Search results

  1. M

    Mskilizeni Salva Rweyemamu kuhusu tuhuma za ufisadi wa BOT etc!

    Salva hawezi kuwa kama Al sahaf,salva ni opportunist,Al sahaf alikuwa mtu wa Saddam,Salva ni mnafiki mtu wa maslahi.Kabla hajapata post tulikuwa tunaponda sote serikali,leo ana office IKULU!!!!!!
  2. M

    Waziri huyu hafai

    watatu magufuli
  3. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    mmh baada ya muda mrefu sasa nimerejea.Uraia wa nchi kwa sasa ulimwenguni ni jambo amablo ni inevitable,vema serekali ipitishe sheria ya uraia wa nchi mbili,maana wanaokusudiwa ni Watanzania kunyakuchua uraia wa nchi nyingine na si raia wa nchi nyingine kuchukua uraia wa Tanzania.
  4. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Ninachijua mimi,lengo la uraia wa nchi mbili,prioty itakuwa kwanza ni kwa watanzania ambao wanataka kunyakua uraia wa nchi nyingine,hao ndio watakao pewa kipaumbele,na sio raia wa nje wanaoutaka utanzania.Hivyo basi kama ni prioty itakuwa ni kwa watanzania kwanza basi hilo ni jambo zuri.
  5. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Simu za mkononi? Maana mwalimu alikuwa mgumu kinoma.Ni kweli amafanya kazi kubwa,kwa mafano ukabila alijitahidi sana tena sana.Mwalimu Rushwa alishindwa kupigana nayo,ndio maana alianzisha kikosi cha kuzuia rushwa 1973.Mwalimu ana mtani wake anaitwa "Sir" George Kahama,mpaka leo leo watu...
  6. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Mzee Mwanakijiji,msimuone nyerere kama ni mtu mwenye akili sana,kiasi kwamba mawazo yake yaendelee kuheshimiwa hata kama ni utmbo,vp dunia ya leoya utandawazi mtaja nyerere?Nyerere huyu si ndiye aliyeiingiza nchi ktk naqama ya vita?au ulikuwa mdogo?wakati tunakimbilia magari ya...
  7. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Time has come for dual citizenship!!Wanaosema hawakubaliani ni kwa sababu tu wao,wape ndani ya nchi,hawawezi kuona mambo yaliyonje ya nchi.Na ninaamini kabisa,amabo wataki uraia wa nchi mbili ni CHADEMA"wanatumiwa"
  8. M

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Sanjali maana yake yahomu,kiswahili cha pwani,yaani kama ni safari basi safari muruwa
  9. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    hiyo inaitwa mjenga nchi ni mwananchi na muuwa nchi ni mwananchi,wimbi,upepo huko huko,mbele kwa mbele,Imagine hawa ndio tuliwaaminini tukawapa heshima ya kutuongoza.Kasema Dr Ongala,nchi inateketea,wamepewa madaraka wakayatumia vibaya.
  10. M

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Duh,kumbe mpaka Uni kuna vimeo kibao????Mama wee,kumbe pPhd bigi dili!!!
  11. M

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    kwanza kuna uhakika wowote kwamba huyo Riz kagombea NEC?
  12. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Wate wetu wagumu sana,muda si big dili at all.Tatizo wanaona nyie mtakuwa wapinzani wa sisiem nadhani hilo ndilo tatizo kuwa,nyie mtakuwa chadema,kafu,ti el pi,n sisiara mageuzi nk
  13. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Dear Jasusi nothing in motion!!I Read the facts from my brother said Yakub carefully,I understand our people down there(TZ),they are very slow for action,I dont know why is it so?Imagine as my bro Yakub said,this matter started since Former President Ben,and they said it was priority by...
  14. M

    Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

    Hao aika Tido ni watu wa maslahi,kwanza sifa kubwa ya Tido ni udini,pili ukabila.Alipokuwa BBC kawapa nafasi wa Tanga wenzie,pale alipoona hapa U Tanga peke yake hautoshi,ndio huvutia ktk dini,angalia TVT sasa hivi itakuwa ya wa Tanga,akina Said Yakub alipowaona hawa swahili akawabania,huyo ndio...
  15. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Dah,si mchezo.Ama midata inatisha,lakini ukweli upo pale pale,sehemu hizo zina ukabila mkubwa.
  16. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Nakushukuru mwanagenzi maelezo yako makini kabisa,hiyo sheria ipo ila siikumbuki,lakini all in all ngoja niitafute give me time.Aljazeera nikisha ipata hiyo sheria ndio utaamini kuwa Mengi anatumia vibaya vyombo vyake vya habari?
  17. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    mwanasiasa lazima ujue,nini ilikuwa kesi ya msingi,usi seme tu Manji firauni kawashika,nssf,ccm sijui ikulu,No kesi ya msingi ni kuwa Mengi anatumia vibaya vyombo vyake vya habari,kesi hii it has nothing to do with manji.Its between Mengi and malima thats it!!!Alipoulizwa Mh malima unao ushahidi...
  18. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Tanzanianjema,hatukatai kama nchi inaoza ama imeoza,lakini tuwe na hoja,tusiwe watu wa jazba,lete hoja lete ushahidi,sio unaleta hoja huna ushahidi nayo.sie sio watu wa jumbe ndio,we have to hoji why?how?sio mtu kaleta hoja basi unaivamia tu tanzanianjema.
  19. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    jina lako nikielelezo tosha mh Poorman,hebu mwangalie mwenzio Yeboyebo alivyosema,if not now but sooner than later ukweli utajulikana.hakuna anaye tetea maovu,ila lete ushahidi juu ya kileee unacho nenaaaaaaaaaa!!!!Sio jazba zako za ki-poor poor ndugu.
  20. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Eric Ongara,kama ndio wewe na hao ndio mashahidi wako ungefanyaje?Mbunge Malima hao ndio mashahidi wake no matter wana ugomvi au kuto kuelewanan na magazeti ya This day na Kulikoni lakini yeye ndio mashahidi wake.
Back
Top Bottom