Recent content by RONAN47

  1. RONAN47

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Visago ivi vinatufanya tupate usingizi mzuri jinsi manure mnavyotapa tapa[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. RONAN47

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah huu msimu round ya 2 ndo imeharibu kila kitu toka Dec 29 tuna point 51 leo April 11 point 57 kweli tunawakati mgumu Mwaka kesho tutakuwa Europa maana top four tumeisha ikosa najiuliza sana tatizo msimu ubovu wetu n board, kocha au wachezaji ndo chanzo cha kuvurunda hivi?
  3. RONAN47

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yaan Leo Conte nimeshindwa kumuelewa dakika ya 70 na unamtoa hazard unamuingiza Pedro Kuna Muda unafika Conte sub zake zinaboa mpaka basi na kushangaza pia afu unamuacha morata aliyekuwa anaanguka anguka Karibia mechi yote
  4. RONAN47

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yaan leo kwa kila njia inabid tushinde mech maan tunaweza toka nje ya top 4 ikitokea Tottenham kashinda zid ya crystal palace na kuweka hali ngumu kurud tena
  5. RONAN47

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi Conte kila siku anafanya mambo hayo hayo kurudia makosa yake hata hajifunzi. Bila kumpanga bakayoko na Cahill kwenye kikosi hata wakiwa na perfomance mbaya kwenye mechi iliyopita. Katika mechi mbili tunaruhusu goal 7 kwel Tena kwa team za kawaida na tuna Barcelona,Man U mwez huo...
  6. RONAN47

    Camera problem.

    Ku Iroot nhs ndo bado sijafanya nielekeze kidogo hapo mkuu
  7. RONAN47

    Nani atachukua ubingwa WC 2018 Russia

    Bado mapema sana kuzungumzia hili swala maan uwez jua team unayoipa matumiz kubeba kama wachezaj Watakuwa wote wapo fit
  8. RONAN47

    Camera problem.

    Nimefanya kila kitu bado inagoma tuu
  9. RONAN47

    Camera problem.

    Hata ivyoo nimejaribu sema inakubali font camera basi ya nyuma inagoma bado nahisi tatizo itakuw n hardware kam usemavyo
  10. RONAN47

    Camera problem.

    Mkuu njia zote izo zimegoma mpak sasa
  11. RONAN47

    Camera problem.

    Yaan ni kama ina Force to stop all action on camera
  12. RONAN47

    Camera problem.

    Yaan tatizo ukiingia camera inaleta ivyo ukiminya ok inatoka hairuhusu kitu chochote kweny camera.
  13. RONAN47

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Anaweza akaja akawa Lampard mpya huyu
  14. RONAN47

    Camera problem.

    Yaan ukifungua camera ndo inaishia hapo hapo inagoma kila kitu kwenye camera
  15. RONAN47

    Camera problem.

    Camera ya simu Samsung galaxy note edge
Back
Top Bottom