa ya kulevya ambayo nazo hufanyika kwa siri, hali ingekuwaje?

Vile vile kwa wale wenye mawazo kuwa biashara hii ni makubaliano kati ya watu wawili na hivyo haipaswi kuingiliwa,watu hawa wanapaswa kujiuliza, kama hoja ndio hiyo,mbona serikali imeweke sheria ya mtumishi kubaki na moja ya tatu ya mshahara wake baada ya makato yote ya kisheria ikiwemo na mikopo ili kuhakikisha mtumishi anabaki na walau hiyo moja ya tatu ya mshahara wake kama take home ili hali kukopa ni makubakiano kati ya mtumishi na mkopeshaji kwa maana ya mabenki na taasisi nyingine zinazotoa mikopo kwa watumishi?

Tatizo mojawapo kubwa la nchi hii ni kuwa, kuna watu wanafanya biashara au shughuli zinazowaingizia faida kubwa tu ila hawalipi kodi na badala yake ni watu wachache ndio wanaolipa kodi katika nchi hii.

Mifano ya watu wengine wanaofanya kazi au biashara inayowaingizia fedha nyingi ni madalali wa viwanja,nyumba,mashamba,n.k na hii ni kwasababu hakuna sheria inayosimamia biashara wanayoifanya na kama ipo basi haisimamiwi ipasavyo.

Matokeo ya watu wengi kufanya kazi au biashara pasipo kulipa kodi, ni mzigo huo wa kulipa kodi ya serikali kubebwa na wafanyabiashara waliosajiliwa na watumishi wa umma wanaokatwa kodi kubwa kila mwisho wa mwezi katika mishahara yao na ndio hawa hawa tena huenda kukopa mitaani kwa riba kubwa kutoka kwa watu ambao baadhi hata kodi hawalipi kutokana na kufanya hii biashara isiyo rasimi.

Laba nimalizie kwa kuuliza hivi:

Je,katika nchi za wenzetu,hali ni hii hii ya watu wengi kufanya biashara au shughuli kama hizi pasipo kutambuliwa rasimi na kutolipa kodi serikalini?

Au pia tujiulize kama ni sahihi kulaumu TRA kwa kutoza kodi kubwa wafanyabiashara, alafu ukaona ni sahihi mtu mwingine(ukiwemo wewe mfanyabiashara unaeilamu TRA) kutoza raia mwingine riba ya asilimia 20 mpaka 40 tena pasipo hata kulipa kodi?

Hata hivyo,wakati tunahimiza watu walipe kodi,serikali ziache matumizi ya hovyo ya kodi zetu kama haya yanayotokana na sheria ya uchaguzi ambapo mtu hata akijiuzulu kwa kuunga mkono juhudi, baada ya muda serikali inalazimika kuitisha uchaguzi kwa gharama kubwa(matumizi mabovu ya kodi za wananchi masikini).
Naunga sana mkono hoja uliyoileta, ni kweli hawa wakopeshaji ni watu wenye kudhulumu sana, na wanastahili kushughulikiwa kisheria.

Lakini nawe huwezi keta mada ikawa mada, bila ya kuchanganya na unafiki wako uliokuwa identity yako, na kuonyesha hisia zako za kisiasa.

Jifunze kuwa na independent opinion, bila ya kutumwa.
 
Back
Top Bottom