Speed of light
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 313
- 284
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo
yafuatayo: By : 1. Kumvunjia heshima,
kumkejeli, kumtukana,
mjumbe yeyote. Wadau wengi wamekuwa
wakiivunja kanuni hii
ambayo tulikubaliana tangu
2006; haturuhusu kwa namna
yoyote iwayo kuvunjiana
heshima kwa makusudi wala matusi kwa namna yoyote
iwayo. Mfano: Kuandika neno
fvck kwa nia ya kukwepa
censorship ni kutukana kwa
kudhamiria kabisa,
tumelishtukia hili na mara inapobainika hoja husika
huondolewa na mhusika
kufahamishwa juu ya kosa
lake, anapothibitika
kuendelea kukaidi basi
hufungiwa kwa muda au kufutiwa uanachama kabisa! By : 2. Kuleta katika JAMII
FORUMS maelezo yenye
maudhui mabaya, au
kuweza kuleta maudhi
yoyote kwa wajumbe ama
kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake. Hili nalo pia husababisha hoja
za watu kufungwa, kufutwa
au mhusika kupewa onyo. By : 3. Kuleta makala au
kuendeleza mijadala yenye
kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya
kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla. Nadhani maelezo yaliyo juu
yanajieleza wazi, natamani
wengi wangeelewa maana
ya maneno hayo juu! JF si
sehemu ya kuanzisha
uchochezi aidha wa kidini, kisiasa n.k. Endapo itabainika
umeanzisha hoja kwa nia ya
kuibua uchochezi au ugomvi
na mtu basi tunasikitika hoja
hiyo itakufa HARAKA SANA... Wakuu na viongozi wa jamii forums inakuwaje mnaacha baadhi ya wachangiaji wanatoa lugha zisizovumilika kusomwa humu.. Wanajenga hoja zenye muelekeo wa kuibua uchochezi wa kutukanana humu .,unapomtukania na kumdhihakia mtu kiongozi wake wa kidini na imani yake unategemea nini hapo...? Wahusika tunaomba muchukue hatua kulingana na kanuni na sheria za jamii forum