Search results

  1. Mrbwire

    Truck bed cover (mfuniko wa bodi ya pickup)

    Heshima kwenu! Naomba kujua wapi naweza kupata hard tonneau cover / bed cover ya Nissan Hardbody (Double Cab). Mwenye nao au anayejua wapi naweza kuupata tafadhali. Ninamaanisha mfuniko wa bodi kama inavyoonekana pichani. Picha hii ni kwa ajili ya kuonesha ninachokihitaji - aina ya gari ni...
  2. Mrbwire

    Nyumba inauzwa Ituha - Mbeya mjini

    Nyumba inauzwa maeneo ya ituha (Mbeya Mjini). Si umbali mrefu kutoka inapoishia rami.(Unaingulia Sae). Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja kati ya hivyo ni self), Ina sitting room, dinning room, kitchen na public toilet. Ina talies. Ceiling board imewekwa sebuleni. Ina umeme na maji yapo...
  3. Mrbwire

    Njia pekee kuinusuru UKAWA

    1. Ni ubinafsi kwa CHADEMA kutaka majimbo yote ambayo upinzani una nguvu na wakati huo huo kumtoa mgombea uraisi kwa niaba ya UKAWA. Katika muungano wowote lazima pawe na kupata na kupoteza. Kuna baadhi ya maeneo muungano utaongeza nguvu zako na kuna baadhi ya maeneo utaku-limit. Hili...
  4. Mrbwire

    Pick up inahitajika

    Wakuu, Nahitaji pickup ya kununua. Iwe double cab yenye atleast namba C. Budget iliyopo ni 17M. Natanguliza shukurani.
  5. Mrbwire

    Natafuta land cruiser hardtop:

    Hello great thinkers, Ninatafuta gari hyo, mwaka wowote ule but iwe katika hali nzuri. Budget yangu ni 18M-20M. Picha ni muhimu. Mwenye nayo/mwenye taarifa za wapi ipo ani-pm. Natanguliza shukurani. :amen:
  6. Mrbwire

    Gari inauzwa .....(priced to go!)

    A well maintained Suzuki Escudo (5 Doors, 4 Wheel drive) inauzwa kwa Tsh. Milioni 8.4 Gari iko Mbeya (Kwa mnunuaji bei inazungumzika kidogo) Year: 1995, Model: TDIIW, Milage: 166172, Color: White NB: Hii ni V6 ila imewekwa injini used ya 4-cylinder (Just 3 months ago) - Very economical. Gari...
  7. Mrbwire

    Sony music system for sale for just 650,000/=

    The above product (Sony Genez - SS-GTR77P) is on sale for just 650,000/= - Subwoofer - 20 cm - High compression horn tweeter The system have been used for about four months only. So it is as good as a new one! Serious buyers contact 0768 - 770 465 (Mr. Ally Rajabu) Serious...
  8. Mrbwire

    Mitsubishi fuso for sale

    Hbr wakuu, Nimeombwa na ndugu yangu kumpositia taarifa hii. Anauza gari Mitsubishi Fuso ya mwaka 1994 model FK618J (Heavy load Vehicle - Tani 10). Ipokwenye hari nzuri but inahitaji service. Bei TSH. 18,000,000/= (18M) KM we ni muhitaji wasiliana naye direct kwa taarifa zaidi unazoweza...
  9. Mrbwire

    Natafuta nyumba mbeya mjini:

    Natafuta nyumba ya kupanga mbeya mjini. Iwe ya vyumba viwili, sitting na jiko.Iwe na fensi na sehemu ya kutosha kwa parking na kuweka ng'ombe mmoja au wawili wa maziwa. Naomba mwenye nyumba yenye sifa hizo ani PM fasta!
  10. Mrbwire

    Natafuta Subwoofer

    Wakuu, Naomba mwenye Polk Audio Subwoofer anipe bei yake tafadhali - I desperately need it , Ningeprefer DSW PRO500 model. Natanguliza shukurani za dhati!
  11. Mrbwire

    Wanaweza!

    Wanaonekaka wanyonge, lakini wanaweza... kupitia umoja wao WANAWEZA!
  12. Mrbwire

    Masters ya Development Studies

    Heshima zangu kwa wanataaluma na wanazuoni wa JF! Nikiwa najua kuwa mafanikio ya mtu ki-maisha hayatokani tuu na kozi aliyosoma, natambua pia kuwa kozi uliyosoma ina mchango mkubwa hasa kama iko sokoni...yaani kama inauzika. Naomba kufahamishwa postgraduate ya development studies (MA)...
  13. Mrbwire

    Natafuta Hiace ikabebe raia kijijini kwetu:

    Heri ya mwaka mpya wana JF wooote! Wakuu natafuta Toyota Hiace Dungu (2L Engine) bajeti yangu ni finyu (M.7) lakini najua ndani ya JF hakishindikani kitu. Naomba kisiwe kimeo sana maana kinakwenda kusanya kijijini kwangu. Tafadhali ni-PM au niandikie mrbwire@yahoo.com Saluti!
  14. Mrbwire

    MARK II GR FOR SALE (Going at a very affordable Price)

    Mark II GR going at a very affordable price ... Only 4.5 M Gari inaita sana, (Angalia picha hapo chini) imekuwa ikitumiwa kwa kwenda ofisini na kurudi. Other Particulars: Year: 1992, 4-Cylinder, 170,000kms Mnunuzi ani-PM au aniandikie mrbwire@yahoo.com
  15. Mrbwire

    Rangi gani bora?

    Habari za saa hizi wana JF! Najua kuna aina nyingi za rangi kiasi kwamba nikienda dukani nikaomba nipewe rangi ya nyumba (I.e. Ukutani na kwa ajili ya bati) nawezajikuta ninaishia kupata rangi zisizodumu au za quality ya chini. Si unajua vijijini kwetu sisi tunajua rangi ni coral paints...
  16. Mrbwire

    Ng'ombe wa maziwa

    Natafuta ng'ombe wa maziwa hapa Bongo. Specie iwe yenye kutoa atleast lita nane kwa mkamuo. Asiwe ng'ombe mzee. wasiliana nami kwa email: mrbwire@yahoo.com
  17. Mrbwire

    Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa.

    Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko kigamboni (kati ya km 17 - 18 baada ya kuvuka). Ni nje ya eneo lililotengwa kwa ajili ya uendelezaje wa mji wa kigamboni. Ni eneo zuri kwa ajili ya makazi, ufugaji godown na pia shule. Bei ni Tsh. Milioni nane (8 Mil.) Pia kuna viwanja...
  18. Mrbwire

    MARK II GR INAUZWA (4 cylinder)

    Habari wakuu, Kuna wa kuja mmoja amelazimika kuuza gari yake baada ya kujikuta anashindwa kurudisha marejesho ya mkopo wake bank. Ni Mark II GR (Ni auto 4 cylinder) Gari ipo katika hali nzuri sana...
Back
Top Bottom