Search results

  1. O

    2014 NBA Finals...updates

    Kwa wale wapenzi wa huu mchezo....tupashane habari hapa kwa kadiri series zinavyoendelea.... Nyani Ngabu ....jana nimeona vijana wako wamewazima Indiana.........leo Mzee mandevu Harden katoka hoi kwa kijana Lillard D. Ab-Titchaz .....Mkuu usitusahahu mapichaz......
  2. O

    Super Bowl XLVIII: Seattle Seahawks Vs Denver Broncos

    Kwa wale wapenzi wa American Football mnakaribishwa Ab-Titchaz usitusahau kwa mapichaaz....
  3. O

    Real Madrid Vs Chelsea

    ......Mtanange unaendelea...mpaka sasa ni RM 1 - CHL 1...... Gemu linavutia sana.......ndani ya Miami....
  4. O

    Bet awards............

    Wakuu....wakati wabongo wana presha na ziara ya Jaluo hebu tune in the channel na tuburudike na BET Awards........
  5. O

    MULUGO MGENI RASMI: Graduation Arusha Tech!!

    Hivi kweli Dr. Masika........ulikosa kabisa hata kupata mtu maarufu wa kumualika kwenye ceremony ya vijana wetu wasomi........mpaka unatuwekea huyu Kilaza Mulugo...kweli!!??..... Yaani kumbukumbu za watu kwenye Graduation ceremony yao unamuweka Mulugo kweli!!..........halafu tena unamvisha...
  6. O

    Uandishi wa kutumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)" kwenye

    Wakuu ninaomba kuuliza kwa wale wenye Ujuvi na masuala protokali/Itifaki (sijui neno lipi hapo litakuwa sahihi kutumika), unapotumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)" je ni sahihi kutumia nembo tofauti na nembo ya TAIFA?, naomba kuelimishwa...
  7. O

    Miss usa 2012

    Dah Kidosho cha Georgia ni kikali kweli kweli.........hebu ngoja tuone matokeo..........
  8. O

    Speaking of Women's Health

    Wandugu hebu tumsikilize Mkuu wetu wa nchi akiwa New York akizungumzia masuala ya afya........its interesting....... President Kikwete attends NASDAQ event on Women's health in New York - YouTube
  9. O

    Hurricane IRENE: Tunawatakieni Kila la Kheri Ndugu wote

    Wandugu wote mlioko katika mkondo wa njia ya huyu "mdudu" Irene.........tunawaombea ili msalimike..............kwa wengine huko NC poleni na I hope mmesalimika. Mkulu William...........hope everything is fine......
  10. O

    Happy mother's day

    Nachukua nafasi hii kumpongeza mke wangu na akina mama woote popote pale walipo........muendelee kuwatunza vema waume, watoto wenu na jamii inaowazunguka.....
  11. O

    Interesting "American Idol"

    Kwa ambao ni wapenzi wa Music...........its time to Watch.................
  12. O

    Super bowl

    Kwa wale wapenzi wa Super Bowl......... Ab-Titchaz...usisahau pichaz aisee
  13. O

    Elections 2010 Siri si Siri: Pamoja na kauli za kujiamini - CCM wamejiandaa na kuukosa Urais

    ..................habari nilizozipata za ndani kabisa ya CCM ni kuwa........... CCM wamejiandaa.............yaani kuna kushindwa au kushinda........sikutegemea kabisa bwana huyu MZITO SANA NDANI YA CCM kunipa maelezo hayo..............awali i.e. kampeni zikianza aliniambia kuwa "CCM hatuna...
  14. O

    What is CNFA?

    Hawa watu ni akina nani? wako wapi hapa Tanzania Wanafanyaje kazi zao hapa nchini? Walianza kazi zao lini? Ni kina nani wana mamlaka juu ya shughuli wanazozifanya? Wananchi tunanufaika vipi na uwepo wao? mwenye kuwajua fika hawa watu please atumwagie hapa JF
  15. O

    Two Things Involved

    Wakuu....hebu mchekini Ogah http://www.youtube.com/watch?v=rlmYsUiyhDc Mkiichagua CCM there is only one thing involved............you are doomed....forever!
  16. O

    Super Bowl XLIV - 2010

    Yaani leo ni siku nzuri sana.......kweli hi ni Super Sunday.....kuanzia kwa akina Chelsea Vs Arsernal mpaka Miami.......... Haya Mazee Super Moderator Abby......usichoke kuweka mapicha........
  17. O

    Kazi Wizara ya Foreign Affairs- Changamkia

    Fuata hii link http://www.tanzaniaembassy.or.jp/english/e_index.html gonga hapo kwenye "What's New" All the Best
  18. O

    State of the Union speech

    WASHINGTON - Declaring "I don't quit,'" an embattled President Barack Obama vowed in his first State of the Union address Wednesday night to make job growth his topmost priority and urged a divided Congress to boost the still-ailing economy with fresh stimulus spending. Defiant despite stinging...
  19. O

    Pasipoti zetu

    Mara nyingi nimekumbana na tatizo la pasipoti zetu (mpya) kutosomeka.....hii imenitokea sana tu........ Nahisi kuna tatizo la kiufundi kwenye pasipoti zetu zinapotakiwa kusomeka na mashine.........wahusika fuatilieni...........
  20. O

    Mkulo Ignorant on DECI

    yaani nimecheka kweli... hebu muoneni Waziri wetu Kilaza wa fedha Mkulo ignorant on Deci - Pinda siasa!
Back
Top Bottom