Kipi kinaonekana kizuri ktk umri.

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Wadau kuna hili swala la mtu kutaja umri wake.
Watu wamekuwa na tabia ya kuogopa kutaja umri wao wa kuzaliwa, na katika uliza uliza yangu nimekuja na haya.
1.Mtu anaogopa kutaja umri kwa kuhofia kuonekana mdogo labda kimaumbile.kwa tabia au kwa kipato wakati kiukweli ni mtu mzima.
2.Mwingine anahofia kuonekana mkubwa wakati ni mdogo.
Mengine mnaweza kuchangia wadau.

Lakini mm nauliza lipi liko poa kuonekana mdogo wakati umri wako ni mkubwa au kuonekana mkubwa wakati umri ni mdogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom