Camera problem.

RONAN47

Member
Feb 3, 2014
99
74
24c2e0db852617eefe66e64dad474337.jpg

Mtu anayeweza kusolve hili tatizo naomba msaada sana.
 
fungua sehemu ya camera then nenda sehemu ya setting then unstall settings zote
 
upande wa kulia kuna sehemu setting umeiona?ipo juu kabisa kuna kama alama ya soana ndo ingia hpo utakuta kuna option ya ku unstall
 
Yaan tatizo ukiingia camera inaleta ivyo ukiminya ok inatoka hairuhusu kitu chochote kweny camera.
 
Yaan ni kama ina Force to stop all action on camera
Uliiangusha? Kama aujaiangusha then nenda setting, application manager, ALL, then tafuta camera ukiingia pale, clear cache, clear data, alafu force close application, after that restart simu yako jaribu tena camera. Kama ni serring tu au kuna program uliinstall ndo yafanya ivo basi itakubali.
 
jaribu kueka 3rd party app ya camera.

nenda playstore search camera, kisha download iwe camera 360, magix camera, google camera etc yoyote itafaa. ikikubali app yako ya camera ina matatizo, ikikataa ni tatizo la hardware peleka kwa fundi.
 
Mkuu unaweza washa na kuzima sim au I restart uje ulete majibu pia
 
jaribu kueka 3rd party app ya camera.

nenda playstore search camera, kisha download iwe camera 360, magix camera, google camera etc yoyote itafaa. ikikubali app yako ya camera ina matatizo, ikikataa ni tatizo la hardware peleka kwa fundi.
Hata ivyoo nimejaribu sema inakubali font camera basi ya nyuma inagoma bado nahisi tatizo itakuw n hardware kam usemavyo
 
Uliiangusha? Kama aujaiangusha then nenda setting, application manager, ALL, then tafuta camera ukiingia pale, clear cache, clear data, alafu force close application, after that restart simu yako jaribu tena camera. Kama ni serring tu au kuna program uliinstall ndo yafanya ivo basi itakubali.
Nimefanya kila kitu bado inagoma tuu
 
Fanya hard reset ya simu(Zima Kisha subr kidgo, bonyeza power +volume up button kwa sekunde Kama tatu bila kuachilia, wipe cache partion Kisha factory wipe simu alaf iboot).ikishindkana iroot simu
 
Ku Iroot nhs ndo bado sijafanya nielekeze kidogo hapo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom