Search results

  1. assadsyria3

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    sasa hoja yangu ni tuhuma za Muumin wao THADEO OLE MUSHI ambazo mtandaoni zimevuma wiki nzima kunyimwa haki yake ya mazishi kwa taarifa kuwa alipinga waraka wao kuhusu bandari. Kanisa linapaswa litoke lijieleze kama tuhuma hizo ni kweli au la na kama pia viongozi wa serikali wakatoliki...
  2. assadsyria3

    Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko

    kamanda tupo pa1 kupinga wanaomtisha Rais kwa maandamano
  3. assadsyria3

    Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko

    haiwezekani kila siku kutishana
  4. assadsyria3

    Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko

    Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru...
  5. assadsyria3

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Kwa kuwa wamemwaga mboga mwaga ugali. FUTA MOU hakuna kuwapa mishahara madaktari, hakuna msamaha Tena bandarini Kwa vifaa Tiba wakati tunalipishwa tukienda mahospitalini, billioni wanazopewa Kila bajeti zizuiwe. watatia akili.
  6. assadsyria3

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    source: BBC Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda. Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini...
  7. assadsyria3

    UZUSHI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    MKATABA WA BANDARI Tamko la Kanisa lapingwa kila kona Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam Muda mchache tu baada ya viongozi wa Kanisa Katoliki kutoa tamko kupinga mkataba huo, tayari watu wa kada na Imani tofauti wamekosoa na kulipinga tamko lao hilo na kuitaka Serikali iendelee na...
  8. assadsyria3

    Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    ila huoni nia njema ya taifa lenye watu wenye staha na kuheshimiana mkatofautiana kwa hoja bila matusi au kuvunja heshima za watu
  9. assadsyria3

    Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    ni kweli mama naye anaroho, anafamilia. ngoja awape kesi ndo vitu baadhi wanavihitaj zaidi badala ya aman na utulivu
  10. assadsyria3

    Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  11. assadsyria3

    Serikali inaogopa nini kuwachukulia hatua watu wanaoleta uchochezi?

    Uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa. Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea. Kuna watu wanasema Hayati Magufuli alikutwa na Bil. 100 lakini hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai. Watu kutoa lugha...
  12. assadsyria3

    CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    kumbuka Kuna KESI ya ugaidi ilikua haijaisha
  13. assadsyria3

    CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili...
  14. assadsyria3

    Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Tweet ya suphian kaka yangu @TunduALissu unamkejeli Rais @SuluhuSamia eti hatoshi umesahau ndiye: 1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji 2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge 3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji 6)Kufuta watu wasiojulikana...
  15. assadsyria3

    Hiki chama kimepoteza legitimacy. Msajili akipe onyo au akifute

    hiki chama ovyo sana pamoja nakuwaita maaskofu kibao kumchafua Mama wamekwama watu walisusa kufanya uwanja wa temeke kigango Cha kanisa.
  16. assadsyria3

    Hiki chama kimepoteza legitimacy. Msajili akipe onyo au akifute

    Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine. Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika Hatutaki udini Hatutaki...
  17. assadsyria3

    Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Uhuru usio na mipaka ni uhaini. Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi. Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa...
  18. assadsyria3

    BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

    Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Back
Top Bottom