Uliiangusha? Kama aujaiangusha then nenda setting, application manager, ALL, then tafuta camera ukiingia pale, clear cache, clear data, alafu force close application, after that restart simu yako jaribu tena camera. Kama ni serring tu au kuna program uliinstall ndo yafanya ivo basi itakubali.Yaan ni kama ina Force to stop all action on camera
Hata ivyoo nimejaribu sema inakubali font camera basi ya nyuma inagoma bado nahisi tatizo itakuw n hardware kam usemavyojaribu kueka 3rd party app ya camera.
nenda playstore search camera, kisha download iwe camera 360, magix camera, google camera etc yoyote itafaa. ikikubali app yako ya camera ina matatizo, ikikataa ni tatizo la hardware peleka kwa fundi.
Nimefanya kila kitu bado inagoma tuuUliiangusha? Kama aujaiangusha then nenda setting, application manager, ALL, then tafuta camera ukiingia pale, clear cache, clear data, alafu force close application, after that restart simu yako jaribu tena camera. Kama ni serring tu au kuna program uliinstall ndo yafanya ivo basi itakubali.
Ku Iroot nhs ndo bado sijafanya nielekeze kidogo hapo mkuuFanya hard reset ya simu(Zima Kisha subr kidgo, bonyeza power +volume up button kwa sekunde Kama tatu bila kuachilia, wipe cache partion Kisha factory wipe simu alaf iboot).ikishindkana iroot simu