Huu ni upungufu wa nguvu za kiume au

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Mtu unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na sometimes usipofanya unaweza kuota usiku ukapiz (For Men) bt ukikutana na she unampa goli mbili na hapo basi kupata jingine inaweza kuwa baada masaa 4 au 6 lakini.unaweza kuendelea kufanya mapenzi ila kupiz hamna.Naomba ufafanuzi hilo ni tatizo gani?
 
Hakuna ukosefu wa nguvu za kiume hapo ni kawaida tu baada ya mabao 2 kuchukua muda huo,swala la kutotoa maji ya uzima ni swala la lishe kama lishe siyo ya uhakika lazima utoe upepo badala ya maji ya uzima.

Hata hivyo nguvu za kiume hazipimwi kwa wingi wa mabao,wengine bao 1 au mbili siku inaisha hiyo na wana nguvu za kutosha,ila wameamua hivyo.

Badala ya kuwaza bao 5 au 10 ungewaza ufanye nini ili mwenzako afike kileleni mara nyingi hata kwa bao 1 la kwako.
by the way umeoa?
 
Lishe iko poa mkubwa bt ktk hizo bao 2 mzigo unamwagika wa kutosha hasa namba 1.
Bado kuoa bt ndio nipo kwenye mchakato mkubwa.
Me nadhani ilo la mbinu za ke kufika mara nyingi nilifanyie kazi.Asante sana mkubwa
 
Back
Top Bottom