Kuitwa mwanaume si mchezo

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo Ada,chakula,matibabu,mavazi,mapambo ya nyumbani,kiwanja,gari,nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.

Kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha.
 
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha

Hiyo ya kuhudumia kamchepuko.Ndio inayowapa msukumo wa damu
 
Dawa yake ni kuyapenda hayo yote na kufanya kua ndio maisha yako, ukifanya majukumu kua ni adui basi pressure iko karibu.....kuna msemo unasema ukishindwa na adui yako basi mfanye kua rafiki
 
Japo cpo kwnye ndoa ila thrends nying zinatkatsha sana tama ya kutangaza ndoa

majukmu kibao kibao
 
Inaelekea hapo kosi imeshaanza kukusumbua ndo maana umewaza vya mbeleni
 
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha
Kwa upande mwingine kuitwa baba maana yake ni kuitwa boi.........ukatafute wao wale tu......na usipofanya hivyo eti watu na akili zao wanakufanyia kikao cha kukuuliza kwa nini huleti huduma....? na ikitokea umewaambia kuwa unaumwa bado watakuuliza sasa hawa wana familia yako watakula nini?...........Yaani wameshakuona wewe ni Boi wao..........!!!!!!!!!
 
na bado kulea, kumbuka "kulea mwana sio sawa na kulea kitambi, waulize mabosi na mizigo yao ya dhambi"
 
Kwa upande mwingine kuitwa baba maana yake ni kuitwa boi.........ukatafute wao wale tu......na usipofanya hivyo eti watu na akili zao wanakufanyia kikao cha kukuuliza kwa nini huleti huduma....? na ikitokea umewaambia kuwa unaumwa bado watakuuliza sasa hawa wana familia yako watakula nini?...........Yaani wameshakuona wewe ni Boi wao..........!!!!!!!!!

kwi kwi na mke ni msaidizi atakupiga tafu jamani
 
kwahiyo sisi ambao ni tegemezi ni wanaume nusu au sijaelewa concept ? Mkuu Mbangubangu.
 
Last edited by a moderator:
Duuh. Ndio maana siku hizi hakuna ndoa bali kuna harusi. Wengi wanakwepa majukumu, wanapenda kuchangiwa wapate nafuu ya maisha.
 
kwi kwi na mke ni msaidizi atakupiga tafu jamani

Wangekua wasaidizi hata hizi kelele usingesikia.hela au kipato cha mke hakijulikani kinapokwenda kamwe.hata kiberiti kwao shida kununua.Nawapongeza sana wanawake wanaojitambua licha ya kuwa ni % chache sana.
 
kwahiyo sisi ambao ni tegemezi ni wanaume nusu au sijaelewa concept ? Mkuu Mbangubangu.
Kamanda kama upo ktk ndoa na nitegemezi ilihali upo safi kiafya looh.kazi ipo.bt kama bado kijana na haujaingia ktk hayo majukumu vuta subra mda utafika ndio utaekewa nn namaanisha.
 
Last edited by a moderator:
Mbona raha za kuitwa mwanamme zipo nyingi tu. mfano kulala na binti wa mwenzio yaani mama watoto wako bila chupi halafu papuchi iko jirani tu.
 
Ndoa raha sana. Tuangalie na positives sio negatives tu
 
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha

Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke Wa aina gani kwa nyakati hizi kuendelea kuupatia nafasi MCHEPUKO?
 
Back
Top Bottom