Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

sio mimi niliochagua hapa 👇
View attachment 2986625
kwaio usinililie mm.
waliochagua wako kibiashara zaidi na wanajua changamoto zinazokuja na electric trains. most of the countries zinazotumia electric trains, wanazitumia from city A to city B (intercities) ambayo huwa 200 - 400kms. sasa nyinyi na akili zenu mulizorithi toka kwa Kinjekitile Ngwale mumekurupuka.
btw Kenya Sgr is Chinese Class 1 standard.
dogo, amini usiamini, after 5yrs your Sgr will be worn out na hii ndio situation tunayoenda kushuhudia 👇
View attachment 2986631
Hamnazo kichwani wewe ubishi wa bure tuu
 
Hamnazo kichwani wewe ubishi wa bure tuu
asante sana kwa kunielewa.
jaribu kuwaelimisha na wenzako pia mgonjwa mtumbaff, Kosugi & co
hatutaki kuja kushuhudia mambo haya 👇
IMG_20240510_172454.jpg
IMG_20240510_172523.jpg
 
Kadata huyu.
Eti nchi zinazotumia treni za umeme huzitumia mwisho kilometa 400.
Aende akaitizame Japan karibuni yote imezungukwa na mtandano wa reli ya umeme/bullet trains.
Fala sana huyu.
we jamaa umerukwa na akili. kwanza unachofaa kujua ni kwamba Japan ni nchi ndogo sana (size) na ina population kubwa (130m) pia ina miji mingi na hakuna hata mji mmoja unaoweza kuufananisha na dar. dar yenyewe hovyo halafu uunganishe na dodoma ambao hauna mpango wowote kabisa. wachana na Japan sio levo yako kabisa. ww nenda kabishane na Burundi.
IMG_20240510_201029.jpg
IMG_20240510_201243.jpg
 
Wabongo wana sifa za kipuzi kweli. ati longest in Africa... ushuuzi mtupu. wamekurupuka!
hii hapa Gautrain 👇
download.jpeg

IMG_20240510_204018.jpg
IMG_20240510_204044.jpg
 
we jamaa umerukwa na akili. kwanza unachofaa kujua ni kwamba Japan ni nchi ndogo sana (size) na ina population kubwa (130m) pia ina miji mingi na hakuna hata mji mmoja unaoweza kuufananisha na dar. dar yenyewe hovyo halafu uunganishe na dodoma ambao hauna mpango wowote kabisa. wachana na Japan sio levo yako kabisa. ww nenda kabishane na Burundi.View attachment 2987129View attachment 2987127
Unaona ulivyo FALA!?
We si ulidai mataifa makubwa hayana mtandao mkubwa wa reli ya umeme!?
Nimekutolea mfano Japan,au Japan ni taifa dogo!?
Nimekutolea mfano na China,au China ni taifa dogo!?
Nahisi naongea na TAAHIRA.
 
We kweli punguani kitu cha 80km shuttle unalinganisha na 2600km rail.

Wabongo wana sifa za kipuzi kweli. ati longest in Africa... ushuuzi mtupu. wamekurupuka!
hii hapa Gautrain 👇
View attachment 2987133

View attachment 2987135View attachment 2987136
Wewe Lewis254 huna akili kabisa. Hii yote ni kutaka tu kujiaminisha kuwa our project ni inferior na za nchi nyingine ndio best. Acheni ujinga nyine Wakenya. Kila siku tunawaambia kuwa, huko Nigeria na kwingineko huwezxi fananisha na nchi zetu za East Africa kwa maendeleo.

Lets get back to business: Wewe mpuuzi hii 80km unajua ni nini, wewe unadhani ni urefu wa Gautrain? Gautrain ni kafupi sana sawa na kaTrain walichonunua Ghana Poland. 80km ni total railway tracks za SGR toka Pretoria to Johannesburg.

Nyie Wakenya mna inferiority complex mbaya sana, yaani mnajihisi mmepitwa kila kitu na baadhi ya mataifa mnayo yaabudu. SGR ya Tanzania ndiuo ndefu, most modern na treni zetu ni za nguvu mno.
1715383287691.png

1715383323421.png

1715383419424.png
 
Attachments

  • 1715383369168.png
    1715383369168.png
    317.4 KB · Views: 2
Wewe Lewis254 huna akili kabisa. Hii yote ni kutaka tu kujiaminisha kuwa our project ni inferior na za nchi nyingine ndio best. Acheni ujinga nyine Wakenya. Kila siku tunawaambia kuwa, huko Nigeria na kwingineko huwezxi fananisha na nchi zetu za East Africa kwa maendeleo.

Lets get back to business: Wewe mpuuzi hii 80km unajua ni nini, wewe unadhani ni urefu wa Gautrain? Gautrain ni kafupi sana sawa na kaTrain walichonunua Ghana Poland. 80km ni total railway tracks za SGR toka Pretoria to Johannesburg.

Nyie Wakenya mna inferiority complex mbaya sana, yaani mnajihisi mmepitwa kila kitu na baadhi ya mataifa mnayo yaabudu. SGR ya Tanzania ndiuo ndefu, most modern na treni zetu ni za nguvu mno.
View attachment 2987339
View attachment 2987340
View attachment 2987342
Huu uchafu wa Gauteng ndio anataka kufananisha na Nyerere Express!
Tuliwaambia lakini sasa wanajuta vyuma vinashuka maumivu mpaka kibera 🤣🤣🤣
 
Lets get back to business: Wewe mpuuzi hii 80km unajua ni nini, wewe unadhani ni urefu wa Gautrain? Gautrain ni kafupi sana sawa na kaTrain walichonunua Ghana Poland. 80km ni total railway tracks za SGR toka Pretoria to Johannesburg.
jamaa umepanic. tushaelewana na Kosugi kuwa kuwa hizi high speed/ electric trains mara nyingi zinatumika kutoka point A to point B (intercities) mainly for passengers (mass transportation). mara nyingi zinakuwa 200 to 400kms ambapo kama Nairobi na Mombasa ikiunganishwa inaweza make sense kwa ni majiji ya kueleweka.
tuchukulie mfano tu Dar to Dodoma... hebu niambie Dodoma kuna mpango gani.
ndio kwa maana nasema nyie mumekurupuka kujenga 10,000kms ya Big White Elephant.
IMG_20240508_211314.jpg
IMG_20240508_204938.jpg
 
Back
Top Bottom