Search results

  1. Thomas Sankra Jr

    Ukabila, ukanda ulivyoitesa Tanzania katika uchaguzi mkuu 2015

    Hii natoa Rai hasa kwa majirani zetu Kenya... Tuseme ili neno na likae vinywani mwao hata tu kwa kusikia au kuadithiwa na mtu mmoja ama mwingine. Mwaka jana Tanzania ilifanya uchaguzi mkuu.. Kulitokea mgawanyiko mkubwa sana...kisiasa,kikabila na kikanda....kikanda KANDA YA ZIWA Mgawanyiko huo...
  2. Thomas Sankra Jr

    Tunaelekea Wapi Mh Rais wetu mpendwa John Magufuli Uteuzi huu wama DAS na DED unakinaisha

    Nachukua nafasi hii kwanza kuwapongeza wanajukwaa wote kwa umoja na michango yenu. Jamii forumu pamekuwa mahali salama, kwetu sisi wanajukwaa kutoa mawazo yetu, Dumu daima Jamii forum. Rais John Pombe Magufuri kwa hili sitakuunga mkono katu , nikweli safari yako umeianza vizuri lakini umesahau...
  3. Thomas Sankra Jr

    Ukiona JWTZ na TAKUKURU wanarejesha Bakaa la fedha basi nchi imeangamia

    Wanajukwaa. Siku ya Jana Tume ya Taifa ya uchaguzi imelejesha bakaa ya fedha zilizosalia wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Hatua hii kweli inawalakini, kwani tume hii imekabidhiwa jukumu kubwa na watanzania kwa kuendesha uchaguzi wa wazi, haki na amani. Tume ya uchaguzi ilishindwa kufanya...
  4. Thomas Sankra Jr

    Ikifika mwisho wa sinema hii ukaona JWTZ na TAKUKURU wanarejesha bakaa nchi kwisha

    Wanajukwaa. Siku ya jana tume ya taifa ya uchaguzi(NEC) imerejesha bakaa ya fedha zilizosalia wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Hatua hii kweli inawalakini, kwani tume hii imekabidhiwa jukumu kubwa na watanzania kwa kuendesha uchaguzi wa wazi, haki na amani. Tume ya uchaguzi ilishindwa...
  5. Thomas Sankra Jr

    Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Naaza na mimi... Nilisoma Ifunda Technical school na Tosamaganga high school wewe Je Mzumbe Secondary Ilboru Secondary Kibaha Secondary Tabora Boys Secondary Tabora Girls Secondary Msalato Secondary Kilakala Secondary Pugu Secondary Minaki Secondary Azania Secondary Tosamaganga Secondary...
  6. Thomas Sankra Jr

    USHAURI wa Bure kwa WanaSimba niwakati sasa Michael Wambura na katibu Mwina Kaduguda nyumba

    Migogoro inayoendelea katika klabu ya simba inakatisha tamaa, hali hii imesababisha wachezaji wa timu hiyo kukosa morali wa kuitumikia klabu hiyo, moja vunjeni bodi ya usajiri, pili wakati sahihi klabu kuwa kampuni imara yenye nguvu sio kila mtu kuamua lake. Simba bado timu nzuri tatu niwakati...
  7. Thomas Sankra Jr

    Tunalaani kitendo cha Maafisa wa PCCB kutoa taarifa za ndani kwenye vyombo vya Habari.

    Nalaani utovu wa nidhamu uliofanya na baadhi ya watumishi wasomi TAKUKURU. Kitendo cha maafisa wa Taasisi hii nyeti ya kuzuia Rushwa, kutuo nyaraka za siri za ndani ni utovu wa nidhamu na ni vyema watafutwe, wakibainika waonywe na kuchukuliwa hatua ya kinidhamu. TAKUKURU ni moja ya Taasisi...
  8. Thomas Sankra Jr

    Watumishi wa TAKUKURU washangilia kwa furaha baada ya Rais kutengua uteuzi Hosea

    Wanabodi. Majira ya Jioni nikitoka site nakatisha maeneo ya Upanga barabara ya kuelekea ngome watumishi wa takukuru wakitoka kwenye jengo hilo kwa furaha sana wakishangilia kutenguliwa kwa uteuzi wa nguli wa sheria wa Evidence Law Dk Hoseah na kusimamishwa kazi kwa Bi Mary Mosha na Ekwabi...
  9. Thomas Sankra Jr

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    MAOVU NDANI YA MCHAKATO WA AJIRA ZA TAKUKURU Ndugu wana bodi mapambanono dhidi ya Rushwa ni ya kila mtu kwa nafasi yake katika jamii. Hivi karibuni Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa imetangaza majina ya WATU watakaoitwa kwenye usaili (oral interviews) ambapo kundi la mwanzo...
  10. Thomas Sankra Jr

    UKIMWI..unazifuta ndoa nyingi katika Ramani ya dunia jamani?

    Wana jukwaa.. Kwa huzuni kubwa dunia imejikuta ikipoteza vijana, na wazee kwa maradhi ya ukimwi hii inatokana na kasi kubwa ya mabadiliko hasi ya kimaisha ktk jamii zetu. Kipindi hiki kifupi janga la UKIMWI limepiga hodi kwenye ndoa nyingi za vijana ndoa hizi zinaangamia kwa kukosa maarifa...
  11. Thomas Sankra Jr

    Kamanda Lema live Wasso loliondo.

    Hali njema leo niko wilaya ya ngorongoro kamanda lema na makamanda wengine wanafundisha demokrasi ,mji bado lakini watavunwa wengi.
  12. Thomas Sankra Jr

    Tumefika hapa na utawala fisadi wa Rais Mwinyi PM Malecela na wanazuoni wa UDSM na sio JKN

    Lazima tumutambue mchawi wetu wa kasi ya maendeleo yenye sera nzuri za ujama na kujitegemea, ulipunguzwa kasi na viongozi wachache wenye nia mbaya na maisha watanzania. Leo hii wanadai mwalimu nyerere ndio source ya kuporomoka kwa uchumi wetu, wasilitumie jina la mwalimu mpendwa vibaya kuficha...
  13. Thomas Sankra Jr

    Dada zangu au mabinti wa kileo kumzaa mtoto kwa njia ya kisu...si suruhisho tazameni Imani hii

    Imani kubwa kama hii ni ushindi dhidi ya mwovu shetani ndani ya familia zetu. Binti mwenye imani kama hii aliyasema haya baada ya madaktari na wauguzi kumulazimisha ajifungue kwa njia ya kisu baada ya mtoto kukaa vibaya katika tumbo la uzazi na kuleta hatari kwa afya yake na mtoto,,,,Alisema...
  14. Thomas Sankra Jr

    Haya yote ni mwanga wa linalokuja mbele, 40 imekalibia kwa CCM.

    Wana JF Tusichoke kuuliza tumejikwa wapi, bali tufute machozi na tusonge mbele. Ukweli ni kwamba haya yote yamefika ukingoni, mambo kama haya leo yanatokea kwa upande wa wanachama na viongozi CCM sii kwamba wanapambana kwa ajili ya chama chao, bali mwisho wa utawala wa CCM Umefika ukingoni 40...
  15. Thomas Sankra Jr

    Kama nitakufa hapa Seleani Hospital kwa maumivu niliyopata jana msife moyo endeleeni kupambana,

    Muda ndio huu na wakati umefika kwa serikali dhalimu kuondoka. Tumechoka na serikali kandamizi na chochezi ni lazima ziondoke na kuachia madalaka kwa amani kwa watanganyika wenyewe, nilikipenda sana chama cha ukombozi wa tanganyika lakini mmetusaliti kwa kuzitumia rasilimali zetu mtakavyo na...
  16. Thomas Sankra Jr

    Four revolution movement ni hatari sana kwa cdm

    Wana Bodi, sasa ni kipindi cha kusuka ama kunyoa, nawaeleza wazi kundi ili ni hatari kwa CDM chama kipenzi cha wengi hasa wenye akili timamu. FRM Membe, sitta, Mwakembe na Magufuri hawa wapambanaji wanne ni sumu ingawa wengine wana visasi na 2015 tutafute kwa kukimbilia,kundi ili ndio litapita...
  17. Thomas Sankra Jr

    Hodi vandugu

    habari wana jamvi naja kuungana nanyi kubadilishana mawazo
Back
Top Bottom