Sehemu nzuri ya starehe Arusha ijumaa

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Kwa wale wadau wa A town.naomba mwongozo ijumaa ni sehemu gani inabamba na jumamosi pia kwani ntakuwepo hapo jijini kwa siku za wkend.
 
labda ufafanue.starehe.gani.ndugu..kuna kula kunywa live band club.etc maana naweza.kukuambia milestone au city park kumbe unapenda fujofujo za band kama narok pub
 
hujapata mwaliko wa uzinduzi wa live band kesho Snow Crest? wamechukua clouds na kesho ndio uzinduzi wake.
 
Nielekeze sehemu yenye nyama choma na ka bonas ka utumbo na castle lite briiiidi. pasiwe na makelele nataka utulivu
 
Kwa wale wadau wa A town.naomba mwongozo ijumaa ni sehemu gani inabamba na jumamosi pia kwani ntakuwepo hapo jijini kwa siku za wkend.
Pinpoint,bybloon,club D(old garden),sky lounge na kuna pur ipo viwanja vya nanenane ina bamba mbaya.
 
labda ufafanue.starehe.gani.ndugu..kuna kula kunywa live band club.etc maana naweza.kukuambia milestone au city park kumbe unapenda fujofujo za band kama narok pub

Fujo fujo ? k vp ? unamanisha poko live sana au? nani KIDEVU!
 
Back
Top Bottom