Recent content by rodrick alexander

  1. R

    Goli la wazi la Yanga lakataliwa na mwamuzi kwenye mchezo baina ya Yanga na Kagera Sugar

    Lile la mechi ya kwanza na Kagera lilikuwa goli la kujificha.
  2. R

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Huumuungano imebaki kwenye makaratasi ni swala lamuda tu, sidhani Kama wewe unajua vizuri kuliko kina Butiku, Wariobana Dr. Salim waliokuwa kwenye time ya katiba na wakapendekeza serikali tatu
  3. R

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Waziri wa Muungano ni Jaffo yeye ndiye aliyemsifia rais ametatua kero kushinda Marais wote , sizungumzii hotuba ya bunge hili. Kwa kifupi kero kubwa ya muunganoni usiri wa kufanya maamuzi bila kuwashirikisha wadau ambao ni wananchi. Na hizo wanazoita kero Wala sio kero Bali ni upendeleo...
  4. R

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Tunachosikia ni mapambio tu rais Samia ametatua kero nyingi za muungano kuliko Marais wote lakini kero hazitajwi ndioaana nimekuuliza wewe unayezijua ututajie.
  5. R

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Unaweza kunitumia kero kumi za muungano alizotatua ili tuanzie hapo
  6. R

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Hao ndio wanajitapa wametatua kero za muungano bila kusema hizo kero. Kero kubwa ya muungano ni usiri.
  7. R

    Tundu Lissu ni mpotoshaji tangu zamani, akikuambia leo ni Jumapili jaribu pia kuangalia vizuri kalenda yako

    Mwanzoni alikuwa anaongelea muungano Kama bara ndio inainyonya Zanzibar Hilo ni mojawapo ya Jambo nililokuwa sikubaliani naye.
  8. R

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Upo sahihi watanzania usitaarabu ni zero si wanaume si wanawake si vijana Wala watu wazima wanaona kupanga foleni ni tatizo. Pia watu wa ulinxi waondolewe itafutwe kampuni nyingine.
  9. R

    Badala ya kupambana gesi ishuke, yeye anataka gesi iwe kama Luku

    Mnazunguka Sana kifupi rais Hana uwezo
  10. R

    CHADEMA kusambaratika kwasababu ya uroho na tamaa ya urais wa viongozi wake

    Kupasuka kwa Chadema kinaweza kuzaa chama imara cha upinzani kwa sababu ndani ya Chadema wapo wanaotaka mageuzi ya kweli na wapi wanaotaka kushibisha matumbo yao. Salama ya CCM ni kuwa na Chadema iliyopo
  11. R

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Wakati wabunge 55 au G55 walipotoa hoja yakutaka uwepo wa serikali ya Tanganyika Nyerere aliwazuia kwa hoja wale ni wabunge waliotokana na Chama Cha mapinduzi hivyo hoja yao ilitakiwa ianzie ndani ya chama. Jaji Warioba akizungumzia rasimu ya mabadiliko ya time ya katiba alisema ni heri...
  12. R

    Muufti akabidhi tiketi kwa wanafunzi 41 wanaokwenda kusoma elimu ya dini ya kiislamu Morocco

    Wakishamaliza wanaajiriwa na serikali kufundisha masomo ya dini katika mtaala mpya.
  13. R

    Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    No 1 na 2 umechemka,hata Robertinho alisema wachezaji waliosajiliwa wenye viwango ni wawili 2 Ngoma na Chemalone. Ngoma ni kiungo mchezeshaji kuhusu kufungwa magoli mengi tatizo ni combination aliyopata. Inonga hakuwa tayari kujitolea kwa Simba Kama anavyojitolea timu ya Taifa pia amechomesha...
Back
Top Bottom