Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,776
- 68,936
mange kimambi ni mtanzania wa kwanza kuishi beverly hills
Pia ni mtanzania wa kwanza kuzaa na mzungu
mange kimambi ni mtanzania wa kwanza kuishi beverly hills
umeona eeh..!!
Halafu wewe,basi tu.
Nikisema yangu ya moyoni kwa sasa najua siwezi kueleweka kwa sasa.
Halafu wewe,basi tu.
Nikisema yangu ya moyoni kwa sasa najua siwezi kueleweka kwa sasa.
Pia ni mtanzania wa kwanza kuzaa na mzungu
mtanzania wa kwanza kumilik blog
Mkuu unataka kutia ndoano,unataka msaidizi wa genge.
paza sauti
Acha basiii
Nimeacha
Anajipa
Moyo eti"nimewachamba"anaogopa kibarua kitaota nyasi,sijaona lolote zaidi ya matapishi,,anazunguka huku mara kule hata aeleweki..bora angenyamaza kajipendekeza kubaya lara 1 leo umejizalilisha umekuwa lala 0
Mange kimambi ni lara1
Mambo ladykims?