Bsc.ED na B.ED in sc.

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
216
122
1.Nini tofauti ya hizo mbili? 2.Ipi ni nzuri na kwanini? 3.Kwa nini BED SC. inachukuwa watu wengi zaidi? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanajamvi wote nikiwaomba msaada wenu kwa moyo mkunjufu.
 
wewe ni Mwalimu nini kwa sababu ulivyouliza maswali yako kama mwalimu anawachia wanafunz kazi ya kufanya
ushauri
kuwa na lugha ya kuomba msaada sio unaropoka shida zako huku ujatoa hata hai utaumbuka mtu mzima
 
Nasikitika sana sana kwamba mwanzoni sikuwa polite katika kuuliza. Nimeiedit baada ya thread ya jamaa hapo juu..,bado nahitaji msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu.
 
B.sc Ed una major two science subjects,n unasoma few edu course!ipo tite lakn unakuw na uwanja mpana zaidi.
B.ed sc,unasoma one science subject na una major kwny education zaidi,so thats the difference!
 
Nashukuru sana kwa maelezo mazuri ya awali. Vp kuh ipi ni nzuri? Nakusihi pia unijuze chanzo cha taarifa ili nikajipatie maarifa zaidi. Thanx in advance!
 
wewe ni mwalimu nini kwa sababu ulivyouliza maswali yako kama mwalimu anawachia wanafunz kazi ya kufanya
ushauri
kuwa na lugha ya kuomba msaada sio unaropoka shida zako huku ujatoa hata hai utaumbuka mtu mzima

we mpuuzi! Mwenzio anauliza unamjibu bila hata chembe ya uungwana! Kosa liko wapi kwa alichouliza. Wengine mnakera sana humu jf. Bora tuwe na real identity upuuzi kama huu/huyu hatafanyan hivyo!
 
B.sc Ed una major two science subjects,n unasoma few edu course!ipo tite lakn unakuw na uwanja mpana zaidi.
B.ed sc,unasoma one science subject na una major kwny education zaidi,so thats the difference!

Kuongezea, ni kuwa in B Ed Sc, unazama zaidi kwenye teaching methodology ya science subjects! The same applies to arts sarm.
 
Back
Top Bottom