USHAURI wa Bure kwa WanaSimba niwakati sasa Michael Wambura na katibu Mwina Kaduguda nyumba

Thomas Sankra Jr

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
418
128
Migogoro inayoendelea katika klabu ya simba inakatisha tamaa, hali hii imesababisha wachezaji wa timu hiyo kukosa morali wa kuitumikia klabu hiyo, moja vunjeni bodi ya usajiri, pili wakati sahihi klabu kuwa kampuni imara yenye nguvu sio kila mtu kuamua lake. Simba bado timu nzuri tatu niwakati wa mabadiliko ya kiutendaji, kimfumo na kiutawala. Tambueni nyumba ni Baba na Mama msingi yani mwenyekiti imara na katibu mkuu imara. Simba mwenyekiti kasharishwa limbwata nini unatalajia.. Katibu mkuu sio imara nini unatalajia., lazima nyumba itayumba tuu ndio simba hilivyosasa.

Jengeni timu acheni utani wa kipu... zi hati wa kimataifa na mchangani.. Eboo niwakati wakati wa kupanda na wakati wa kung’oa kilichopandwa; sasa ni wakati wa kung'oa kilichopandwa. kuna wakati wa kuua na wakati wa kuponya; huu ni wakati sahihi wa kuelekeza maombi kwa mora wetu kuponya kilichouwawa katika klabu ya simba. Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wameshaibomoa klabu ni wakati sasa wa kujenga strong institution ambayo ilibomolewa na wachache. Kulikuwa nawakati wa kutupa mawe sasa huwe wakati wa kukusanya mawe yaliyotupwa kulikuwa na udhaifu wakati wa kutupa mawe.
Tuliomboleza sasa uwe wakati wakurukaruka.. Tulilia sana sasa uwe muda na wakati sahihi wa kucheka muda wa kilio umeshapita na ligi imekwisha. Mabadiliko yawe na lengo ya kujenga timu mtafuteni Michael Wambura mpeni uwenyekiti, mtafuteni mtalaamu wa vita mwituni mwina kaduguda jembe kuna vitu alifanya huko nyuma simba na yanga walifaidi na moja ya matunda yake leo simba na yanga wanaufadhili wapekee yao. Mzee dalali mzuri lakini ni muda wa kuongonwa na vijana wasomi.
6b252a9ff0bc490d177a001f36673e7a.jpg
5c62f60380ac709103c484870fd24a26.jpg
c01036da833a2e5fac8b81527ecd6a9e.jpg
4ce0798121100412c1ba01de4244993a.jpg
 
Timu apewe Mo Dewji, wakae chini na kuingia makubaliano timu itafaidika vipi na yeye atafaidika vipi, ni wazi kabisa Mo ni simba damu nae anaumia haya matokeo na hizi fujo za wale mamafia.
 
et aveva akafukuza watu uanachama,tena mgeni wakariakoo sasa amejuwa kuwa bongo sio mipango tu kama Azam bali na fitina za mjini muhim
 
Simba iuzwe Na iwe kampuni Ili makomandoo Na friends of business wakomeshwe.
 
HIVI KUNA TATIZO GANI KUMPA TIMU MO KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI TU NA YEYE AJARIBU TUONE. SISI WAPENZI WA SIMBA TUMECHOKA NA STORI MPYA KILA MWAKA, MWAKA JANA STORI ILIKUWA MAVUGO MWAKA HUU STORI ZIMEANZA MAPEMA HATA LIGI HAIJAISHA ETI "MAPROO 4 KUTOKA CAMEROON NA IVORY COST NA MMOJAWAPO KATILI SANA". DAA SIMBA NI SHIDA. USAJILI WA KIZAMANI WA KUTUMIA MAGAZETI UMEPITWA NA WAKATI NA NDIO UNAOWAPONZA. SAJILI MCHEZAJI MZURI MPIRA UNACHEZWA UWANJANI ATAONEKANA. NANI AU GAZETI GANI LILIMJUA OKWI WAKATI AHNAFIKA SIMBA KWA MARA YA KWANZA.
 
Back
Top Bottom