Hivi ndivyo risiti huandikwa mara kadhaa endapo "mtandao haupo".
Je kwanini TRA wasiangalie namna ya kuboresha mfumo huu wa kutegemea network za makampuni binafsi ambazo hazina uhakika sana? Pia kwanini wasijifunze kwa nchi zilizosonga kwenye ukusanyaji mapato kwa njia ya mtandao bila...
Ndugu wanajamvi,
Kutokana na maongezi ambayo tumekuwa nayo juu ya gesi yetu ya asili, ninachikua fursa hii kutoa mawazo yangu juu ya uthamani na kazi za gesi hii vitakavyoleta maendeleo ya haraka.
Maoni yangu:-
1. Gesi hii inatakiwa itumike kwaajili ya kuzalishia umeme.
Hii itaokoa gharama za...
Kwa wale wanaotumia na kupanga kutumia baadhi ya dawa za kichina soma hapa chini;
Chinese Medical System Goes Cannibalistic
Infowars.com
Dec 22, 2012
A South Korean SBS TV documentary accused Chinese pharmaceutical companies in 2011 of selling stamina pills that contain ground...
Kwa wale wengi ambao hawakubahatika kuona hii picha inavyothibiticha uchumi wa nchi unavyokuwa kwa kasi, naiwakilisha hapa. Isome kwa makini na utafakari.
Biogas is produced from manure and some biodegradable substances in a special environment.
People would not suffer if they could use this source of energy.
Biogas can be used direct in cooking, refrigeration, heating, transportation and electricity generation while the digestate (bio slurry)...
Wandugu, pamoja na nyombo nzuri saana ambazo tumekuwa tukizisikia toka kinywani mwa ccm kuna meeengi ambayo hatuyajui wala hatujayaona.
Sijui wenzangu kama mlishafanikiwa kuona kilichofanywa Tarime na CCM kwa kutumia dola, hila, uongo, wizi, usanii na kujaribu kumwaga damu ya WATANZANIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.