KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,511
Mtu alikuwa na kilo 80 na akipatwa na umauti kilo zinaongezeka? Zinaongezeka kivipi? Ni mimeng'enyo ipi iliyosababisha huo muongezeko? Hebu lete sayansi iliyosababisha kuongezeka kwa kilo!Hayo ya Mil 40 sijasema mimi..!! Ila Maiti na jeneza kuwa na Kilo 120 ndo nimeshangaa.. Kwanza mtu akifa kilo zinaongezeka..pili jeneza kilo zikipunguza sana 100 labda kama Maiti ya mtoto na jeneza la mtoto sio mtu mzima.