Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

Hhhhaaaa uzuri wako hunaga presha na kutukana

Huyo ndio Sir Toope wa Tandale kwa Mtogole kwa mzee Akilimali wa Yanga.Kesi nyingi zinazoenda kwa ofisi ya mtaa huko kwao Tandale ni matusi , kuchukuliana mabwana,wizi wa sufuria, vijiko kwa ajili ya siso.Ndio maana matusi anaweza kuyavumilia maana hamna new version ya matusi ya ukakasi.
 
Hhhhaaaa kwa warumi wa kishua ndio maana hupaniki haraka
 
Last edited by a moderator:

Kutukana nyuma ya keyboard tu ninamudu vizur na hakuna wa kuniweza, maana nakuwa na matusi ya ajabu hadi mimi najishangaa nimeyatoa wapi, ila ugomvi au matusi ya kutukanana live siwezi kabisa ntakuangalia tu na kushikwa na kigugumizi, mimi sio muongeaji sana live, humu fade id zinatusaidia tu
 
Me too
 
Mwenzangu hadi nikaona aibu alivyonijibu, maana nilijua ntapata mchambo wa haja, da kuna watu wamebarikiwa hekima na ustaatabu, huyu maatope katisha, anisamehe bure

Hhhhhaaaaaaaaaaa maatope hata umtukaneje ye atakujibu vizuri tu
 
Warumi please weka picha yake aliyepost huko IG ameacha kitovu nje...duuu kweli wounders will never end till the end of the world...kabisa mwanaume unapost kitovu nje? au anashindana na x boss wake Wema kuonyesha kitovu,sasa yeyehuyu dinda anacho cha kuingia ndani au ana mdungu (kitovu kikubwa)
 
Poa binamu naweka
 
Kitovu hiki?????
Sio kikubwa iseeee
 
Attachments

  • 1410986012772.jpg
    1410986012772.jpg
    52.6 KB · Views: 357
Binamu kapendeza etiii unamfikia fikia kupendeza lakini au unamzidii

Mi mda wa kuvaa sina mwenzangu , ntapata wapi kwanza uo mda? Na umbea ntapiga saa ngapi na hayo mambo ya selfie ntajipiga saa ngapi? Hayo mambo mi tupa kule apa umbea tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom