'Wakamataji' wa kituo cha mwendokasi Msimbazi

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,614
2,609
Wakuu,
Kuna mtu ameshawahi kumbwa na kadhia hii. Kuna watu wanavizia pale Msimbazi kituo cha mwendokasi, kwa kuwa kuna daladala zinapakia pale ukiwa na garin private lazima utachepuka kuingia njia ya mwendokasi hata nusu upite daladala na uendelee na safari.

Baada ya muda kuna mijamaa ipo kwenye pikipiki boxer, hawana uniform wako hovyo hovyo watakufuatilia ukisimama kwenye taa mbele wanakuambua umevunja sheria umepita njia ya mwendo kasi faini 550,000/=

Mwisho mta negotiate 'rushwa; wanakuchia..wana kitambulisho cha YONO, swali:
1. Hii ni operation halali wanayofanya hawa watu?
2. mbona ni kituo hiki tu?
3. kwa mazingira ya pale 'kosa hili' hufanywa na watu wengi..kuna mtu humu amekutana na hili?
4. Wahusika wenyewe wa operation hii ni hao hao kila siku why?

Mwongozo tafadhali
 
Mkuu siku hz Mambo ya upigaji ni mengi sana,kila kukicha watu wanabuni Mbinu mpya kuchukua hela.
Hyo ni baada ya Kituo cha gerezani kusitisha magari kuingia ndani,nakumbuka kabla kuna watu walikuwa ndani ya Kituo wakisubiri utupe karatasi ya ticket au sigara(kipisi) wakufuate wakupige faini.kuna mmoja aliwahi kumshika wife kilichompata....nadhani kafurahi sana kufungwa Kituo.
 
Wakuu,
Kuna mtu ameshawahi kumbwa na kadhia hii. Kuna watu wanavizia pale Msimbazi kituo cha mwendokasi, kwa kuwa kuna daladala zinapakia pale ukiwa na garin private lazima utachepuka kuingia njia ya mwendokasi hata nusu upite daladala na uendelee na safari.

Baada ya muda kuna mijamaa ipo kwenye pikipiki boxer, hawana uniform wako hovyo hovyo watakufuatilia ukisimama kwenye taa mbele wanakuambua umevunja sheria umepita njia ya mwendo kasi faini 550,000/=

Mwisho mta negotiate 'rushwa; wanakuchia..wana kitambulisho cha YONO, swali:
1. Hii ni operation halali wanayofanya hawa watu?
2. mbona ni kituo hiki tu?
3. kwa mazingira ya pale 'kosa hili' hufanywa na watu wengi..kuna mtu humu amekutana na hili?
4. Wahusika wenyewe wa operation hii ni hao hao kila siku why?

Mwongozo tafadhali
hao wezi mkuu, waziri lugola kapiga marufuku polisi wasio na uniform kukamata magari , ebu wambie muende kituoni halafu tafuta namba ya waziri wa mambo ya ndani au ya sirro pia kama unaweza warekodi kwa video kama ushahidi, njaa kali itawauwa
 
Siyo hao tu, kuna wale waviziaji/matapeli/wezi, ukipaki pembezoni za barabara, na wanaovizia watu kutupa taka/vipisi vya sigara n.k. wakikutishia faini kubwa halafu wana settle kwa vihela vya chai...NI WIZI, UTAPELI NA UJAMBAZI WA MCHANA KWEUPE...
Ukweli utapeli umekuja tena kwa njia zingine, yakiruhusiwa haya tutageuka banana republic kabisa!
 
Wa kutupa taka ni askari wa bashite.
Nasikia wana hadi na vitamvuslisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mimi kuna siku ukitoka pale ubungo ilikua saa saba usiku sasa nika uturn pale baada ya kituo cha mwendo kasi akaja jamaa eti ananiambia stori hizo nikamjibu kuwa je anajua mwendo kasi ikifika saa sita zina lala
na je kama nimeona kila kitu ni salama kuna haja gani mm kwenda mpaka shekilango kukata kona ya kurudi kimara wakati kuna kona pale kituo cha mwendokasi basi kwa hoja hizo jamaa akajua kuwa mimi ni hakimu akabidi ajidai hajui anachokifanya tujalibu kuwa tunahoji makosa yetu ili kufahamishwa kabla ya kukiri kosa
 
Habar mkuu.. Naamin ww ni mtu makin sana mpaka ukaandika ujumbe huu ila ni vizur kufunya utafit vizur kabla hujaweka jambo kama hili kwenye social media. Ujumbe huu unapotosha umma na kuchafua majina ya watu. Yono hajawah kufanya kaz hiyo ila kuna watu wanatumia jina la Yono kufanya mambo ya aina hiyo. Wito wangu ni vizur ukiona matendo kama hayo kuripot kwenye sehemu husika ili wachuliwe hatua watu wanaofanya vitendo vya aina kama hiyo.
Yono ni dalali wa mahakama. Tunatoa huduma zifuatazo: Tunauza nyumba, Viwanja, Magar, Ushaur wa kisheria na uwekezaji. Karibu Yono

Nyie ni matapeli,wadhulmati,wanyanyasaji,wanyang'aji na watu msio na heshima wala staha. Mnawaonea sana Vijana wa Boda Boda mchana kweupe kabisa. Kingine mtu anatoka kununua Piki Piki yake Mjini wakati anatoka dukani anaiendesha mnamkamata na kumuomba kibali cha Piki Piki kuingia Mjini,mna akili kweli nyie? Subirini kifo chenu chaja kama kile cha wale madhulmati wengine Majembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Kuna mtu ameshawahi kumbwa na kadhia hii. Kuna watu wanavizia pale Msimbazi kituo cha mwendokasi, kwa kuwa kuna daladala zinapakia pale ukiwa na garin private lazima utachepuka kuingia njia ya mwendokasi hata nusu upite daladala na uendelee na safari.

Baada ya muda kuna mijamaa ipo kwenye pikipiki boxer, hawana uniform wako hovyo hovyo watakufuatilia ukisimama kwenye taa mbele wanakuambua umevunja sheria umepita njia ya mwendo kasi faini 550,000/=

Mwisho mta negotiate 'rushwa; wanakuchia..wana kitambulisho cha YONO, swali:
1. Hii ni operation halali wanayofanya hawa watu?
2. mbona ni kituo hiki tu?
3. kwa mazingira ya pale 'kosa hili' hufanywa na watu wengi..kuna mtu humu amekutana na hili?
4. Wahusika wenyewe wa operation hii ni hao hao kila siku why?

Mwongozo tafadhali
Mimi walishanikamata hapohapo Msimbazi, wakaniomba 550,000 lkn baada ya kukataa wakakubali 50,000. Kwa yeyote atakayekamatwa na hawa wahuni kataa kuwalipa waambie muongozane ukalipe fine upewe na risiti halmashauri pale maeneo ya KAMATA. Ni kama elfu 30 tu kama sikosei. Hiyo nilikuja kufahama after the fact. Halafu wapo wengi huwa wanapaki Fuso lao upande wa kulia mbele kidogo ya mataaa ya Uhuru kama unelekea KAMATA.
 
Habar mkuu.. Naamin ww ni mtu makin sana mpaka ukaandika ujumbe huu ila ni vizur kufunya utafit vizur kabla hujaweka jambo kama hili kwenye social media. Ujumbe huu unapotosha umma na kuchafua majina ya watu. Yono hajawah kufanya kaz hiyo ila kuna watu wanatumia jina la Yono kufanya mambo ya aina hiyo. Wito wangu ni vizur ukiona matendo kama hayo kuripot kwenye sehemu husika ili wachuliwe hatua watu wanaofanya vitendo vya aina kama hiyo.
Yono ni dalali wa mahakama. Tunatoa huduma zifuatazo: Tunauza nyumba, Viwanja, Magar, Ushaur wa kisheria na uwekezaji. Karibu Yono

Sent using Jamii Forums mobile app

Khaaaaa Yono ina maana leo ndiyo mnasikia kuwepo na Yono wenzenu kukamata magari?
Na mbona hili swala lilishawahi kuzungumziwa na vyombo vya serikali.

Nadhani inafaa sasa mlinde jina lenu
Maanake hata mimi najua Yono ni wakamata magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ... Kuna siku walinikamata nimepaki azikiwe kwa nusu dakika tu....narudi wananizuia kuingia....nikawaomba niwape pesa kidogo ila ipo nyumbani....walivyo wajinga wakakubali...wote 6 wakaingia kwenye passo....nikapiga simu kwa wanangu...nikawaeleza nimetekwa...nakuja na watekaji...na wanataka buku10 ndiyo waniachie...wakaruka wote na gari ipo kwenye mwendo

Sent using Beretta ARX 160
 
Nyie ni matapeli,wadhulmati,wanyanyasaji,wanyang'aji na watu msio na heshima wala staha. Mnawaonea sana Vijana wa Boda Boda mchana kweupe kabisa. Kingine mtu anatoka kununua Piki Piki yake Mjini wakati anatoka dukani anaiendesha mnamkamata na kumuomba kibali cha Piki Piki kuingia Mjini,mna akili kweli nyie? Subirini kifo chenu chaja kama kile cha wale madhulmati wengine Majembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ... Kuna siku walinikamata nimepaki azikiwe kwa nusu dakika tu....narudi wananizuia kuingia....nikawaomba niwape pesa kidogo ila ipo nyumbani....walivyo wajinga wakakubali...wote 6 wakaingia kwenye passo....nikapiga simu kwa wanangu...nikawaeleza nimetekwa...nakuja na watekaji...na wanataka buku10 ndiyo waniachie...wakaruka wote na gari ipo kwenye mwendo

Sent using Beretta ARX 160
Hahaa ha haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Kuna mtu ameshawahi kumbwa na kadhia hii. Kuna watu wanavizia pale Msimbazi kituo cha mwendokasi, kwa kuwa kuna daladala zinapakia pale ukiwa na garin private lazima utachepuka kuingia njia ya mwendokasi hata nusu upite daladala na uendelee na safari.

Baada ya muda kuna mijamaa ipo kwenye pikipiki boxer, hawana uniform wako hovyo hovyo watakufuatilia ukisimama kwenye taa mbele wanakuambua umevunja sheria umepita njia ya mwendo kasi faini 550,000/=

Mwisho mta negotiate 'rushwa; wanakuchia..wana kitambulisho cha YONO, swali:
1. Hii ni operation halali wanayofanya hawa watu?
2. mbona ni kituo hiki tu?
3. kwa mazingira ya pale 'kosa hili' hufanywa na watu wengi..kuna mtu humu amekutana na hili?
4. Wahusika wenyewe wa operation hii ni hao hao kila siku why?

Mwongozo tafadhali
Matapeli hao, umetapeliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom