Search results

  1. T

    Kipi ni chakula hasa (Main Dish) kati ya starch au protein?

    Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi. Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk kisha unachagua escort " kama chips, ugali, wali nk.. Ukienda Uswahili ukiuliza chakula...
  2. T

    Ramani simple inahitajika

    Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public. Sina budget kubwa. Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
  3. T

    Kwenye Mzozo wa Ukraine naiona WWIII

    Habari wana jukwaa! Nimefuatilia kwa karibu mzozo wa Ukraine, Kauli na Vitendo vya Rais wa Ukraine Zelesnky, Kauli na Vitendo Vya US, UK na NATO na NATO kwa ujumla. Nimejiridhisha pasina shaka kulikuwa na maandalizi ya muda mrefu kumaliza kazi ya kutengeneza "unipole" world. Inaoekana baada ya...
  4. T

    Jews never learnt a lesson

    Kwa wapenda amani wote wa ulimwengu huu! Umewahi kujiuliza why Israel infanya jinai with impunity? Yaani hawaogopi lawama wala hawana aibu yeyote ya kibinadamu katika kufanya jinai zao? Unatumia madege ya kivita kupambana na mtu uliyemzingira nchi kavu, baharini na angani akiwa amebeba manati...
  5. T

    Ratiba ya VPL mzunguko wa pili imetoka?

    Wakuu, Naomba kujuzwa kama ratiba vpl round 2 imetolewa rasmi na bodi ya ligi. Nitashukuru ikiwa shared hapa!
  6. T

    Msaada: Je, Simba SC watalazimika kuacha mchezaji wa Kigeni?

    Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza? Wawa Onyango Chama Bwalya Luis Kahata Kagere Mugalu Morrison Lwanga Chikwende
  7. T

    Sakata la Morrison: Mtizamo wangu

    Wakuu salaam, Naomba kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa mtizamo wangu juu ya hili swala Morrison linaloendelea kuleta sintofahamu nchini. Nikiri kuwa sina taarifa zote za ndani badala yake nafanya inference kulingana na facts on air! Yanga wana/walikuwa na mkataba au makubaliano flani na...
  8. T

    Nina mashaka na kipimo cha MRDT

    Ndugu, Hicho ni kipimo cha haraka cha kupima Malaria. Na kimepigiwa promo sana na Serikali na sasa kinatumiwa karibu kila mahali. Shida niliyogundua , wengi wakipima kwa kipimo hiki huwa -VE ilhali homa wa nasikia. Na ukienda kupima na kile kipimo cha zamani cha slide na microscope inakuwa...
  9. T

    'Wakamataji' wa kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Wakuu, Kuna mtu ameshawahi kumbwa na kadhia hii. Kuna watu wanavizia pale Msimbazi kituo cha mwendokasi, kwa kuwa kuna daladala zinapakia pale ukiwa na garin private lazima utachepuka kuingia njia ya mwendokasi hata nusu upite daladala na uendelee na safari. Baada ya muda kuna mijamaa ipo...
  10. T

    Vatican’s homophobic hypocrisy: 80 percent of priests are gay, explosive book reveals

    Around 80 percent of Vatican priests are gay, according to a new book which details alleged secret relationships, male prostitutes and stunning hypocrisy from the most anti-gay members of upper echelons of the Catholic Church. French journalist Frederic Martel’s new book, ‘In the Closest of the...
  11. T

    Kuna hatari SIMBA 'kunyakuliwa'!

    Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni mkaubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club. Hofu yangu...
  12. T

    Wapi naweza pata moja ya simu hizi za Huawei Brand new?

    Wakuu, Wapi naweza pata moja ya simu hizi za Huawei Brand new. Honor 9/10 P 10 P 20 Kama kuna dealer humu aweke bei tafadhali na mahali zinapopatikana
  13. T

    Inawezekana Mbeya City ni tabia yao!

    Ukiachia mbali kuboronga kwa referee wa mchezo wa jana kati ya Mbeya city na Yanga. Nimeshtushwa na ujasiri wa kiwango cha 'nuclear' ulioneshwa na Mbeya City Hakika sijawahi hata kudhania kuwa timu tena ya VPL inaweza kufanya uhuni ule wa kuchomekea mchezji kinyemela. Na zaidi haiwezekani kuwa...
  14. T

    Mtoto wa ndani ya ndoa lakini si wako...

    Wakuu, Napenda kujua mtizamo wa kisheria, mila na dini. Ikiwa imethibitika mtoto si wa baba (baada ya kupima DNA) lakini alizaliwa ndani ya ndoa halali ya huyo baba. Je haki zake ni zipi? Anaweza kurithi mali za 'baba' mlezi? Atatumia ubini wa 'baba' mlezi? Ana haki kwa 'real' biological...
  15. T

    WEST na EAST ni wapi hasa?

    Naomba kueleweshwa, mara nyingi nasikia nchi za magharibi (WEST) na nchi za mashariki (EAST). Swali hizi West na East ni geographical? Ninavyofahamu lazima kuwe na reference point ndipo ueleze sehemu hii iko West au East. Mfano Kigoma iko Western side ya Tanzania ila iko Eastern side ya DRC...
  16. T

    Msaada: Mabasi yanayoenda Kisaki

    Ndugu, Kwa anayefahamu mabasi ya kuelekea Kisaki-Morogoro yanaanzia wapi na yanatoka saa ngapi Msaada tafadhali
  17. T

    Msaada tafadhali..

    Bandugu, Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu. Sifa zake angalau ziwe: Malazi yasizidi elfu 50 kwa siku Kuwe na Wifi Kuwe na vivutio karibu ambavyo jioni naweza tembelea kwa ajili ya...
  18. T

    Sehemu gani nzuri na tulivu kwa kazi yangu..

    Bandugu, Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu. Sifa zake angalau ziwe: Malazi yasizidi elfu 50 kwa siku Kuwe na Wifi Kuwe na vivutio karibu ambavyo jioni naweza tembelea kwa ajili ya...
  19. T

    Mke anahitajika haraka!

    Kama kichwa kinavyojieleza.. Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months Sifa: Muislam Hajazaa Between 20-30 yrs Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada Elimu yeyote HIV free Sifa zangu Muislam Elimu Post-graduate 35 years of age HIV free Naishi Dar Aliye serious tu ani PM
  20. T

    LINGALA: Naomba tafsiri ya wimbo huu

    Bandugu, kama kuna mtu anajua tafsiri ya wimbo huu kwa kiswahili au kiingereza nitashukuru sana! Libala Reddy Amisi Ba mekaka mosapi na mozindo te di, tuna liteya Libala oh, libala oh, tuna nsango oh mama, tuna nsango ba sopela yo nde masolo. ba kulutu ba bala kala bayebi makambo, ba...
Back
Top Bottom