Ukiona JWTZ na TAKUKURU wanarejesha Bakaa la fedha basi nchi imeangamia

Thomas Sankra Jr

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
418
128
Wanajukwaa.

Siku ya Jana Tume ya Taifa ya uchaguzi imelejesha bakaa ya fedha zilizosalia wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Hatua hii kweli inawalakini, kwani tume hii imekabidhiwa jukumu kubwa na watanzania kwa kuendesha uchaguzi wa wazi, haki na amani. Tume ya uchaguzi ilishindwa kufanya uchaguzi wa haki na wazi hatua hiyo, imesababisha malalamiko mengi, kwanza watu kutojiandikisha kwa wakati na pia wengi wao kutopiga hata kura. Pia tume imeshindwa kuendesha uchaguzi wa haki na wazi licha ya kuwa kulikuwepo amani na utulivu. <br /><br />Haki uhinua taifa, hofu ubomoa taifa.. Jana Tume ya uchaguzi imelejesha fedha baada ya kumaliza uchaguzi mkuu uko nyuma tume hii ilishindwa kazi kutokana na kukosa fedha za kuendeshea majukumu yao yaliyopangwa kwa mwaka husika mbaya na ni vyema .. Kesho ukisikia Jeshi la wananchi wa Tanzania na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa wamepeleka au kulejesha bakaa za fedha basi nchi imekwisha na taifa limeangamia kwani JWTZ na TAKUKURU ndio Taasisi pekee za serikali zinazotekeleza kazi zake bila kuingiliwa, upendeleo, hofu ama woga Taasisi izi ni imara na zakizalendo zenye nidhamu, uti na kwa kiasi furani haki inaonekana kutendeka. tunaziomba zisifanye kazi kwa kufuata upepo wa hofu.
 
Kwa hiyo nilivyokuelewa ni, mwaka jana, kuna baadhi ya watu hawakuandikishwa katika daftari la kupigia kura, na hata kura hawakupiga, kwa tume husika kutoa tamko, haina pesa, ila jana zimerudi nyingi tu. Si ndio? Nieleweshe kama nimekunukuu visivyo!

Kuhusu hizo taasisi ulizozitaja, na zengine zinazofanana na hizo kiutendaji na kisera - zinajulikana (nyongeza ni yangu hapo), siamini kama watafanya hivyo, maana hazipo kisiasa zaidi, japo zinawatumikia wanasiasa zaidi.

Ahsante!
 
Ila kwa kuwa watanzania wengi tunapenda maigizo na sarakasi, usije kusikia nazo taasisi hizo tajwa hapo juu, zinarudisha salio.

Yetu masikio na macho tu, kuyashuhudia na kuyaona yanayovutia machoni na masikioni mwetu.

Ahsante!
 
Wanajukwaa.

Siku ya Jana Tume ya Taifa ya uchaguzi imelejesha bakaa ya fedha zilizosalia wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Hatua hii kweli inawalakini, kwani tume hii imekabidhiwa jukumu kubwa na watanzania kwa kuendesha uchaguzi wa wazi, haki na amani. Tume ya uchaguzi ilishindwa kufanya uchaguzi wa haki na wazi hatua hiyo, imesababisha malalamiko mengi, kwanza watu kutojiandikisha kwa wakati na pia wengi wao kutopiga hata kura. Pia tume imeshindwa kuendesha uchaguzi wa haki na wazi licha ya kuwa kulikuwepo amani na utulivu. <br /><br />Haki uhinua taifa, hofu ubomoa taifa.. Jana Tume ya uchaguzi imelejesha fedha baada ya kumaliza uchaguzi mkuu uko nyuma tume hii ilishindwa kazi kutokana na kukosa fedha za kuendeshea majukumu yao yaliyopangwa kwa mwaka husika mbaya na ni vyema .. Kesho ukisikia Jeshi la wananchi wa Tanzania na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa wamepeleka au kulejesha bakaa za fedha basi nchi imekwisha na taifa limeangamia kwani JWTZ na TAKUKURU ndio Taasisi pekee za serikali zinazotekeleza kazi zake bila kuingiliwa, upendeleo, hofu ama woga Taasisi izi ni imara na zakizalendo zenye nidhamu, uti na kwa kiasi furani haki inaonekana kutendeka. tunaziomba zisifanye kazi kwa kufuata upepo wa hofu.

napata shaka na ufahamu wako juu ya masuala ya pesa za serikali,ni hivi kila taasisi huwa na bajeti yake katika kuahkikisha mambo yanakwenda kulingana na inavyopaswa na inafahamika wazi kuwa ili kupata matokeo yakinifu juu ya kazi na mikakati ya taasisi husika mara nyingi bajeti inatakiwa izidi walau juu ya gharama alisi za utekelezaji wake hivyo mara baada ya kupitishwa na vyombo husika azina hutoa fungu hilo aidha kwa awamu au mara moja lote kulingana na muda wa utekeleza wa tukio zima,pesa zikishatoka huwa hazina kawaida ya kurudi azina,rejelea miaka iliyopita ya utendaji kazi wa serikali,kilichofanywa na bunge pamoja na nec ni kuamua kama taasii kwa hiyari yao kurejesha ile iliyoitwa nyongeza ya bajeti katika makadirio yao ambayo waliiomba na kupewa ,na hii huwa hakuna chombo kinachowashurutisha kuwa hizo pesa watazifanyia nini maadamu kazi waliyotakiwa kufanya imekamilika,hivyo wakaona kuwa kuna taasisi mama ambayo taifa zina linaangalia kwao ambayo ni taasisi ya urais,hivyo wakaona si busara pesa hizo kuzigawanya miongoni mwao kama pongezi ,wakaamua kuzigawa kwa taasisi hiyo kubwa na pana zaidi nchini kwa ajili ya kusaidia pale penye ukwamo,

Kwa hiyo ndugu walichokifanya bunge na nec ni sahihi kabisa na lazima wataandika taarifa katika vitabu vyao vya mahesabu ili kuweka wazi pesa hizo zimetumikaje.na kingine watu wasichokijua wanazani zile pesa amepewa JPM kama yeye binafsi ndio maana mnaibuka watu wenye mitazamo ya kimhemko wa kisiasa sampuli yako mkihoji uhalali na hii haikatazwi mahala popote pale
 
Back
Top Bottom