Natafuta Hiace ikabebe raia kijijini kwetu:

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Heri ya mwaka mpya wana JF wooote!

Wakuu natafuta Toyota Hiace Dungu (2L Engine) bajeti yangu ni finyu (M.7) lakini najua ndani ya JF hakishindikani kitu.

Naomba kisiwe kimeo sana maana kinakwenda kusanya kijijini kwangu.

Tafadhali ni-PM au niandikie mrbwire@yahoo.com

Saluti!
 
Kama ni kijijini, na kama ukikosa hiyo hiace, tuwasiliane ili nikuunganishe kwa mtu wangu anaitwa MziziMkavu, anajua usafiri wa bei cheaper na wa haraka kabisa wa kusafirishia watu vijijini, ambao gharama zake za kuu'operate ni minimal!
 
Jaribu kwenda zbar....zipo tele...tele ila uende mwenyewe ukachague...yard au zilizotumika kidogo
 
Unatakiwa ueleze huko kijijini kwenu ni eneo tambarare au vilima na mabonde? vile vile aina za barabara, udongo au mchanga. Ukisha kuwa na data za aina hiyo unaweza kuamua kuwa hiyo gari iwe ya petroli au dizeli au iwe na 4WD au iwe double tyres nyuma. kaka usipotake these factors into consideration umeingia mkenge.
Hata ukipata gari uitakayo tafadhali tafuta fundi anayeaminika akushauri maana unaweza kununua gari badala ya kukuingizia kipato ikawa inatoa Good Luck bro
 
kwanini usinunue mtambo mpya(used in japan)??.
unataka ukawamalize watu wa kijijini kwenu kwa hiace kimeo lililotumika bongoland?.
 
Good idea lakini ahakikishe specs za gari hilo zinaendana na mazingira ya kijijini kwa hapo ukiondoa mambo mengine [uendeshaji mmbaya] atapata good returns
 
dungu,2l engine kwa m7, lazima utanunua utumbo sana mkuu tena sana, hela hiyo ujaingiza dungu toka japan, kuwa muangalifu, gari unataka kuitumia kwa ajili ya kubebea watu. zikiwa m10 unaweza pata mitsubishi ya watu 26 toka japan, sikushauri ununue dungu kwa m7,nina hakika utanunua siyo.
 
Jamani,
Nami pia ninahitaji Hiace, Engine 2L-Diesel. Offer yangu kama iko registered in T.. .. .. B.. .. category mfano T 123 BBC niko tayari kwa 9.7M cash. Kama kuna mwenye nayo ani-PM
 
vema wenye pesa mkaweka details za pesa ktk T-Shilings na pia in Dolla.
 
Jaribu kwenda zbar....zipo tele...tele ila uende mwenyewe ukachague...yard au zilizotumika kidogo

Asante Kwa ushauri, lakini nasikia zanzibar wanakusanya vimeo vilivyoisha kabisa, wanaviingiza bodi kisha wanatubambikiza wabongo. Sijui kama kuna ukweli katika hili...
 
Unatakiwa ueleze huko kijijini kwenu ni eneo tambarare au vilima na mabonde? vile vile aina za barabara, udongo au mchanga. Ukisha kuwa na data za aina hiyo unaweza kuamua kuwa hiyo gari iwe ya petroli au dizeli au iwe na 4WD au iwe double tyres nyuma. kaka usipotake these factors into consideration umeingia mkenge.
Hata ukipata gari uitakayo tafadhali tafuta fundi anayeaminika akushauri maana unaweza kununua gari badala ya kukuingizia kipato ikawa inatoa Good Luck bro

Kuna milima lkn si ya kutisha, hakuna mchanga so si lazima iwe 4WD. Asante kwa ushauri
 
Kama ni kijijini, na kama ukikosa hiyo hiace, tuwasiliane ili nikuunganishe kwa mtu wangu anaitwa MziziMkavu, anajua usafiri wa bei cheaper na wa haraka kabisa wa kusafirishia watu vijijini, ambao gharama zake za kuu'operate ni minimal!

Kwa nini tusiikie alternative hiyo mapema? Isije kuwa ya punda mkuu wangu?

Natamani kuisikia plan B, ili niweze kufanya maamuzi yaliyosimama..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom