Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Being a business man tactically he will be happy to see JF shouting to each other about him.

I know the man very well. Usione ukimya na upole wa sauti, ni hatari kwa MM walipita Jeshini mnaelewa. Biashara ni kukopa, sawa lakini kama umekopa hela ya kikundi usiporudisha anaumia nani.

Pamoja na ku create ajili part of the million post of employment, ilani ya uchanguzi CCM. ni wangapi ni waanga wa madeni yake?
 
Ongara sisi tunao tu hadi tujue mwisho wake . Hatuwezi kujadili issue kwa speed ya moto wa makaratasi hapana issue itajadilika kwa speed ya moto wa mpingo na mkaa unaujua .Tupo hapa Baba
 
kama ni mambo ya uchumi au EAC iwekwe kwenye somo husika, then tutajidili au hii nayo ni ishu ya siasa??
 
Nimesoma leo Gazeti la Mwanahalisi, habari yake ya kwanza inazungumzia sakala la Mengi na Malima.

Kilcho nishtua ni mashaidi wa Malima walioenda kumtetea kwenye Tume ya Haki,Maadili na Madaraka ya bunge. Kwa mujibu wa habari hiyo,mashaidi wa wa Malima walikuwa:
1.Winfrida Mahalu(Mke wa balozi Mahalu)
2.Jaji Joseph Warioba
3.DK. Ramadhani Dau(Mkurugenzi wa NSSF)
4.DK. Gideo Shoo(Mwandishi wa Habari Cooperation)
5.Sheikh Ali Basaleh(msikiti wa KwaIdrissa Dar)

Watetezi wa Mengi walikuwa ni Joyce Mhavile na Sheikh ambae jina lake halijafafanuliwa katika habari hiyo.

Warioba, Dau na Mhalu kwa vipindi tofauti wamekishwa husishwa na ufisadi na magazeti ya Thisday na kulikoni.

Je wameunda dream tema na Manji kulipiza kisasi?

Kuna mchezo gani unachezwa hapa?
 
Eric Ongara,kama ndio wewe na hao ndio mashahidi wako ungefanyaje?Mbunge Malima hao ndio mashahidi wake no matter wana ugomvi au kuto kuelewanan na magazeti ya This day na Kulikoni lakini yeye ndio mashahidi wake.
 
Toa point , usiropoke tu ili mradi unataka kushabikia ufisadi, Hao wote waliotajwa hapo kama mashahidi wamefuja mamilioni ya pesa za umma tena kwa kupitia huyo Manji, na kwa kuwa magazeti ya Mengi yali report taarifa zao basi leo wanatengeneza genge la majambazi na kujifanya mashahidi, Then mtu mzima kama wewe unajiita Mzee wa london eti unashabikia.

Sasa nini maana ya kujadiri ufisadi katika forumn hii!!! Tusijadili ufisadi wa mali ya umma kwa upande mmoja tu, na kwa kuegemea Udini na ukabila. Kwetu mtu akiitwa mzee huwa ana point, lakini nashangaa unajiita mzee wa london sijui mzamiaji wakati ni pointless tupu.

Nilitegemea kusikia unachngangia ili tujue kwa nini waliitwa hao tu ndiyo wawe mashahidi wa Malima, na kwa nini upende wa Mengi wapo wawili ili tujue ni kwa sababu ipi. Lengo ni kujua ufisa na mali za umma haufichwi kijinga.
 
Eric: This is very serious! Warioba lazima amkasirikie sana Mengi kwa sababu yeye alijengea taswira kwamba ni mtu safi; magazeti ya Mengi yakamlipua kwamba ni walewale. Since then, huyu mzee heshima yake ipo chini sana.

Lakini kinachonisumbua kichwa katika hii kesi ni why all this heavy weight? Hivi ikitokea kamati ikaona kuwa kweli ITV ilitoa zaidi kwa Mengi vs Rais; what iare the legal consequences? Kuna kasheria kanakotaka Rais apewe muda fulani kwenye taarifa ya habari au vipi? Nisaidieni mwenzenu hapa. Maana hapa naweza nisimsikie Tony Blair kwenye taarifa za habari za BBC na TV zingine hata mwezi, lakini i don't think is a big deal.
 
Hao mashahidi kwa tuhuma zilizopo mbele ya hiyo tume mbona sipati link kabisa. Kesi ya msingi hapa ni ipi "Malima kumtuhusu Mengi kuwa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na yeye vinampendelea coverage". Sasa kwa hilo nilitemea mashahidi labda wawe wadau mbalimbali wa mambo ya habari na social groups. lakini hawa mbona sioni kama wanafiti hii picha au wametumwa na serikali..??

Huyu Manji kweli firauni...yaani kawashika masikio serikali, bunge, NSSF...mpaka CCM yenyewe...sitashangaa nikisikia Ikulu inamilikiwa na Manji.
 
I think what is at stake here is ego...this case has been changed to become a SHOWOFF to MENGI... However, sooner or later the truth will come out.
 
Eric,

Sijasoma hilo gazeti, ila taarifa nlizopata ni kuwa Mengi alipeleka mashahidi 3 na Malima alipeleka mashahidi 28(!), wakiwemo hao uliowataja, wadau wa habari.n.k.. na vielelezo vyao. Inawezekana hao uliowataja wewe wamekuwemo kwa sababu ya huo ushabiki/kisasi as at one point or another wameingia matatani na vyombo vya Mengi.

Pengine mashahidi kuwa wengi kiasi hicho ndio sababu ya kuwepo vikao zaidi ya 60 kwa suala dogo kama hili, spending over TShs. 100M. Nlikuwa nikijiuliza swali kama hilo la Mwanasiasa .. as to what is the END RESULT ya shughuli za hiyo kamati iwapo ataonekana mmojawapo ndio mkweli. The closest I have seen is a news clip that said kamati inaweza kupendekeza kwa bunge kuwa mhusika apelekwe mahakamani.
 
Mimi sijaona mana yeyote hapa mbali kuendeleza ushabiki na upinzani wa kibisahara na udini . Mengi hakuna sheria inambana kuonyesha matukio ya rais ama waziri mkuu kwa muda mrefu maana si chombo cha Serikali na yeye ni mfanya biashara tu na analipa kodi . Mbona Malima ama wana CCM hawajadai kwa nini Mengi ana andika vibaya Upinzani na hata wakati mwingine kupige debe la nguvu kwa CCM kupitia magazeti yake nk ?

Wote wezi tu Spika hana maana shauri dogo linachukua si much time na pesa kibao .Mambo gani haya
 
jina lako nikielelezo tosha mh Poorman,hebu mwangalie mwenzio Yeboyebo alivyosema,if not now but sooner than later ukweli utajulikana.hakuna anaye tetea maovu,ila lete ushahidi juu ya kileee unacho nenaaaaaaaaaa!!!!Sio jazba zako za ki-poor poor ndugu.
 
Mzee wa london is typical Tanzanians problem,

Ni wagumu sana kukubali kuwa nchi yetu inaoza kila kukicha. Tumekuwa waoga wa kukubali ukweli kuwa ukurupukaji wa wazee wetu kule Zanzibar kuvunja maadili ya utanzania yaliyokuwako katika azimio la arusha ulikuwa ni dhambi kubwa kwa watanzania.

Tuogopa kukubali kuwa nchi yetu sasa haina tofauti na zile za majirani zetu tuliokuwa tukiwacheka kuwa wanaishi kama manyang'au.

inashangaza kluona kuwa badala ya kujadili na kuchukua hatua kuhusiana na issue alizoziibua Ndesamburo tunakubali ujanjaujanja wa manyang'au wetu kumjadili ndesamburo. Kama ilivyokuwa kwa mengi alipoamua kuasi timu ya ushindi na dada yetu Amina Chifupa alipoamua kuwasimamia kidedea watoto wa mjini wenziwe. Watanzania tumekuwa laini sana kulaghaiwa na chepa spining ya manyang'au mufilisi na waliojaa ulimbukeni.

Watanzania tunapenda sana ukombozi lakini kwamwe hatupo tayari kusimamia ukombozi wenyewe. Mbaya zaidi anapojitokeza mtu kujitoa kafara tunamgeuka na kuanza kumsuta.

Tuamke ndugu zangu. Tukichelewa zaidi tutajikuta tuko utumwani.

Tanzania njema itajengwa na watanzania wenyewe.

Tanzanianjema
 
Maneno mazito haya . Tuanze kampeni mapema hapa hapa ya kuomba kura wa wake wanao stahili . CCM inapashwa kupewa adhabu kubwa mwa miaka 40 kutupa maisha haya . Tuamke tuseme na tuwaambie ndugu zetu kwamba kama kuna mwana CCM ana nafuu apewe lakini kama ni wale wale apigwe chini aingie mpinzani angalau Bunge lishikwe na upinzani tuwaachie Urais . Kazi kubwa iko katika sheria ambazo zinawapa nguvu.

Hivi wana JF tumekaa kimya kweli JK anapeleka muswada haramu Bungeni wa vyombo vya habari ? Nasema JK maana wanao peleka Muswada ni watu na yeye kakaa kimya anataka kutunyamazisha ndani ya EAC ?
 
Hao mashahidi kwa tuhuma zilizopo mbele ya hiyo tume mbona sipati link kabisa. Kesi ya msingi hapa ni ipi "Malima kumtuhusu Mengi kuwa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na yeye vinampendelea coverage". Sasa kwa hilo nilitemea mashahidi labda wawe wadau mbalimbali wa mambo ya habari na social groups. lakini hawa mbona sioni kama wanafiti hii picha au wametumwa na serikali..??

Huyu Manji kweli firauni...yaani kawashika masikio serikali, bunge, NSSF...mpaka CCM yenyewe...sitashangaa nikisikia Ikulu inamilikiwa na Manji.

Mwanasiasa Taratibu punguza Jazba!

Nimekusikia boss wangu!
 
Manji ni bwana mdogo wa kati ya miaka 30 na 37 lakini ana nguvu kuliko Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania . Hebu oneni aibu hii toka kwa Serikali yetu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom