The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 562
Ukiupenda mpira jua kuna ups and downs. Ndo maana nawakubali sana mashabiki wa Arsenal, yaani wameivulia timu yao kwa miaka 23 sasa bila kikombe. Sisi timu inakwama kidogo tu unasikia mtu anakwambia anahama timu. Lakini nafikiri ni kwa sababu wengi wetu ni vijana wadogo tulioanza kushabikia mpira tangu miaka ya 2005. Watu wazima ni wale waliohama Arsenal na Liverpool. Hawa hawawezi kuyaishi maneno ya wimbo wetu i.e kuwa na timu kwenye kiangazi na masikaMkuu nina imani ila wakati mwingine unaweza usiielewe hii team maana uwanjani hujui watakupa nini na kwa wakati gani
Imani yangu itarudi wakiitoa barcelona maana walinikera sana dhidi ya wattford