Rangi gani bora?

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Habari za saa hizi wana JF!

Najua kuna aina nyingi za rangi kiasi kwamba nikienda dukani nikaomba nipewe rangi ya nyumba (I.e. Ukutani na kwa ajili ya bati) nawezajikuta ninaishia kupata rangi zisizodumu au za quality ya chini.

Si unajua vijijini kwetu sisi tunajua rangi ni coral paints tuu, kumbe panaweza kuwa na rangi bora zaidi. Nisaidieni ili ninunue kilicho bora kwa ajili ya kibanda changu. Nahitaji rangi ya Ukutani (Ndani na nje) na pia rangi ya bati.

Natanguliza shukurani kwa wote watakaotoa ushauri.

_________________
When God leads you to the edge of a Cliff, Trust Him fully because only one of the two things will happen... EITHER He will teach you how to fly OR He will catch you when you fall.
 
Back
Top Bottom