Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Wadau kuna hili swala la watu kutumia simu au ipads-na vifaa kamw hivyo vya mawasiliano kanisani.kwa maendeleo yanavyokwenda kwa kasi ni kwamba bilia na vitabu vingine vinaweza kupatikana ktk hivyo vifaa hivyo mtu anaweza kuchukua simu au kifaa chochote na kuacha biblia au vitabu vya nyimboo.Hii imekaaje?ipo sahihi kweli? Tupate mitazamo wakubwa.