Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

Hatimaye Warioba anaondolewa????!!!


---------- Forwarded message ----------
From: Mwana Habari <mwanahabari@gmail.com>
Date: Aug 1, 2007 9:31 AM
Subject: August 2007 Vacancies - Various
To: mwananchipapers@mwananchi.co.tz


Job Title: Vice Chancellor

Requirements:
Attained a status of Professor or Associate Professor in either teaching or research or both and should have outstanding academic qualifications and administrative experience and capability of at least seven years at a Senior Management level in a higher education institution.

Job Description:
Responsible to the Council for the dynamic management of the academic and administrative affairs of the University, including formulation of policy for consideration by, and implementation of the decisions of the Council; Be the Chief Executive and Accounting Officer of the University; Responsible for the general security and welfare of the University; Be an ex-official Chairman of the Senate and of the Governing Board of every Constituent College of the University; Have such other functions as are conferred upon him by the Universities Act, 2005, Regulations made thereunder, the Mzumbe University Charter, 2007, Rules or by any other written Law.


**************************************

Job Title: Deputy Vice Chancellor - Academic Affairs


Requirements:
Attained a status of Professor or Associate Professor in either teaching or research or both and should have outstanding academic qualifications and administrative experience and capability of at least five years at a Senior Management level in a higher education institution.

Job Description:
Responsible to the Vice Chancellor in all matters pertaining to the academic matters of the University; Deputize for the Vice Chancellor during the Vice Chancellor's absence from office; Be the principal assistant and chief advisor to the Vice Chancellor in all academic matters of the University; Endeavour to promote academic excellence by ensuring appropriate quality control mechanism are in place and human capital is adequately developed; Make or cause to be made continuous review of the academic programmes to ensure their relevance and responsiveness to the market demands; Any other duties as may be assigned by the Vice Chancellor.

Apply To:
The Chairman, Search Committee
Mzumbe University
P.O. Box 1 Mzumbe
Morogoro - Tanzania

Closing Date: 20/Aug/2007
Job Title: Officer (Arusha Zonal Office)

Requirements:
Working knowledge of employment and labour matters a must; Over 3 years work experience in the business or legal field in Tanzania; Knowledge of the Business environment in Arusha and neighbouring regions (Manyara, Kilimanjaro and Tanga) an added advantage; An excellent communicator with excellent negotiation and networking skills; Must be computer literate.

Job Description:
Providing general legal advice with regards to the new labour law and assistance on labour laws and employers rights to ATE members in Arusha and neighbouring regions and to potential members; Providing legal advice in cases in which the organisation intervenes, assists, or is otherwise involved in the assistance of its members; Working in close collaboration with ATE Offices in Dar es Salaam regarding legal matters - referring cases in the Dar es Salaam Office where necessary; Facilitating the dissemination of information about recent labour market developments; Implementing ATE's campaign on making ATE more visible; Developing and implementing other activities in response to regional needs and in accordance with ATE's overall mandate, Such activities include the provision of training and information on Labour laws and Human Resources Development and Management; Preparing and contributing to ATE's newly launched newsletter, briefing papers and to the website; Undertaking awareness-raising activities of new developments on the labour market.

Apply To:
The Executive Director
Association of Tanzania Employers
IPS Building, 7th Floor Samora Avenue/Azikiwe Street
P.O. Box 2971
Dar es Salaam

Email Applications: info@ate.or.tz

Closing Date: 8/Aug/2007

*********************************************

Job Title : Director of Finance

Requirements:
Masters degree in Finance or accounting and holder of CPA (T)/ACCA; At least 9 years job experience in finance or Accounting and 5 years in senior management level.

Job Description:
Prepare annual plan and budget by reviewing and consolidating plan and budgets from his sub ordinate for onward submission; Plan, organise, develop and direct financial policies, systems and procedures through analytical approaches and application of national and international accounting and other standards for the purpose of proper utilization of financial resources; Develop and direct, investment policies by analysing the internal and external factors such as core functions of VETA, availability of funds, vision and mission of VETA to ensure strategic financial management including short term and long term investments which are in line with objectives of VETA; Co-ordinate and Monitor budget preparations through budget guidelines in order to meet priorities of VET in conformly with VCP priorities; Control Cash flow Management by monitoring the movement of VET funds for optimum utilization of Revenue; Produce Financial Statements by coordinating and directing preparation of consolidated financial reports for management evaluation of performance review by External Auditors and approved by VET Board; Maintain Asset (Current and Fixed) of the authority using acceptable accounting standards in order to safeguard VETA's Asset and comfort to Laws and Regulations; Prepare monthly, quarterly/annual financial and management progress report by reviewing and consolidating progress reports from his sub ordinate for onward submission.

Apply To:
Director General
Vocational education and Training Authority
P.O. Box 2849
Dar es Salaam

Closing Date: 8/Aug/2007
Lutheran World Federation/Department for World Service Kenya/Sudan Programme is seeking to recruit a quailed individual for the following position, to be based in Yirol, Southern Sudan.

Peace Desk Officer, Ref. No. PDO/Y/08/07

The Peace Desk Officer will be based in Yirol and shall be responsible for coordinating and overseeing operational plans of the Sudan Peace and Capacity Building Project that covers both Yirol and Bor project. He/she will work to improve the proper operations, management and improvement of the Peace and Capacity Building activities. The incumbent will report directly to the Project Coordinator, while working closely on a daily basis in collaboration with the Deputy Project Coordinators and other sectors of LWF. The incumbent will plan and divide his/her time well between the Yirol and Bor project.

Key Points of Communication: Project Coordinator, Deputy Project Coordinators and the other LWF Sudan Project Officers both in Yirol and Bor.

Duties and Responsibilities

1.Work in close collaboration with the Deputy Project Coordinators and other staff in the overall planning, management and development of the Peace Building and Conflict Resolution activities in the LWF/DWS Sudan project.
2.Provide overall team leadership for the Peace Building and Conflict Resolution staff and conduct half yearly community development staff appraisals.
3.Liaise with peace committee members, community leaders, local county authorities and other stakeholders to identify Peace Building and Conflict Resolution community concerns and together develop an action plan in coordination and collaboration with other stakeholders.
4.Work with the communities to formulate and develop rights based proposals and strategies that will promote Peaceful coexistence in the project area and the neighboring communities.
5.Design innovative ways of addressing the conflicts between different clans (tribes) in order to enhance peaceful coexistence amongst them.
6.Work with communities to identify community training needs in Peace and Conflict Resolution and plan and facilitate relevant training.
7.Design and implement relevant and cost effective peace education training for the staff and peace committee members.
8.Coordinate, strengthen and promote the existing community arbitration systems in the community and ensure the participation of women and youth in conflict resolution and peace building.
9.Work closely with the local authority and community members to establish, strengthen and empower community based peace committees in conflict resolution and peace building.
10.Conduct community awareness sessions on Peace and Conflict Resolution.
11.Establish a budget monitoring system for Peace Building and Conflict Resolution activities to ensure cost effective and efficient implementation of the project.
12.Write timely and accurate monthly, quarterly, bi-annual, annual, and feature reports for the Peace Building and Conflict Resolution project based on actual field activities.
13.Carry out regular, re-planning, monitoring and evaluation of Peace Building and Conflict Resolution activities.
14.Carry out any other duties as may be assigned by the supervisor or any other person indicated by him/her.


Personal Specifications and Qualifications:
Degree qualification in sociology - development studies, public policy, conflict resolution, or similar fields
Good understanding of the dynamics of conflict resolution in the context of war
Working knowledge of Sudan preferred
Be fluent in English. Knowledge of Arabic and Dinka is an added advantage
Excellent verbal, writing and communication skills.
2 years of experience in a humanitarian or development NGO environment, preferably with demonstrated experience in peace building activities at grassroots level.
Ability to work with a broad range of stakeholders
Report and proposal writing skills.
Should be a Sudanese
LWF/DWS is an equal opportunity employer, irrespective of gender, race or religious affiliation. LWF/DWS is a signatory to the Code of Conduct for humanitarian agencies. Our recruitment and selection procedures reflect the organisation's commitment to the prevention of abuse and exploitation of beneficiaries.


Nominations and applications should be mailed to:

Att: Office Administrator,
P.O. Box 40870, GPO-00100,
Nairobi, Kenya

Or e-mail to: hr@lwfkenya.org

Closing Date: 8th August, 2007

Applications should be sent in English, accompanied by copies of relevant certificates and the names, contact and e-mail addresses of three persons who know the applicant professionally. Please quote reference number on all correspondence.

Only short-listed candidates will be contacted.
Save the Children Federation Inc. USA urgently needs to recruit for the following position

Position Title : Human Resources Manager
Location/base : Juba, South Sudan

Job Summary:
The HR manager will be responsible for:


·Providing overall strategic HR leadership and contribute to the overall leadership, representation and strategic decisions of the country office.
·Development and review of sound HR policies and procedures that are compliant with Agency standards and local labor laws;
·Development and implementation of HR strategies and tools for the CO to attract, motivate, retain and develop the right people in the right positions;
·Support managers in the area of people management functions (Recruitment, orientation, performance management, conflict management etc.);
·Maintain up to date personnel file and provides timely HR information for management decisions;
·Prepare SC staff payroll monthly
·Administration of staff salary & benefits, including staff insurance, and follow up on general staff welfare, security and safety
·In coordination with line managers and the SMT, review staff development procedures, develop staff development plan through training needs assessments and needs identified through IMPACT evaluations
·Ensure and promote implementation of the HIV/AIDS in the workplace policy and procedures.
This is an unaccompanied post.

3.0.Job Requirements:

3.1.BA Degree in relevant field preferably HR, Administration or Law.
3.2.Additional training in Human resources and or management.
3.3.Minimum 5 years of experience human resources management
3.4.Excellent written and spoken English Language skills.
3.5.Comprehensive Computer skills.
3.6.A strong knowledge of the labour laws (Kenya & Sudan)
3.7.Experience in a post-conflict or conflict environment preferred
3.8.Willingness to travel and live in shared facilities within South Sudan,
3.9.Proven strong supervisory and interpersonal skills.

Applicants should submit a cover letter, detailed CV's together with names of three referees and salary expectations. Applicants should hold valid travel documents.
Please submit applications to jobs@savechildren.or.ke by 7th August 2007 . Only short listed candidates will be contacted.
__________________



--
Tembelea
www.riwaya.co.nr , www.dhwchat.co.nr , www.techtz.co.nr , www.msanii.co.nr

--
 
Bandugu,
Kwani muda wa ofisi wa Warioba umeisha au kwa ajili ya hiyo PhD feki ndo his position ikawa vacant?
Kwani Warioba aliteuliwa VC MU lini?
 
Here is a link for the latest ranking of African Universities

http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa

mTz,
Hii ranking Bwana,
Wacha tu- yawezekana wapi Mogadishu University ranked 40th wakati University of Ghana 46th? Mimi validity and Reliability vinaanza kunipa taabu- Somalia there has been no functioning govrnt for past 16 years, yet their University is the 40th best in Africa?
Wandugu mnasemaje?

40 MOGADISHU UNIVERSITY 5,409
41 NORTH WEST UNIVERSITY 5,500
42 UNIVERSITY OF KHARTOUM 5,541
43 UNIVERSITY OF FORT HARE 5,546
44 ECOLE DU PATRIMOINE AFRICAIN 5,828
45 UNIVERSITE DE BATNA 5,913
46 UNIVERSITY OF GHANA 5,934
 
Wamekosea! Au wanamlengesha mtu.
Kwenye requirements panahitajika maneno '....PhD academic qualifications from a REPUTABLE UNIVERSITY.'
Kama suala ni uprofesa - mbona wengi wapo wa vi-degree kimoja au viwili. Tembelea MUCCoBS, IFM,IIA etc.
 
ndugu mkandara na waafrika wenzangu, lazima tukubali sasa ya kuwa swala zima la elimu linaendana na nini unafanya. Phd ya siku tatu na miaka saba zote ni PHD tu, hata wale wanyama wa kale wakubwa kuliko ikulu ya kikwete wakija leo watakubali. wewe unafanya PHD miaka saba unachunguza nini kama sio muongo? na akina albert enstain, galileo, asemeje. kama ndugu zetu wajapani wamekuja na swala zima la bench marking, yaani you find what felow did, and you do best.

mtu anaefanya PHD ya kwanini Ng'ombe anakula majani na kutengeza nyama na wakati huo huo simba wanakula nyama kutengeneza nyama atachukua mda gani? wakati kakuta ni hali halisi.

je kwa mtu anetafiti kwa nini polisi wa huko nyumbani wanapenda kuomba buku wakati tayari ana leseni yako na huku hataki mwende kituoni? ataitaji kama siku moja hivi kupata PHD.


nana ana haki ya kumiliki PHD? albert Enstaine au Methew Luhanga.
 
Natamani kulia nikisikia hivyo. Pia nakumbuka mjumbe mmoja wa JF aliwahi kuniponda kwa kitendo cha mimi kuponda uanzishwaji wa vyuo bila uwepo wa walimu wenye uwezo. Hili niliwahi kuliongelea katika mada za mwaka 2007.

Hawa ndugu, wanakipa chuo "U-University" just kuongeza idadi ya vyuo na digrii nchini. hali wanajua kuwa hakuna lecturers wa kutosha. Nikawahi kushauri kuwa badala ya serikali ku-concentrate kuleta wawekezaji kwenye madini, basi tutafute well wishers kama vyuo vya mamtoni vinavyotambulika, waje waingie ubia na serikali katika eneo la elimu. Walete walimu na other necessary resources.

Kwenye labour market sasa hivi (kuondoa parastatal organizations), mzumbe hawana market kabisa. Mi na uhakika kabisa na nimewahi kuongea na employers mbali mbali, the argument ni kuwa, mzumbe wanafundishwa just kupata A's na sio kupanuka kiakili. Sasa unakuta eti chuo kikuu wanafunzi kibao wana A zote...!!. Hebu zunguka vyuo vyote duniani hata hicho cha PWU kama utakuta kuna mtu ana A katika masomo yote (kwa miaka yote). Ukichunguza, wanafanya hivyo ili waonekane wanatoa wanafunzi vipanga, kumbe wanaharibu.

Lakini haya yote ni matokeo ya yale yaliyoongelewa na mjumbe mwenzetu kuwa, elimu za lecturers ni za ki-utata.

Mlimani kuna Doctors kibao walikataliwa kutambuliwa kama Phd holders, kisa wametoka katika vyuo vya uchochoroni. Kuna jamaa anaitwa xxx, yuko kitivo cha biashara, yeye mtaani anaitwa Dr. chuoni anaitwa Mr. I like that, watu wako serious na taaluma. Sio watu wajiletee Phd za kuokota uswazi ya majuu.

Please, kama kuna mwana JF mwenye access na Prof. Msolla (waziri wa elimu ya juu), aongee naye ili alifanyie utafiti na udadavuzi swala hili. Itatuletea balaa hasa ukizingatia watu wanapoteza muda pale Mzumbe kusoma kumbe wanatwanga maji kwenye kinu.

Asante mjumbe aliyeleta mada.
 
Please, kama kuna mwana JF mwenye access na Prof. Msolla (waziri wa elimu ya juu), aongee naye ili alifanyie utafiti na udadavuzi swala hili. Itatuletea balaa hasa ukizingatia watu wanapoteza muda pale Mzumbe kusoma kumbe wanatwanga maji kwenye kinu.

Prof Msolla is a dead wood hawezi fanya kitu chochote cha maana, mbona anajua kuna watu kibao wenye vyeti feki mawaziri wenzake na hajafanya kitu? Ndo arekebishe Mzumbe? Anajua kabisa Mh Nchimbi hana PhD na hata mwanafunzi wake mh Matayo David hana PhD? Msolla yupo tu kufisadi pesa za mikopo!!!
 
1. Kama uwezo MU ni kidogo na hawana waalimu wakutosha and competent- why kufungua matawi Mbeya na Dar? Nani alifanya maamuzi haya?

Kuna haja gani kujitanua mikoani wakati huna waalimu?

2. Nilikuwa pale Lumumba Complex mwaka jana kikazi.. nilipenda sana ule msosi wa pale haswa yale majimbi ni matamu sana aisee! Yet Room no 25,000 kwa siku na Accmod. ni safi na huduma zao ni safi! Kwa hili nawafagilia MU!
 
kuhusu Baisi mlimani walakataa hiyo Phd yake..wakamchukulia kama amefanya masters mbili..hata ktk prospectus ya chuo amewekewa masterd mbili hizo.. noo Phd!
 
Ni kweli udaktari wa Baisi ulikataliwa na kwa miaka kadhaa sasa anasotea u - dr wa UDSM
 
huyo DR, ASSAD MUSSA si mkweli anachuki binafsi na mzumbe kwani hapo UDSM kwenye kitengo chake yupo Baisi ambaye alikwenda marekani akarudi na phd feki na hadi sasa yupo pale. wapo wengi udsm
naleta data soon.

Ndugu Nungwi, inaelekea uko shallow sana, au aliyekuhadithia kakudanganya sana. Manake hapa unaongea na mwanachama hai wa kitivo cha biashara tena mshikaji wa haooo malecturers.

I know Baisi very well, I know Assad very well. Baisi hakubaniwa na Assad bali ni uongozi wa chuo na faculty kwa ujumla. By then wakati anabaniwa, dean wa faculty alikuwa ni swaiba wake wa karibu Professor Kaijage. So, usikurupuke ndugu, UDSM hakuna mambo ya kupokea Phd za uchochoroni, wala chuki binafsi kama unavyodanganywa bin kufikiria, watu wako makini. Hata kama hizo chuki binafsi ziko, huwa zinatambulika kabisa. Chuki binafsi iliyowahi kutokea ni ile ya miaka ya nyuma sana iliyomuhusisha Dr. Mashindano (kama uko deep na maswala ya mlimani utakuwa unaijua hii stori). Tokea hapo chuki binafsi kwenye maswala ya elimu hayapo, as uongozi wa chuo umeanza kuwa makini.

U-professor ni issue kuupata, sio hivi hivi tu, kuna maprof kibao hawatambuliki na chuo cha mlimani, ukitaka majina unaweza pewa vile vile. Kwa hiyo, ujue unaongea na alumni wa mlimani. Usifikiri wana JF hawajakanyaga vidato..!!

Kama humjui Assad, sikiliza nikupe tabia zake. Dr. Assad, ukiuliza wanafunzi wake wooote, watakueleza, ni Dr. ambaye habanii mtu wala hampi mtu favour, weka nyanga mezani ndio akutambue. Hana unafiki unaoufikiria mheshimiwa Nungwi. Ndio maana NBAA ikakubali apewe uenyekiti wa bodi. PPF ikakubali kumweka kwenye bodi, na taasisi zingine. Uliza ueleweshwe.

Siku njema ndugu Nungwi.
 
kuhusu Baisi mlimani walakataa hiyo Phd yake..wakamchukulia kama amefanya masters mbili..hata ktk prospectus ya chuo amewekewa masterd mbili hizo.. noo Phd!

Nafurahi sana, big up mheshimiwa Chiluba. Natamani Nungwi aone vitu hivi.
 
Prof Msolla is a dead wood hawezi fanya kitu chochote cha maana, mbona anajua kuna watu kibao wenye vyeti feki mawaziri wenzake na hajafanya kitu? Ndo arekebishe Mzumbe? Anajua kabisa Mh Nchimbi hana PhD na hata mwanafunzi wake mh Matayo David hana PhD? Msolla yupo tu kufisadi pesa za mikopo!!!

Hiyo sasa issue Ndg. Ushirombo, manake kama tunaotegemea kutusaidia ndio wamelewa ufisadi bin kuteteana kimasilahi binafsi, hii hatari..!! Sasa sijui tuandamane, au tuonane na council of univirsities duniani....!!!....???

Hapo pana tatizo..!!!
 
kishazi pole sana kwa masikitiko. yanaumiza na yanatia huruma, ila kitu cha kuangalia ni kimoja tu, kwamba wanaohitimu mzumbe hawana ajira inategemea interview umeifanya na mtu aliyemalizia wapo na kwa misingi gani, na ushallow unaoungelea it might be a just hear say to call, which is merely admissible as evidence, but with great care.

ukienda kwa hao hao waajiri ukiwa neutral utaambiwa udsm graduates hawajui kuchapa kazi, hawaivi, ukienda kwa wale wa udsm employees na ukajionyesha wewe ni graduates wa huko utaambiwa the opposite. ninachokijua ni kuwa MU has the same quality as other universities in tanzania na Muda mfupi inaweza kufanya vizuri. kazi wanapewa mpaka serikalini ukitaka data mimi pia ni mmoja wa waajiri, chukua sheria, magistrates zamu hii ni wengi kuliko kawaida, mawakili waliopata mwaka huu MU graguates ni wengi sana, chukua state attorneys wa mwaka huu ni wengi sana, solicitors ni wengi.

sasa swali langu hivi ni wapi wanachukua wanahitaji high qualified figures in parastatals or in government org.

any way, uhasibu hiko hivyo hivyo, ila what i believe ni kwamba upungufu wa walimu hupo kama ilivyo udsm. ila lecturer kwa idadi ya wanachuo ni nzuri sana kwa mu kuliko UDSm.

pia idadi ya walimu wenye degree feki ni wachache sana. nina mdogo wangu alipomaliza nilimzungusha kwa prof. mmoja hapo UDSM kuinquire nimpeleke sheria ya wapi, akasema anapropose mu, nikaenda MU kwa rafiki yangu kupata maoni, akaniambia vilevile,huku yeye akisikia. form six alikuwa na point 4, nikamwambia kazi ya guardian niliyofanya inatosha, tafuta sehemu unakotaka kwenda, akaenda mu, sheria na sasa hivi yuko mwaka wa mwisho. mimi pia mwanasheria, ukimweka kwenye firm au kazi anyoifanya yuko akitivu kuliko mbwembwe za baadhi wa UDSM, nimeamua kudisclose hii information ili kuonyesha kwa nini huwa ninapingana na mawazo ya baadhi wanaokuwa bias.
 
Back
Top Bottom