Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Muda ndio huu na wakati umefika kwa serikali dhalimu kuondoka. Tumechoka na serikali kandamizi na chochezi ni lazima ziondoke na kuachia madalaka kwa amani kwa watanganyika wenyewe, nilikipenda sana chama cha ukombozi wa tanganyika lakini mmetusaliti kwa kuzitumia rasilimali zetu mtakavyo na kutuacha hatuna umeme wa uhakika,kilimo chenye manufaa kwa watanganyika,madawa hakuna,vifo vya kina mama na watoto visivyokwisha au hata kupungua na ufisadi wa kutisha katika manunuzi ya umma. kwa sasa imetosha tena imetosha sana napambana kwa ajili ya watoto na wajukuu wa kizazi kijacho niko Selean hospt arusha natibiwa kwa maumivu ya mguu na mkono niliyoyapata jana najitolea kufa kwa ajili ya tanganyika mpya serikali dhalimu lazima zioòndoke.