Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Wana Bodi, sasa ni kipindi cha kusuka ama kunyoa, nawaeleza wazi kundi ili ni hatari kwa CDM chama kipenzi cha wengi hasa wenye akili timamu. FRM Membe, sitta, Mwakembe na Magufuri hawa wapambanaji wanne ni sumu ingawa wengine wana visasi na 2015 tutafute kwa kukimbilia,kundi ili ndio litapita kwa tiketi ya CCM wamejipanga sana tena sana. Naomba wana CDM popote ulipo tuikomboe tanzania na wale wana CCM wenye mapenzi mema na Tanzania bila kuikomboa tz kuwafikia wakenya tusahau kabisa na tumekwisha, sina imani na awa watu wanne, CDM twende plan B wagombea wetu wawe vijana.
Eng.Thomas Sankara Mwanamapinduzi
Eng.Thomas Sankara Mwanamapinduzi