Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33
2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi.
3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test...
Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna mtumishi yeyote aliyepata fedha hizo au kuwekewa kwenye akaunti yake kama NAIBU WAZIRI MOLLEL...
Watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 waliahidiww kulipwa stahiki zako na Naibu Waziri baada ya wiki mbili zitakuwa zimeingia kwenye account zao.
Cha kushangaza ni karibu mwezi Sasa unakatika hakuna chochote. Vipi hapo mnalizungumziaje HILO JAMBO?
Mnataka watumishi hao wawaeleweje?
Nami ni muhanga wa hili la kutopandishwa madaraja kwa miaka saba sasa. Ni vizuri watumishi tukapewa haki yetu. Viingizi wengi wanazungumzia utendaji bora bila kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi
Vifaa vya electronics na vifaa vya umeme jitahidi ununue katika maduka ya wahindi. Hata kama ni bei kubwa.
Wao huwa hawana longolongo.
Wabongo wenzetu wengi si waaminifu
Nahitaji mpenzi wa kusogeza naye siku.
Umri kuanzia 26 hadi 35
Asiwe na commitment nyingine ya mahusiano. Au kama anayo basi iwe mbali na yeye
Mie niko Dar. Na yeye awe Dar
Awe mrefu/wastani, mrembo
Awe ana kazi yake inayo muingizia kipato, asiwe tegemezi
Mie ni mwajiriwa.
Nahitaji mpenzi/Friend...
Watumishi wa Afya walioajiriwa september 2013 na 2014 kwa sasa wana miaka takribani 6 mpaka 7 kazini na hawajawahi kupandishwa madaraja ya mishahara yao ambao ni Takwa la kisheria
Mnaahidi watapandishwa LINI? SABABU ZA MSINGI
KUWACHELEWESHEA HAKI YAO NI NINI?
Pandisha madaraja ya mishahara watumishi wa umma kuanzia August 2013 na 2014. Watumishi hawa wanasubiri tamko lako ili wapande madaraja mishahara yao iongezeke. Viongozi wanasubiri useme kitu ili wapitishe. Toa tamko maana ni haki yao kupanda madaraja na ulisema hujakataza kupanda madaraja...
Habari za kazi mheshimiwa rais. Pole kwa majukumu yako ya kusafiri sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufanya kampeni
Sisi watumishi wa umma ambao hatujapandishwa madaraja ya mishahara tunaomba utoe kibali ili tuweze kupandishwa madaraja
Tunajua kwa sasa huwezi kuongeza mishahara.
Lakini kwa sisi...
Ni vizuri kia mtu apende kufuata utaratibu uliowekwa na ofisi yoyote.
Kama ni muda wa kuona wagonjwa ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa mojabasi fima muda huo uliopangwa na ofisi hisika.
Wewe unakuja saa mbili na dakika tano,harafu unaanza kuhalalisha kuchelewa kwako. Operesheni anafanya...
Kabla hajapatwa na umauti hospitali ilimhudumia bila kujali kuwa atakuwa na uwezo wa kulipa au la. Hicho ni kitendo cha uzalendo kwa hospitali husika ma kitendo cha utu kama walivyofundishwa medical school.
Hospitali za private haufanyiwi huduma mpaka ulipie kwanza.
Ningeshauri uwapongeze kwa...
Ni jambo zuri sana uliloliandika. Unaonaje ukaandika email moja kwa moja kwenye mashirika hayo kama ILO n.k
Utakuwa umesaidia watumishi wengi
Hapa ni walewale ambao hawawezi kufanya chochote
Vyama vya wafanyakazi havijafanya chochote hata kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya serikali vimeshindwa...
Unaweza kupimwa mara moja. Hichi kipimo sio cha bure. Ni shillingi laki moja. Vinapatikana kwenye hospitali kubwa za kanda.
Nenda na hela. Tatizo wengi tu apenda vya bure. Hichi kipimo ni uhakika
Kwa kuongezea sio kila mgonjwa ni kukimbiza hospitalibya rufaa ya mkoa,je mlianza kwenye vituo vyenu vya afya au hospitali ya wilaya? Hospitali za rufaa za mikoa zinapokea wwgonjwa wwnaohitaji matibabu ya kibingwa,ambao wameshindikana ktk vituo vua afya na hospitali za wilaya. Siku nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.