DC wa Kyerwa Kagera Luteni Kanali Benedict Kitenga ni dhalimu sana. anatumiwa na wenye pesa. juzijuzi hapa watu wanaotaka maeneo ya kuchungia mifugo walimtumia kufanya dhuluma kubwa kwenye kijiji cha kibingo. Aliamuru mgambo, wenyeviti wa vitongoji na majambazi wengine wafyeke migomba na kubomoa...
Hali sasa ni shwari kati ya majirani, Tanzania na Rwanda, na waliokuwa wanachochea vita kama gazeti la Mtanzania wanaona haya sasa. Jeneral Ignas Paul Meela, mkuu wa jeshi la Umoja wa Mataifa Darfur amelipongeza jeshi la Rwanda kwa weledi wao.
An RDF peacekeeper (L) is decorated during the...
Kwanza nimwombe radhi Kikwete, kwani ni miongoni mwa watu waliodhani kuwa kweli alitoa kauli kali dhidi ya wahamiaji wa Rwanda akiwaita haramu, na kusema baada ya wiki mbili operation kali itafuata.
Sio kweli. Nilishangaa, kwani marais wamekuwa wakija Kagera miaka nenda rudi, wakipewa...
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.
Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI...
Mch. Christopher Mtikila alimshambulia Peter Serukamba eti ni Mtutsi. Akasupport hoja yake kwa kusema eti ni Serugamba. Kwa mawazo ya Mtikila jina Serugamba linamfanya kuwa Mtutsi. Tumsamehe bule Mzee Mtikila, yeye ni M-Ludewa hajui chochote kuhusu mikoa ya magharibi mwa Tanzania. Kwanza niseme...
Mkumbwa Ally has been widely misquoted by anti-kagame propagandists, making war cries! Actually Mr Ally said that there was no reason for the two countries to go to war, talking to Tanzania Daima, and said JK only gave an advise which could be rejected or taken. Now anti-Rwanda Hutus are basking...
Akiwa Japan, JK alistushwa sana na kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Rwanda kumwita genocide sympathizer. Mara Yakaandikwa majibu na kuchapishwa kwenye official blog ya Tanzania, na kasha yakatolewa gazeti la serikali Daily News chini ya kichwa cha habari: Come on Rwanda: The guy wa I will hit...
King Cobra alizoa waraka wa ahatari wa kibaguzi akaubwaga humu ndani, pwaaa! akamsaidia mtikila kupromote hate. Sasa Rwanda wanadhani Tanzania kumezuka anti-Tutsi movement wakati ni kazi ya lunatic mmoja.
sasa Mtikila anatumiwa kuwashambulia Chadema. Mtikila ametumiwa na watu wengi sana...
Katika waraka wake wa kibaguzi na chuki, gun for hire au attack dog Christopher Mtikila alisema kuwa museveni na kagame wanaiba maliasili kongo. na wa jf hapa wengi wanaamini hivo. Siku zote ukitaka uongo uwe ukweli, urudierudie utakuwa ukweli. hivi kweli kongo ikiwa na maliasili watu wake...
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.
He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate!
The president also said that...
at a press conference in Kigali, Kagame spoke passionately about the level of hate and genocide ideology promoted recently Mtikila, and wondered whether Kikwete's comments had nothing to do with Mtikila extremely hate speech published by JF and wavuti. He also asked why no action had been taken...
Addressing editors this week in Kigali, president kagame said he was shocked by Kikwete's statement, more so as he gave it in the wake of the most venomous hate speech made my Chris Mtikila. He said: "There is a guy called Mtikila, he wrote terrible things, that are genocide promotion in...
Mkapa alimwacha akiwa na cheo cha Luteni Kanali na akiwa DC wa Ngara. Leo ana cheo cha Luteni Jenerali, yaani amevuka vyeo vya Kanali, Brigedia na Meja Jenerali
Alikuwa DC sasa Chief of Staff, mtendaji mkuu wa jeshi. Ndomba ana kismatiiiii: baby:: third:
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote...
this is an important link that sheds sme light on genocide. babukijana, wacha, naomba kama mko europe au sehemu yenye fast internet muangalie hii testimony kwenye youtube
YouTube- Rwandan Genocide Survivor Tells Her Story
Wana JF,
Jana nilisikiliza BBC kipindi kuhusu Nelson Mandela kuwasamehe his tormentors. South Africa ni kama uhasama umeisha licha ya Shapville massacres, kufungwa kwa Mandela and co. na assasinations na ubaguzi mwingi.
Je, majirani zetu Rwanda wanaweza kutumia huu mfano?
Ukweli kuhusu Rwanda...
Wanajamii,
Kila ukanda una nchi ambayo inachuliwa kama super power. Mfano S.Africa ni top kwa ukanda wa southern, Egypt north, nigeria West Africa na Angola Central Africa.
Sasa ndani ya jumuiya ya Africa Mashariki nani zaid? Wanansema Kenya je ni kweli? na tutumie vigezo gani ku-grade nchi.
Inaonekana kilele cha mafanikio kwa kila Mbongo ni kugombea ubunge. Mwandishi wa habari akiwa maarufu badala ya kufikiria kwenda Al Jazeera, CNN, etc. anafikiria kutumia umaarufu kupata ubunge. Legal officer kama Ngeleja akipata mipesa, anakimbilia ubunge. Yasoda, ameonekana kwenye luninga mara...
Law Masha, waziri wa Mambo ya Ndani ni Mzinza, na utafiti was Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.
Mdau yetote aliyeko London aende maktaba ya Royal Geographical Society atafute kitabu kiitwachwo 'Journal of Discovery of River Nile' na asome walichokiandika explorers waliopita tabora, uzinza...
A picture of mama nyerere appeared in New Times to receive medals from Kagame for helping their cause.
Why did Nyerere help everyone?
Kagame said: "Founding President of United Republic of Tanzania, committed Pan Africanist, Visionary Leader, Distinguished Freedom Fighter, Eminent Educator...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.