Recent content by Record Man

  1. R

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    https://youtu.be/Nz_Gev3RWXw?si=5-yO005EBzx4han0 Angalia hapo na swala la speed
  2. R

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Wahudumu mkuu👇 wanazo mpya Geza Ulole
  3. R

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hii ilikuwa majaribio majaribio uwezi kwenda speed,. Kwa sasa ni 4 hours Dar to dodoma
  4. R

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Duuu sasa kona kona za nini
  5. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Sasa na hao watoto wa baba kuondoka na kubadili mpk jina la mwisho. Bro wangu alikutana na mmoja usa. Wapo fresh tuu na familia yako ila ndo hivyo wapo tuu huko. Hkn mpango hata wa kurudi
  6. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Kwa ubande mwingine utasema yesu. Ile sheria ya kusema watoto hawana makosa. Ipo sahihi. Ila inachukuliwa fursa na madanga. Kupata mgao. Na mara nyingi wanawake wanaozaa na wanaume za watu , lengo lake kubwa ni kuvizia mali za yule baba, alizoshilikiana na mke wake kuzijenga.
  7. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Vijana wenyewe hawana hata mpango wa kuja tena. Wapo huko USA , na wanauraia kbs.
  8. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Bro wangu yupo USA, Alikutana na mtoto wao mmoja anaishi Washington DC. Ameoa mzungu na ana watoto wa kiume 2. Anafanya kazi kwenye bank moja moja ameajiri kabisa. Daa bro alimwambia mzee pale wanalipa mshahara mzuri kweli kama $25,000/= kwa mwezi kwa jumla. Ila yeye anaelimu kubwa. ntundaga...
  9. R

    Ndoa na Mirathi inawaumiza Wanawake

    Sasa mbona sheria inasema mali ni za wanandoa. Kama unabisha nunu nyuma usimuusishe mke wake afu uwone baadae.
  10. R

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Ni ngumu kuwajua ila wanajua ni watu flani wamekausha tuu.
  11. R

    Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Wewe si ulizaa nje ya ndoa ulisolve vipi na mkeo???
Back
Top Bottom