Wenye dhambi nzito tukutane hapa

Kila mtu ana dhambi zake ila moyo unakuwa mzito kuziweka hadharani.

Binafsi nimeiba sana ila level ya kawaida na sijawahi kukamatwa wala kudhaniwa, niliacha 2012 nikiwa form 6.

Matukio haya machache siwezi kuweka mazito.

nikiwa shule ya boarding kuna wanafunzi wenzetu walikuwa wanatuuzia chips wanazoagiza kwa order. niliiba pesa zao, walitishia mpaka kuleta mganga ila mimi nilipiga kimya tu maana walikuwa hawajui ni mimi na nilikuwa najua kinachoendelea kwa mganga wao feki muuza chipsi wanataka ajifanye eti mganga aje kuchimba biti.

Niliwahi kuiba viatu vikali balaa kwa mtoto flani wa kishua nikiwa boarding nikaenda kuviuza kwa elf 10 miaka ya 2007.

niliwahi kuiba elf 10 kwenye wallet ya mwanafunzi mwenzangu, Biti lilipigwa kwamba alieiba anarogwa mi wala sikuwa na stress maana nilikuwa najua waganga wa shuleni ni chupli chupli tu wanakula hela za wanafunzi washamba.

Niliwahi kuiba flash disk enzi hizo zinatamba, miaka ya 2006 hivi, niliificha nyuma ya kabati ili shule ikifunga niondoke nayo, siku wanafunzi wakaanza msako bwana, kabati baada ya kabati, yani nilinusurika langu walipita haraka maana kiukweli sikuwa naonekana mwizi, walikuwa na mtu wao wanaemuhusi, kupitia makabati ilikuwa ni zuga tu.

Siri kuu ya wizi niliyotumia ni kuiba peke yangu, wezi wengine walikuwa wanakamatwa na kupewa visago kwasababu ya kuiba kimakundi, moja akiteleza .wemgine anafatwa.
Mpaka saizi unaendeleza kimya kimya... hahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasoma kwiro boys kweli mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom