Recent content by Ngapulila

  1. N

    Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    😁😁😁😁 Nilimwacha mjinga mmoja kwasababu ya hizo tabia za hivyo plus kuwa mali ya umma aisee yeye kukubali Matokeo ilichukua mwaka mzima
  2. N

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    FCC pakoje kwa anayeanza?
  3. N

    TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
  4. N

    Utajiri wa kumiliki ardhi una thamani kubwa tofauti na kumiliki gari

    Hakuna kitu kinachokosa changamoto ila mimi naamini ukiwa makini na usimamizi pamoja na Nidhamu nzuri ya biashara kwa malengo biashara ya gari ni rahisi na return yake ni ya Haraka kiasi cha kukuwezesha kununua na asset nyingine kama hiyo ardhi.
  5. N

    Utajiri wa kumiliki ardhi una thamani kubwa tofauti na kumiliki gari

    Kama ni gari ya kutembelea hiyo ni gharama bora kumiliki Ardhi ila kama ni gari ya biashara na inafanya biashara vizuri gari ni Asset nzuri kuliko ardhi.
  6. N

    Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Wakauze kwenye mghara ya Taifa Chakula kikipanda bei maisha nayo yanapanda
  7. N

    Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Body marcopolo Brszil Engine Cummins Marekani Gear box Sweeden Diff Japana Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
  8. N

    Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Tanzania ujiandae na hiyo hali muda si mrefu Ufisadi kwenye Miradi na ukopaji n wa kiwango cha juu
  9. N

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Jitahidi utembee mini mingi zaidi
  10. N

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nawashkru kwa ushauri nimejifunza kitu hali yangu inapata nafuu .Kuna vitu sina budi kuviacha vipite ili maisha yaendelee
  11. N

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Hiyo bond niliyonayo kwa mtoto ndio inanivuruga sana kwa sasa
Back
Top Bottom