Quids
Member
- Jan 26, 2022
- 81
- 64
Sio jibu, onesheni kwa vitendo watu waone uongo wa Lissu, kwa sababu anayosema Lissu anatumia reference za waziKwani uongo sio jibu?

Sasa kama SSH anaongoza nchi, kuna mtanzania mwingine yeyote atakayeshindwa?Kweli Lissu ndio awe Rais wa JMT?
Are We Serious?
Ukishaandika hilo neno ndiyo umejibu hoja?Kwani uongo sio jibu?
Kwani hata wewe unaweza?Sasa kama SSH anaongoza nchi, kuna mtanzania mwingine yeyote atakayeshindwa?
Hata Mwijaku, Baba Levo, Steve Nyerere na wenzao wanaweza. Yaani hata wewe hapo unaweza kabisaKwani hata wewe unaweza?
Asante kwa kunitakia mema,Hata Mwijaku, Baba Levo, Steve Nyerere na wenzao wanaweza. Yaani hata wewe hapo unaweza kabisa
Hamu ya nini na sehemu nyingi kura mnaiba? Lissu anaweza kuwa yuko au hayuko sawa ni binadamu pia. Na alifafanua vizuri kuhusu hiyo issue.Tunawasubiri kwa hamu 2025
Bora kama mmeanza kumwamini Mungu wa MbinguniHamu ya nini na sehemu nyingi kura mnaiba? Lissu anaweza kuwa yuko au hayuko sawa ni binadamu pia. Na alifafanua vizuri kuhusu hiyo issue.
Kuhusu upotoshaji, hakuna anaefikia rekodi za watu wenu wa Chama Cha Mapinduzi.
Mungu akubariki uache upumbavu,itikia Amin.
Tuliongozwa na bado tunaongozwa na watu wepesi kichwani katika maeneo kadhaa ya kiutawala na utendaji, jabali la kufikiri na kujenga hoja kama Lissu lishindwe kwa kipi?Kweli Lissu ndio awe Rais wa JMT?
Are We Serious?
Mbona ni rahisi sana kukabiliana na Wanasiasa matapeli? Unaeleza tuu haya yeye nizanzibar kama alivyo Mnyiramba Je ,Kati ya Mzanzibari Samia na Lisu yupi amewasaidia Watanganyika wa Ikungi zaidi? Ni Lisu au Samia? 😁😁LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,
Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.
Hapo juu Mhe Kafulila David Akihojiwa na Kituo Cha runinga Cha Clouds Plus+ alionesha wazi uongo na Upotoshaji wa Lissu tangu enzi na enzi.
Nimwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana Crde Kafulila alishughulika nae kisawa sawa kama alivyofanya Crde Kinana huko Dodoma.
Leo nampongeza Mhe Kafulila Kwa kumpa za uso na ndio sababu za Mhe Tundu Lissu hakupata kura popote kisa ni huu Uongo Uongo wake nashauri CHADEMA watafute mgombea mwingine 2025.
Alichokisema Mhe Kafulila: -
" Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.
Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.
Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu
1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.
2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.
3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia.
Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe asiaminiwe wala asipewe kura ".
Rais ni Mzanzibari ni kweli,✓
Sasa naomba kujibiwa haya maswali yangu saba (7) na wanaodhani wao si Wanzibar akiwemo Mhe Tundu Lissu.
1. Je ? Reli hii mpya ya SGR kutoka Dar mpaka Singida kwa Lissu si ni huyu Mama anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" huko World Bank,!! Hivi siku akistaafu na kurudi Zanzibar atakwenda na SGR?
2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza kabisa tatizo la mgao wa Umeme Zanzibar? Mbona hamsemi aliyemaliza tatizo la Umeme ni Mzanzibar?
3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar? Wanatibiwa watoto na akina mama wa Zanzibar?
4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?
5. Je, hizi TZS 600Bil alizoongeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?
6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekechea mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?
7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?
====
Mwanzoni alikuwa anaongelea muungano Kama bara ndio inainyonya Zanzibar Hilo ni mojawapo ya Jambo nililokuwa sikubaliani naye.Mkuu hukubaliani na Lissu Kwa yapi mengine! Lissu ni mwamba ..Ndio maana Mungu aliahirisha mauti yake
Uzito wake ni Upi kama sio kulipalaganyisha tu Taifa?Hoja za Lissu ni nzito!
Mbaya zaidi CCM mmetumia zero brains kama Nape na Kinana kufanya counter argument.
Nasikia eti Kinana anataka afanye mdahalo na Lissu publicly?
Hakika itabidi muandae PR team zenu zile za kina Mwashambwa kwa ajili ya kufanya post debate damage control.
Aise mama anapiga kazi sanaMbona ni rahisi sana kukabiliana na Wanasiasa matapeli? Unaeleza tuu haya yeye nizanzibar kama alivyo Mnyiramba Je ,Kati ya Mzanzibari Samia na Lisu yupi amewasaidia Watanganyika wa Ikungi zaidi? Ni Lisu au Samia? 😁😁
Pili Nyerere aliwahi onya watu wabaguzi na wanaochochea mifarakono dizaini ya huyu Jamaa,hanaga jema tangu azaliwe ni kama.ameumbwa Kwa kasoro.
Mwisho nani amewahi sikia kitu Cha maana Lisu anaongea kuhusua ustawi wa Maisha ya watu?
Huwa nawauliza Chadema na narudia leo,Je Katiba Mpya italeta ugali mezani?
Je Tanganyika anayodai Lisu ndio itawaondolea umaskini? Kwanza mtu dizaini ya Lisu akiwa Rais lazima wafanyabiashara wakimbie, uchumi udorore na umaskini uongezeke maana kwake utajiri ni haramu.
Kazi za Mzanzibari zilizowashindwa Watanganyika 👇👇View attachment 2985107View attachment 2985108View attachment 2985109View attachment 2985110View attachment 2985111View attachment 2985112
Aache kelele sio niachane naeAchana naye tu kiongozi, wapo wakweli weeengi wafuatilie. Maisha ni kuchagua tu kinachokupa amani, mfuatilie gwajima mkweli. Si Kinana boss wako keshasema ukweli bila kupotosha! Chagua
Mosi, mzanzibar anaweza kumiliki ardhi Tanganyika ila mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Uzito wake ni Upi kama sio kulipalaganyisha tu Taifa?
Kinana hajashindwa kujibu huo uongo uongo wa LISSU.Hopeless. Kama Kinana kashindwa kujibu wewe utaweza? Punguza kimbelembele.
Zitto yeye ni kichaaAise, mwambie ashukuru hata ile ripoti ya escrow alipewa na zitokabwe
Kafulila ni habari nyingine kabisaLISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,
Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.
Hapo juu Mhe Kafulila David Akihojiwa na Kituo Cha runinga Cha Clouds Plus+ alionesha wazi uongo na Upotoshaji wa Lissu tangu enzi na enzi.
Nimwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana Crde Kafulila alishughulika nae kisawa sawa kama alivyofanya Crde Kinana huko Dodoma.
Leo nampongeza Mhe Kafulila Kwa kumpa za uso na ndio sababu za Mhe Tundu Lissu hakupata kura popote kisa ni huu Uongo Uongo wake nashauri CHADEMA watafute mgombea mwingine 2025.
Alichokisema Mhe Kafulila: -
" Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.
Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.
Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu
1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.
2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.
3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia.
Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe asiaminiwe wala asipewe kura ".
Rais ni Mzanzibari ni kweli,✓
Sasa naomba kujibiwa haya maswali yangu saba (7) na wanaodhani wao si Wanzibar akiwemo Mhe Tundu Lissu.
1. Je ? Reli hii mpya ya SGR kutoka Dar mpaka Singida kwa Lissu si ni huyu Mama anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" huko World Bank,!! Hivi siku akistaafu na kurudi Zanzibar atakwenda na SGR?
2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza kabisa tatizo la mgao wa Umeme Zanzibar? Mbona hamsemi aliyemaliza tatizo la Umeme ni Mzanzibar?
3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar? Wanatibiwa watoto na akina mama wa Zanzibar?
4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?
5. Je, hizi TZS 600Bil alizoongeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?
6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekechea mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?
7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?
====
Ila Leo kweli ni jumapili asema tuLISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,