JK, mchunguze DC wa Kyerwa Kitenga

RUTAJUMBUKIRWA

Senior Member
May 3, 2009
185
89
DC wa Kyerwa Kagera Luteni Kanali Benedict Kitenga ni dhalimu sana. anatumiwa na wenye pesa. juzijuzi hapa watu wanaotaka maeneo ya kuchungia mifugo walimtumia kufanya dhuluma kubwa kwenye kijiji cha kibingo. Aliamuru mgambo, wenyeviti wa vitongoji na majambazi wengine wafyeke migomba na kubomoa nyumba za watu. watu hawa walikuwa ama ni raia wa tanzania ambao uraia wao unatiliwa shaka au wakazi halali wenye permits. baada ya kufanya uhalifu huu, akawaita waandishi wa habari akasema wahamiaji haramu wamerudi na silaha za jadi wanajiita m23 wwanatisha wananchi kwa kuwaomba chakula!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! waandishi ambao kazi yao ni kuandika yaliyosemwa na viongozi, na ambao siku zote hawajishughulishi kufanya uchunguzi wao wakaandika m233333333, blabla, kitenga kafanikisha.
Sasa JK kasema dhuluma yote ilipotiwe kwake na sasa naomba jk amchunguze dc wake huyu. au kwasababu ni watu wa asili ya nje watendewe dhuluma wakati wana vibari, mbona watanzania walioko nje kwa vibali hawatendewi unyama, ustaarabu wa duniani uheshimiwe
http://www.magazetini.com/news/wahamiaji-haramu-warejea-wajiita-m23
 
Back
Top Bottom