How JK snubbed Kagame

RUTAJUMBUKIRWA

Senior Member
May 3, 2009
185
89
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
 
huo ndio ukweli...na siku zote unauma...anachotakiwa jk ni kuitafakari na kuchukua hatua lol!
 
manina mkweere anaskia kitu? sikio la kufa haliskii dawa...anajua kunywa togwa tu na kucheza mdumange
 
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi

Usiwe mwepesi kuhukumu kwa kumwita Kagame "arrogant." Ukweli ni kwamba aliyoyafanya Kagame kwa ajili ya nchi yake katika miaka michache ndiyo yanampa jeuri ya kuyasema aliyoyasema. Na kwa kiasi fulani ni ukweli mtupu na siyo "arrogance"
 
usijali akimaliza muda wake tutamfanya kama vile Charles Taylor alivyofanywa muda mrefu pale THE HAGUE
 
..We will have to get used to Kagame, he always speak his mind! No hypocrisy. He is a die hard Arsenal FC fan, he was even sent a birthday card (by Wenger) signed by all Arsenal players. After arsenal's sloppy start to the leage last year, he asked the club to sack Wenger!
 
Shida ni kuwa huyu baba Ritz1 hataki kuukubali ukweli, kwani Kagame alikosea nini hapo? Ni wazi kama tz ikiwa na uongozi thabiti basi mambo hayapaswi kufika hapa yalipofika!!!!
 
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi

Ukweli unauma!
Hta tukibadilishana, sisi twende USA wao waje huku, bada ya 10 itakuwa disaster tu...
 
Nampa big -up sana kagame ana akili sana yule sio kiazi hiki aina ya nazi ya bagamoyo. Sasa yeye alitegemea aimbiwe nini ? Anashangaa yeye hana raslimali lakini mambo bye pamoja na kutoka vitani na udogo wa nchi leo hii rwanda iko juu kuliko tz. Hapa kwetu kikwete kazi yake ni kujipandisha academic rank mara dr nafikiri bado kidogo atapeleka mswada wa kumtambua kama professor kikwete. Maana udr hauna maana kwa sasa watu hadi madc wanajiita madr
balozi mpya wa rwanda alikabidhi hati zake kwa bernard membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...this is because jk hakutaka kusikia chochote kutoka kwa kagame, the arrogant guy of kigali. Nasikia they dont see eye to eye because kagame aliwahi kusema eti akipewa tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia eac bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
 
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi

You can hate Kagame..but at least he have achieved somewhere.....hii nchi sio Kagame tu ...hata ukinipa Mimi....nitaifanya kuwa nchi iliyoendwelea ...tatizo mmeshajiapiza kuwa kuna watu wengine hii nchi hamtakaa muwape..........sasa ili kuchochea maendeleo na kutunza utaifa wetu .....tuweke serikali za majimbo......ili watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ....wanaotaka kwenda taratibu...na kucheza ngoma ....wacha waendelee tu.......

Majimbo Nane yanatosha nchi hii....serikali hizi zipo kila mahali na hazijavunja utaifa zaidi zimekimbiza maendeleo ...zipo China,Russia,India,Pakistan ,south Africa ....etc...la muhimu ni kuwa hakuna jimbo hata moja litaundwa kikabilan....ie

Mashariki( pwani ,dar es salaam na morogoro)
Jimbo la Kati (Dodoma,iringa na singida,sehemu ya manyara)
Jimbo la nyanda za juu( mbeya,Njombe,katavi)
Jimbo la mangaribi ( Rukwa ,kigoma,tabora)
Jimbo la ziwa ( Kagera,mwanza,Mara)
Jimbo la kaskazini(tanga ,Kilimanjaro ,Arusha ...sehemu ya manyara)
Jimbo la kusini (Lindi,mtwara na ruvuma)
Jimbo la visiwani ( defacto Kama muungano utasema serikali tatu hii tutaita ...serikali ya Zanzibar ...litakuwa eneo lenye mamlaka yote ...ukiondoa ulinzi..au usalama wa ndani na nje...tofauti na maeneo mengine amabayo yatakuwa tu maeneo ya utawala wa kimaendeleo ....na watendaji wake wataendelea kuwa vetted na central government ...ili kuimarisha utaifa)

Serikali za majimbo zitawajibika zaidi kwa wananchi serikali kuu itaendelea kutoa muelekeo wa sera ....na kusimamia mambo...,na kusaidia majimbo.
 
Ni zaidi ya hayo...Kagame amekuwa akiudhika sana na JK suala la uchakachuaji mafuta yanayoenda Rwanda, akiwa na feeling kwamba JK alikuwa akifumbia macho uchakachuaji na kutochukua hatua madhubuti, na ndio maana hata alifikia hatua ya kuwaweka ndani madereva toka Tanzania waliopeleka mafuta yaliyochakachuliwa. Kwa kweli you can admire Kagame inapokuja kwenye suala la commitment ya maendeleo ya nchi yake. Tatizo lake kubwa ni kwamba ana philosophy ya "any means justifies the development of Rwanda and her people", hata kama ikibidi kuvunja vichwa vya watu wawili au watatu, dispensable casualties of development!

Ila kuna mjinga mmoja Tanzania alisema tungekuwa nchi ndogo kama Rwanda tungekuwa tumeendelea sana, akisahau kwamba huwezi ku-assume tuwe nchi ndogo kama Rwanda lakini tuwe na abundance ya resources ile ile tuliyonayo Tanzania kama nchi kubwa!

Ukweli ni kwamba Kagame ana uchungu na nchi yake na hataki mzaha au kulea ujinga ujinga kwenye masuala ya maendeleo ya Rwanda. Angala Rwanda inavyokwenda mchaka mchaka kwenye maendeleo sasa!
 
Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi

hiyo sio arrogance, hiyo ni opinion ya mtu...unajua watanzania hatujui kurespect other ppo's opinions. Na alichosema ni ukweli madini yote tuliyonayo hapa, maliasili zetu zote, utalii, juzi nimesoma mahali kuna watu wanalalamika mount kilimanjaro haujawa unatangazwa vizuri nchi za nje ili kuweza kuvutia zaidi watalii hapa...kuna wazungu wengine nishakutana nao wanaamini kabisa kua mount kilimanjaro uko kenya AIBU!!

Nilisoma mahali kua sisi tanzania tuna more natural gas kuliko Russia and yet russia hawana mgao wa umeme sisi tunao. Kagame is right, tungekua na Rais na Serikali ambayo ni kichwa..tanzania ingekua kati ya mataifa tajiri hapa duniani.
 
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...

Inawezekana usiwe sahihi. Alikuwa anawasilisha nakala (sio original) ya hati zake kwa Membe.
Ninavyoelewa kiprotokali, hatua ya kwanza unawasilisha kwanza nakala ya hati kwa Wizara ya Mambo ya Nje.
Baada ya hapo inafuatia hatua ya pili ya kuwasilisha hati original kwa mkuu wa nchi.
Kwa hiyo kama niko sahihi, alichofanya huyo balozi ni hatua ya kwanza tuu.
Bado atafuata hatua ya pili kwa kuwakilisha hati original kwa Rais.
 
Usiwe mwepesi kuhukumu kwa kumwita Kagame "arrogant." Ukweli ni kwamba aliyoyafanya Kagame kwa ajili ya nchi yake katika miaka michache ndiyo yanampa jeuri ya kuyasema aliyoyasema. Na kwa kiasi fulani ni ukweli mtupu na siyo "arrogance"

Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom