Recent content by sunglass

  1. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Mm sina shida na nyie wadada kupiga umbea tatizo ni kuona janaume kuunga ushoga na wadada kupiga nao umbea.Mwambieni shoga yenu Matola apunguze umbea.Najua mashoga zake mtamtetea sababu mnafurahia story zake za kimbea.
  2. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Punguza umbea wee mwanaume. Umejuaje hayo yote kama sio umbea wako unakusumbua? Au ulikuwepo eneo la tukio alivyomalizwa babake mange kuliwa kiboga ukafuatia wewe ila wewe hukujiua sabab uliona tamu? Ushasutwa mara kibao humu na madem ila umeshindwa kabisa kuacha umbea Bora mange mental...
  3. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Mmhh. Kwa unavyopenda umbea na kusutana nina uhakika hizo ndo blog zako. Unatia aibu sana wee lijamaa hivi huoni aibu.Wewe ndio mwanaume pekee anayependa kusutana huku jf.We shauri yako endelea tu kupenda umbea kuna siku utavalishwa underskirt na dera usutwe na hao mashoga zako unaopiga nao umbea.
  4. S

    Thank You Cocacola I am Humbled !

    Ninachompendea huyu babu ni kwamba ananiongezea siku za kuishi kwa kucheka. Big up Le mutuz.
  5. S

    Muhammad Ali alazwa tena Hospitali

    Uzee mbaya sana. Get well soon.
  6. S

    Maisha yangu hapa London ni mauzauza tu,bora nirudi Bongo

    Hahaaaaa Yani wiki mbili tu ushajua yote hayo. Ila umenifurahisha sanaaa. vipi jaribu kumtafuta mbuta nanga akupe maujanja. Swali la kizushi..huko london ulienda kwa malengo gan?
  7. S

    Bring back Wema

    Mbona long time tu. lol. Halafu mganga wangu aliniambia siku ukianza kuniquote nijue limbwata alilonipa lishaanza kukuingia.
  8. S

    Bring back Wema

  9. S

    Bring back Wema

    Angalia hii video cheki dushelele ya almasi ilivyotuna hapo wakati Linah anataka kuondoka. Kula maraha kijana kwani nini bana. https://www.youtube.com/watch?v=0mQvRB5DGso
  10. S

    Bring back Wema

    Hahaaa wakorintho nilikua namuona mwanga ila daah sasa hivi naanza kumuelewa:embarassed2:
  11. S

    Bring back Wema

    Nataka kunununulia team wema iwe yako. Inasemekana team wema wanatafuta mmiliki mpya. Unasemaje?
  12. S

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Genge langu liko tayari kuku-sponsor kwa matunda na mbogamboga za bure kwa mwaka huu na mwaka ujao. Pia tutagharamia nauli za kuja kuchukua matunda na kurudi nyumbani kwako kwa kipindi chote hiki. Itakua ni fahari kwetu kutoa huduma hii ndogo kwako. karibu sana.
  13. S

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Acha tu Mkuu. Ujue huyu geniveros nina mipango naye ya muda mrefu sema tu kuna kimbunga flani hivi kilipita nahisi kinaweza niharibia. Ila penye nia pana njia.
Back
Top Bottom