Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Yaani mtu akiwa na roho mbaya ni vigumu kuona uzuri wake.Zamani nilikua naona anavutia kweli ila siku hizi sijui namuonaje.
hamna kitu pale mashauzi tu, na ule mgongo mpana anauanika sijui haoni aibu
na angejaaliwa yule tungepumulia mashine
 
Duh inaelekea bday ya mwanae ni leo na hayupo nae, bado likizo kwa baba yake na shule zimeshaanza..mmh
 
halafu mr wake kapata demu texas ama?maana kafuta picha za anniversary na christimass

ha ha ha huenda mzungu kachoka kelele mwanamke kwekwerekwe anaongea hadi siri za ndani, mzungu mwenyewe chokest kama evelyn hapa ananchekeshaga na yale masweta mzungu kama mbulu eti boss lol....
 
Mtoto amekwenda Christmas kwa baba yake, akaelezea anavyokua treated kama hg wa watoto, mzungu asivyompenda na mengineyo. Kwakifupi mtoto amekataa kurudi.
 
Mange Kimambi na Sinta hawa wote hawana akili kichwani.

Namshukuru Mungu sina stimu kabisa ya kupita kusoma ujinga wao kwenye viblog vyao uchwara.

Mmhh.
Kwa unavyopenda umbea na kusutana nina uhakika hizo ndo blog zako.
Unatia aibu sana wee lijamaa hivi huoni aibu.Wewe ndio mwanaume pekee anayependa kusutana huku jf.We shauri yako endelea tu kupenda umbea kuna siku utavalishwa underskirt na dera usutwe na hao mashoga zako unaopiga nao umbea.
 
Mange angekuwa ni either mdogo wangu ningemshauri afunge mdomo wake kabisa, Baba yake Mzee Kimambi alijiuwa kwa aibu hivi huyu binti anapata wapi gutts za kushambulia watu.
Nadhani ni Mental case.

Punguza umbea wee mwanaume.
Umejuaje hayo yote kama sio umbea wako unakusumbua?
Au ulikuwepo eneo la tukio alivyomalizwa babake mange kuliwa kiboga ukafuatia wewe ila wewe hukujiua sabab uliona tamu?
Ushasutwa mara kibao humu na madem ila umeshindwa kabisa kuacha umbea

Bora mange mental case kuliko wewe gender case.
 
Mtoto amekwenda Christmas kwa baba yake, akaelezea anavyokua treated kama hg wa watoto, mzungu asivyompenda na mengineyo. Kwakifupi mtoto amekataa kurudi.

ndo maana pics za birthday.kaweka za zamani baba ake anaishi wapi
 
Mmhh.
Kwa unavyopenda umbea na kusutana nina uhakika hizo ndo blog zako.
Unatia aibu sana wee lijamaa hivi huoni aibu.Wewe ndio mwanaume pekee anayependa kusutana huku jf.We shauri yako endelea tu kupenda umbea kuna siku utavalishwa underskirt na dera usutwe na hao mashoga zako unaopiga nao umbea.

Punguza umbea wee mwanaume.
Umejuaje hayo yote kama sio umbea wako unakusumbua?
Au ulikuwepo eneo la tukio alivyomalizwa babake mange kuliwa kiboga ukafuatia wewe ila wewe hukujiua sabab uliona tamu?
Ushasutwa mara kibao humu na madem ila umeshindwa kabisa kuacha umbea

Bora mange mental case kuliko wewe gender case.

eeeh mbn umemkalia kooni hivi
 
eeeh mbn umemkalia kooni hivi

Mm sina shida na nyie wadada kupiga umbea tatizo ni kuona janaume kuunga ushoga na wadada kupiga nao umbea.Mwambieni shoga yenu Matola apunguze umbea.Najua mashoga zake mtamtetea sababu mnafurahia story zake za kimbea.
 
Last edited by a moderator:
Hapo chacha, baba yake yuko bongo, we malaika yule akatae kukwea pipa kurudi USA mbona ni kubwa kuliko!!
No,baba yake yupo London,naona alikuwa ndo kawa yaya huk USA,kagoma kurudi kwa mama yake.Kaona bora kuishi na baba yake pamoja na step mom,kuliko kuishi na mama na step dad wake
 
No,baba yake yupo London,naona alikuwa ndo kawa yaya huk USA,kagoma kurudi kwa mama yake.Kaona bora kuishi na baba yake pamoja na step mom,kuliko kuishi na mama na step dad wake

Asante sana shost, na step mother ninamfahamu yule, yuko poa sana.
 
Mm sina shida na nyie wadada kupiga umbea tatizo ni kuona janaume kuunga ushoga na wadada kupiga nao umbea.Mwambieni shoga yenu Matola apunguze umbea.Najua mashoga zake mtamtetea sababu mnafurahia story zake za kimbea.

well umejuaje matola anafatilia umbea kama na wewe sio mfatiliaji? na kama hupendi mbona upo hapa? na wewe ni nani wake matola hadi umpangie nini apende nini asifanye....
View attachment 219363
 
Last edited by a moderator:
No,baba yake yupo London,naona alikuwa ndo kawa yaya huk USA,kagoma kurudi kwa mama yake.Kaona bora kuishi na baba yake pamoja na step mom,kuliko kuishi na mama na step dad wake

poor little angel, bora akajikalie kwa dady ake masikini...mi namuonaga hata sura yake inatia huruma kumbe sio tu upole ila ana yake moyoni
 
ndo maana pics za birthday.kaweka za zamani baba ake anaishi wapi

Hapo chacha, baba yake yuko bongo, we malaika yule akatae kukwea pipa kurudi USA mbona ni kubwa kuliko!!

Baba wa binti anaishi London na mkewe na watoto wao ila wakubwa sio wakubwa wa mwisho labda miaka 5/6. Makazi ndio London ila baba anafanya shughuli nyingi so anakuwaga TZ sana.

So kwa sasa hivi wapo mjini London. Na baba ndiye aliemlea binti hadi juzi juzi hapa mama yake alipomuomba kumchukua alipopata mzungu na kuhamia kwa Obama... so naona mtoto yamemshinda ni kazi kuwa mkubwa na wadogo zako ni babies KAZI nyingi.... Nadhani aliandikaga binti alizaliwaga marekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom