Search results

  1. M

    Matumizi ya condoms

    Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa. Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni kuaminiana kupita kiasi au ni vipimo vya macho. Unakuta watu wanakutana mara ya kwanza wanaanza...
  2. M

    Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

    Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani za kutembelea ukiwa jiji la Mwanza, haswa ukiwa na familia
  3. M

    Mwanangu ana mwandiko mbaya

    Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni. Yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.Tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza, sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au wako busy? Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini bado unaambiwa...
  4. M

    Sehemu gani safi kwa kula raha bukoba

    Wadau nina safari ya siku mbili ktk mji wa bukoba wkend hii wapi sehemu safi kula bata.
  5. M

    Lugha chafu kwenye vyombo vya usafiri.

    Hivi jamani hichi kizazi kinakwenda wapi? Kuna watu me nasema wamekua na tabia sio za kistaharabu hasa sehemu ambazo kuna watu wa rika tofauti.me nimekutana nayo kwenye basi.jamaa flani wanaongea kwa sauti mambo ya ndani kabisa tena matusi bila kuangalia kule kwenye gari kuna watoto na wazee...
  6. M

    Kufanya mapenzi na kimada nyumbani kwako

    Wadau hii imekaaje kwa wale wapenda michepuko, unanyumba unaishi na familia yako then labda wanasafiri una mpeleka kimada wako na una lala nae na kufanya mapenzi kwenye kitanda kile kile unacholala na mkeo. Au upo mbali na familia kikazi lakini una chumba au nyumba na mkeo huwa anakuja...
  7. M

    Hivi ni kushuka kwa elimu ni uzembe wa watoto?

    Wadau hii me naona inanichosha.Wazazi tunatumia hela nyingi kusomesha watoto tution na gharama kibao za vitabu na vifaa vingine,bado ukija nyumbani ukifanya homework na mtoto ni madudu matupu.Mwandiko na uelewa ni hovyo kabisa. Naomba ushauri jamani au walimu wa siku hizi wako busy hata watoto...
  8. M

    Kuitwa mwanaume si mchezo

    Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo Ada,chakula,matibabu,mavazi,mapambo ya nyumbani,kiwanja,gari,nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh. Kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha.
  9. M

    Nini kinamfanya mwanaume kuonekana kicheche?

    Unaweza ambiwa wewe kicheche but haujaoneka na mabinti wala nini.Sasa najuiliza nini hasa kinachofanya man uonekane kicheche?
  10. M

    Dada zangu hii sio sahihi

    Napenda niwashauri dada zangu hii tabia inayokuwa kwa kasi ya kupenda kugawa butty sio nzuri.wengi mnajidanganya kuwa ukimpa mwanaume huduma hiyo basi hato kuacha.ni fikra potofu kabisa kwani kwa sasa wengi wenu ndio tabia mliyo nayo na kiukweli ina madhara makubwa sana.na daima mwanaume hauwezi...
  11. M

    Mwanamke/Msichana kabla na baada ya kufanya mapenzi.

    Najiuliza sipati jibu.ukikutana na mwanamke/msichana ukamtongoza kabla ya kukutana nae kimwili huwa wanasumbua sana.bt akisha toa papuchi hata umwite saa ngapi hatakuja tu.Hii inasababishwa na nn wadau.
  12. M

    Simu.ipads kanisani.

    Wadau kuna hili swala la watu kutumia simu au ipads-na vifaa kamw hivyo vya mawasiliano kanisani.kwa maendeleo yanavyokwenda kwa kasi ni kwamba bilia na vitabu vingine vinaweza kupatikana ktk hivyo vifaa hivyo mtu anaweza kuchukua simu au kifaa chochote na kuacha biblia au vitabu vya nyimboo.Hii...
  13. M

    Hii imeaje kwa wanaume.

    Hii naona inatokea sana kwa wanaume unamtogoza mwanamke akikubali fasta unaanza kuwa na wasiwasi na fikra potofu hooh huyu kicheche.hooh ntapigwa mizinga. Ukitongoza ukizungushwa napo lawama. Sasa kipi sahihi hapo
  14. M

    Huu ni upungufu wa nguvu za kiume au

    Mtu unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na sometimes usipofanya unaweza kuota usiku ukapiz (For Men) bt ukikutana na she unampa goli mbili na hapo basi kupata jingine inaweza kuwa baada masaa 4 au 6 lakini.unaweza kuendelea kufanya mapenzi ila kupiz hamna.Naomba ufafanuzi hilo ni tatizo gani?
  15. M

    Wizi wa kutumia silaha Arusha

    Wakati vyombo vya usalama vikiwa busy kutafuta undani wa mlipuko wa bomu ktk bar ya night park.Wazee wa kazi kama wanavyopendwa kuitwa pande za A-town wametumia mda huo kufanya wizi maeneo ya Kaloleni na kuiba kiasi cha hela kutoka kwa mfanyabiashara mwenye asili ya asia.
  16. M

    Aina za walevi

    Kumekuwa na aina mbalimbali za walevi kuna anayelewa na kuwa mkorofi.mwingine anakuwa mpole na mwingine akilewa yy anapenda ngono. Je wewe unadondokea upande upi.na je kipi kifanyike ile kuweza kucontrol hali inayokutokea hasa kwa wakorofi na wapenda ngono.
  17. M

    Ni vigezo gani vinaonyesha mwanamke anakupenda

    Wadau naomba mnijuze/kunifungua kidogo ni vigezo/dalili gani unaweza kuziona na kutambua kwamba mwanamke flani anakupenda.Labda upo nae ofisi moja.Umekutana nae ktk usafiri.Mmekutana mkabadilishana namba na kuanza kuchat.nk.
  18. M

    Sehemu nzuri ya starehe Arusha ijumaa

    Kwa wale wadau wa A town.naomba mwongozo ijumaa ni sehemu gani inabamba na jumamosi pia kwani ntakuwepo hapo jijini kwa siku za wkend.
  19. M

    Kipi kinaonekana kizuri ktk umri.

    Wadau kuna hili swala la mtu kutaja umri wake. Watu wamekuwa na tabia ya kuogopa kutaja umri wao wa kuzaliwa, na katika uliza uliza yangu nimekuja na haya. 1.Mtu anaogopa kutaja umri kwa kuhofia kuonekana mdogo labda kimaumbile.kwa tabia au kwa kipato wakati kiukweli ni mtu mzima. 2.Mwingine...
  20. M

    Mkulima anihitaji msaada.

    Wadau poleni na majukumu.hili nimekutana nalo ktk pitapita za januari hii.Kuna jamaa alikuwa analalamika maisha magumu na majukumu yanaongezeka siku hadi siku. sasa akawa anajiuliza kipi sahihi anahitaji kupanda mazao shambani kwa msimu ujao kama chakula na akiba aliyo nayo ni kama mbegu tu sasa...
Back
Top Bottom