Search results

  1. J

    Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  2. J

    Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  3. J

    'Single mothers' wenye pesa wanaharibu mabinti zao kisaikolojia

    Imekuwepo tabia ya single mothers kuwalea mabinti zao kwa namna ambayo wao wanadhani ni sahihi wakati sio. Kina mama hao huwalea watoto kwa kuwadekekeza kupita kiasi, kuwapa maisha ya anasa nyingi na kuwajengea mitizamo hasi kuhusu wanaume, mahusiano na maisha ya jumla. Utakuta single mother...
  4. J

    Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Kuanzia saa 1 leo, ITV, CLOUDS, STAR TV, EATV na Channel 10 hazipo kwenye king'amuzi cha star times. Sijajua kama nao wameungana na ndugu zao kuondoa locals au labda wamepewa maelekezo.
  5. J

    Tetesi: Uwaziri wa Mh. Kairuki (MB) wa Madini uko mbioni kumponyoka

    YAH: NAMNA SWALA LA UWIZI WA MADINI KATIKA MGODI WA MERERANI LINAVYOSHUGHULIKIWA KATIKA NGAZI YA WIZARA. Taarifa za Kamisheni ya Madini zinaeleza kuwa mrabaha utokanao na Tanzanite umeshuka toka mil 400 hadi mil 40 ndani ya kipindi kifupi sababu kuu ikiwa ni upitishaji madini katika namna ya...
  6. J

    Naomba miswaada iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwezi August 2018.

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Miswaada ninayoomba ni: 1. Mswaada wa bodi ya taaluma ya ualimu 2018. 2. Mswaada wa kutangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu 2018. 3. Mswaada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali 2018.
  7. J

    ANGALIZO: Nawashauri wale wanaopambana na serikali wa'behave' .

    Serikali ya awamu ya tano ni ya kipekee sana maana inapambana kufa na kupona ili kutekeleza ilani yao kwa ufanisi wa hali ya juu! Kiufupi sasa treni imekamata njia yake kwa kasi stahiki, namuonea sana huruma mtu atakayejaribu kukisumbua chombo hicho ambacho tayri kimechanganya mwendo! Ushauri...
  8. J

    Mahali ilipo Lilian Kibo High School

    Mwenye kujua anifahamishe.
  9. J

    Kibali cha kupiga picha siku ya Muungano

    Wanabodi mi ni mwanahabari wa kujitegemea. Sijaajiriwa na chombo chochote cha habari. Natamani nipate fursa ya kupiga picha kama mwanahabari kwenye sherehe za muungano. Nitapataje kibali? Niende kwenye ofisi zipi?
  10. J

    Kozi ya Abstract algebra inafaida gani ?

    Wakuu kuna kozi za hesabu hazina manufaa kabisa. Mfano abstract algebra yaani ni kutesana bila kuleta mafanikio. Mlioisoma popote pale tubadilishane uzoefu maana mi ningekuwa senete ya chuo ningeiweka iwe optional kwa wanaoitaka.
  11. J

    Kampeni za makamu wa Rais DARUSO DUCE

    Ifuatayo ni ilani ya uchaguzi ya mgombea umakamo wa urais katika serikali ya DARUSO-DUCE. Hata kama wewe sio mwanduce ipitie uone jinsi huyu mtu alivyo hazina ya DUCE na hata jamii nzima ya kizazi kijacho. Mgombea mwenyewe ni MARTHA STEVEN (B.A. Education).
  12. J

    Sylabus za elimu ya Tanzania

    Kwa yeyote mwenye mihutasari ya elimu ya Tanzania hususani kwa masomo ya phy na hesabu kwa o'level na a'level katika mfumo wa kidigitali naomba aipost humu ndani.
  13. J

    Naombeni msaada waungwana

    Mi ni kijana niliepangwa DUCE BEDS. Nimetokea Kilimanjaro na hapa Dar nimeshukia maeneo ya Kigamboni. J1 niliripoti Chuoni nikakuta ya kuwa sijapangwa hostel yoyote kati ya Mabibo na Mbagala. Nilijiandikisha katk ofisi za DARUSO ili nipewe malazi mbadala jambo ambalo sijafahamu hasa litakuwa na...
  14. J

    Fanyeni hii intergration waungwana

    Nisaidieni 'intergral of the Squareroot of Sin X with respect to X' Ahsanteni.
  15. J

    Hongera Ze dudez!!

    Hatimaye baada ya subira ya mda mrefu mambo yako wazi. Ze dude umekuwa wa muhimu sana kwa kutupa info za awali na kuahidi kutupa zilofuatia. Hauna ubinafsi nakupenda kwa hilo, ulitoa tokeo la DSM japo mwenyewe hukupangwa huko. Pamoja na kuwa kila kitu kiko wazi endelea kudumu kwenye jukwaa la...
  16. J

    Bsc.ED na B.ED in sc.

    1.Nini tofauti ya hizo mbili? 2.Ipi ni nzuri na kwanini? 3.Kwa nini BED SC. inachukuwa watu wengi zaidi? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanajamvi wote nikiwaomba msaada wenu kwa moyo mkunjufu.
Back
Top Bottom