Search results

  1. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  2. winky

    Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

    Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi. Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police...
  3. winky

    Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Naomba kuchukua nafasi hii kuelezea changamoto zetu na kutoa pendekezo kuwa wilaya ya ubungo igawanywe itoke wilaya ya ubungo na kibamba ili tupate mbunge, dc, das na halmashauri yetu. Kwa kuwa sisi wakazi wa kipande cha kuanzia Mbezi makabe, msakuzi,Msumi, mpiji yote na kidimu hawa viongozi...
  4. winky

    Sijasex muda wa miaka 2 na nusu na niko safi tuu!!

    Well, nilitengana na mzazi mwenzangu muda kama miaka 5 iliyopita sasa ni marafiki tu. baada ya hapo sijawaha na mahusiano rasmi sana ila sijagegedana nina zaidi ya miaka 2 na nipo fine tu, natongozwa sana tu ila wote tukianza kuzoeana sana kuelekea huko naloose interest. Naamua kumdump naanza...
  5. winky

    Wapi nitapata packing bags?

    Habari za mchana. Naulizia company gani nitapata packing bags printed kwa hii Dar. Msaada please!
  6. winky

    BOT waanza kuita interview

    hatimaye BOT waanza kuita kwa ajili ya interview.Ndugu yangu kapigiwa tayari kwenda kwenye interview.
  7. winky

    Help, help, help please..!!

    Nina tablet yangu Dell streak 7 inaniambia (The process android.process.acore has stopped unexpectedly.please try again) kila baada ya sekunde chache.. Nikisema ni reset factory settings inakubali nikirud vitu havijafutika..vipo vile vile.. Please help how to fix this problem.
  8. winky

    why do people marry??

    siku hizi kuna ndoa na harusi nyingi saaana saaana.watu wanaoana saaana saaana.. hivi hawa watu wanaelewa kweli.maana ya ndoa?? wanakimbilia kufanya nin wakati hawawez kuacha kutoka nje?? au kutunza ndoa zao zisivunjike??
  9. winky

    Habari zenu...

    habari zenu wana CC.. naomba ukaribisho..
  10. winky

    Nashindwa kuchange avatar

    naomba msaada nikitaka kuchange avatar inaload then inakuwa failed.. naambiwa nireport if problem persist
  11. winky

    Tanzania Postal Bank job vacancies..

    habari, wanajf naomba msaada kwa yeyote alieapply tanzania postal bank hizo email zimeenda..me nimetuma saana ila zinakataa kabisa.. narudishiwa email kuwa zimekataa..msaaada!!
  12. winky

    Msaada pliz

    Msaada jamani..mtoto wa miez 6 akiwa anapata choo cha kuharisha kama kamasi na ukipima choo hakina tatizo ni nin sababu?
  13. winky

    Sumtym wasanii wa kike bongo wanapenda kujidhalilisha saana

    Napenda kusema hivi kutokana na kukerwa kwa kitendo cha wanawake wawili known East Africa.DIVA LOVENESS LOVE (TZ)& BOSS LADY(KENYA) kutukanana na kutupiana maneno ya kashfa kisa kumgombania PREZZOO.. Inasikitisha saana wanaonesha jinsi gani wanavoshobokea masuperstar..maneno ya kejeli saana...
Back
Top Bottom