Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Salaam.

Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.

Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Wakati mwingine anamwambia mkewe kuwa nimeshikwa na msuli, ngoja nimpigie Emma aje anichue. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.

Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.

Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.

Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
Siku hizi kipaji chako cha utunzi wa hadithi kimeshuka sana
 
Write your reply...in fact a false story! hivi huko mwanza ndio tabia yenu?.. hatari sana,hilo group kama tangazo vile
 
Unajua mkuu kuna wanawake sio "wapekepeke" wa kufuatilia mambo, au kusoma alama za nyakati kama ulivyosema. Huyu dada anafanya biashara ya mitumba soko fulani hivi hapa Mwanza maarufu Mlango mmoja. Halafu anasema mumewe anakuwa mkali mkali muda wote hasa mgeni Emma akiwa hapo kwao. Anasema hata siku za Jumapili anaweza kuambiwa awasongee ugali saa tatu asubuhi, wanataka kula waende zao
Awasongee ugali ili wapate nguvu ya kwenda kufirna Mungu okoa hiki kizazi....
 
Mauongo tu hakuna ukweli ndani yake yaani wife unamwambia ukalale na mgeni. . Hadithi yako nzuri bwana hongera mtunzi
 
Kweli mkuu tusali sana, lakini mengine na sie wanadamu tunazidi tu wenyewe. sasa kama hili jamani
Mambo mengine shetani husimama pembeni na kushika kichwa chake na kuachama mdomo haamini binadamu walivyo mafundi kumzidi yeye
 
kweli aisee, chumvi i kali mno, kwa hali ya kawaida , huyo bwana hata kama ni shoga lililokubuhu haliwezi kumkaribisha mtu ndani na lilale nae limwache mkewe na mkewe asishtuke chochote
Ila kuna wanawake mbulula hawanaga muda wakumfuatilia Mme hata kama aje asubuhi utasikia shauri yake, yawezekana yeye alijua ni rafiki yake tu
 
Back
Top Bottom