mabomu mbagala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  2. Jindal Singh

    Ni miaka 7 sasa ya mabomu ya Mbagala hakuna maazimisho

    Salaam... Wakuu mnajua tukio la Mabomu Mbagala na matukio mengine yanayogharimu maisha ya watu wengi huwa serikali wanayafumbia macho katika kuandaa maazimisho yake. Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 Apili ya mwaka wa 2009 katika eneo la...
  3. Lunyungu

    Malipo ya mabomu Mbagala: Waathirika walipwa Fidia Tshs 1,950

    Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu Imeandikwa na HabariLeo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya Waathirika hao, Thomas Mbasha, alisema baada ya ajali hiyo, walilipwa fidia ndogo na waliandika...
  4. kbm

    Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama

    Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu, jijini Dar-Es-Salaam mapema leo. Waathirika hao wapatao 1,361 kati yao 25 wameishapoteza maisha kutokana na athari za mabomu hayo. Mlipuko huo wa mabomu ni tukio...
  5. kibogo

    Waathirika wa Mabomu Mbagala Kuu Waibuka na kumlilia Kikwete walipwe stahiki yao

    WAATHIRIKA wa milipuko ya mabomu iliyotokea katika Ghala la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Mbagala Aprili 29 mwaka 2009 wameibuka upya wakimuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate malipo stahiki kutokana na milipuko hiyo iliyosababisha vifo na kuharibu nyumba na mali zao mbalimbali. Ombi...
  6. KakaKiiza

    Milipuko ya Mabomu Mbagala na Gongo la Mboto: Je, ni hujuma?

    Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya? Maana kwa mtizamo wangu mimi ninaona ni uzembe!!Maana kama ingekuwa ni hujuma sidhani kama wanaofanya hujuma...
  7. Manyanza

    Report ya milipuko ya mabomu Mbagala iko wapi?

    Baada ya tukio la jana katika kambi ya Jeshi Gongo la Mboto nimeona ni vyema tukiliangalia na hili .................... April mwaka 2009 ulitokea mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi kambi ya Mbagala, na baada ya tukio hili viongozi wanaohusika na dhamana ya majeshi na ulinzi...
  8. Fidel80

    Mlipuko wa masalia ya mabomu Mbagal: Je, Dr. Mwinyi ajiuzulu?

    Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya. More news stay tuned. Watoto hawa wamenusurika kupata mauti wakiwa na mama
Back
Top Bottom