Duh hawa Watford sio watu wazuri kabisa, yaani hawana huruma kabisa na wenzao

[HASHTAG]#KipigoChaMwizi[/HASHTAG]
 
Hivi Conte kila siku anafanya mambo hayo hayo kurudia makosa yake hata hajifunzi. Bila kumpanga bakayoko na Cahill kwenye kikosi hata wakiwa na perfomance mbaya kwenye mechi iliyopita.
Katika mechi mbili tunaruhusu goal 7 kwel Tena kwa team za kawaida na tuna Barcelona,Man U mwez huo huo
 
In Conte we TRUST
Carhill uchochoro na walijua hivyo Watford
David Luiz nae ni uchoro wapinzani wanajua ila Conte kawa kama Mbuni
 
pri_67675010.jpg

Callum Wilson admits Bournemouth specifically targeted Chelsea defender Gary Cahill in their 3-0 win at Stamford Bridge on Wednesday evening.

Read more: Chelsea news: Callum Wilson reveals Bournemouth targeted Gary Cahill | Metro News
 
Bakayoko alikuwa hovyo kabla ya redcard huyu ndio kazingua
Conte ndiye tatizo kwa kulea jipu badala ya kulitumbua mapema. Bakayoko alikuwa uwanjani kimwili tu, akili yake haikuwepo. Conte alipaswa kumtoa mapema kabla ya kufikwa na yaliyomkuta Bakayoko na kui-cost team. Kwa ujumla kwa sasa timu haina morali ya ushindi tuliyozoea kuiona siku za nyuma. Kutakuwa na tatizo nyuma ya pazia kwenye timu pamoja na uongozi ambalo hatulijui but time will tell, no secret shall remain covered forever!
 
Back
Top Bottom