499531CE00000578-0-image-a-141_1519573575930.jpg
Kuna hii beki bado inamakosa yanayo igarimu timu.
Free header jamani daaa
 
Poleni sana chelsea kwa kuwapeleka Europa league! Tuliwaambia kuwa mukija OT hamtoki labda sare !
 
Tetesi

Meneja wa zamani wa Manchester United Louis van Gaal, huenda akachukua mahala pake Antonio Conte, huko Chelsea ikiwa uhusiao wake na Chlesea utazorota zaidi. (Sunday Mirror)

Chelsea na Crystal Palace wametofautiana kuhusu njia bora ya kumtendea kiungo wa kati aliye na jeraha Ruben Loftus-Cheek.

Mchezaji huyo wa miaka 22 ambaye kwa mkopo huko Palace amakuwa nje tangu mwezi Disemba. (Daily Star Sunday)
 
Goli la Morata hakuotea - lilikuwa goli halali ni kwa vile kibendera kilienda juu na hakuna sheria ya kubatilisha maamuzi ya washika bendera

Mmepoteza game inabaki hivyo!
Mourihno kaja na 3-5-2 kipindi cha pili kampa Pogba uhuru kushoto azunguke atakavyo lkn kocha wenu anatoa macho tu then anamtoa Hazard!
Conte mbinu zimeisha na hamchezi UCL mwakani,nadhani Yuropa inawahusu
 
Haya nyie viherehere mkiongozwa na kiherehere mwenzenu Willian mlikua mnataka mjue Matic aliandikiwa nini na Morinho na wengine mkafikia hatua kusema aliambiwa wpaki basi..haya someni viherehere
0ab0d6c2cc6660e7c50cf65511d90a20.jpg
 
Haya nyie viherehere mkiongozwa na kiherehere mwenzenu Willian mlikua mnataka mjue Matic aliandikiwa nini na Morinho na wengine mkafikia hatua kusema aliambiwa wpaki basi..haya someni viherehere
0ab0d6c2cc6660e7c50cf65511d90a20.jpg
Hahahaha. William anifurahisha sana alipotaka kusoma kikaratasi
 
Mechi ya kwanza 5 November mwaka jana Chelsea tulishinda 1-0 pale Stanford Bridge goli la Alvaro Morata akisaidiwa na César Azpilicueta dk ya 55
Na mechi zote mbili tulikuwa na shots nyingi, short on target nyingi, passes nyingi na possession 54% na ya jana 56%
Bahati haikuwa yetu tu.Mimi bado naamini UCL tutacheza na walioko pale wanatushikia kwa muda tu.Mechi 10 bado ni nyingi kuamua nani ni nani wakati difference ya point ni 4 kwa Liverpool na 2 kwa Spurs
 
Always there is a way out thou it may not be this season but we are sure we will not remain in the position of arsenal and Liverpool. Chelsea fans you should chill.
 
Back
Top Bottom